12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

“Jahiim” hiyo wataingia siku ya hukumu, watakwendawakahukumiwe wakutikane na maovu mengi kuliko mema, maovuyale hayajafutwa kwa Toba, hayajafutwa kwa Istighfaar - kwakumtaka Maghfira Mungu, hayajafutwa kwa iitiraaf - kukubali kuamtu ni muovu, anataka Mungu amtengenenze.“Laa – ilaha – illa – Llah”.“Yas- lawnaha yawmud-din”.Wataingia siku hiyo (ambayo mambo yote yanategemea uzito waamali zikiwa nyepesi yuko katika hatari mtu).“Fa-amma man thaqulat mawaazii-nuhu”“Mtu ambae amali zake zimekua nzito”.“Fahuwa fii iishatin raadhiya”“Yuko katika maisha yenye kuridhiwa atayaridhiayeye mwenyewe”.Amali nzito kama kukutana pahala (kama pale penye Dhikri)amali zinaongezeka zinakua nzito. Unakwenda Msikitini unaswaliunatumwa nyumbani unatumika katika mambo ya kheri.Unawapenda (Mawalii) Wa a`malas-swa-lihati-waudi ilalladhina aamanuw - Watatiwa watu ambao wenye kuaminiwakafanya mema - Jan-naatin ajri min tahtihal an-har -Mabutsani katika pepo inapita chini yake mito - lakini inatakakila mmoja kwa kiasi chake, njia zake - Wa udkhilal- ladhina a-manu wa amilus swa-liha-ti janna-tin ajri min tahthal an har -Siku hiyo ambayo watu wengine watakuamo katika hatari.“yawmud- diin” - Siku ya hukumu , ndo maana katika <strong>Al</strong>hamdutunaita:Maliki yawmid-diin - Mwenye (kumiliki) siku ya hukumu- ndo Yawmud Diin.“Wainna alaykumu laha-fidhi-na kira-man katibunna wama-hum an –ha bigha-ibin”.“Wala hawakua wao na moto ni wenye kua hawapo, hatasiku moja ( They are never absent from the fire)”.44.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!