12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

“Bila shaka hali ya Isa kwa Mwenyezi Mungu nikama hali ya Adam: <strong>Al</strong>imuumba kwa udongokisha akamwambia “kuwa” basi “Akawa”.Lakini: Waliobaki wote (katika jamii ya Mtu) ni walioumbwakutokana na maajabu ya Aya ya pili - “Tumeumbwa kwa majiyatokayo kwa kuchupa” (yakitoka bila mchupo pana mashaka kuwani yenyewe, au kuwa ni mazima) – Bila ya shaka yeyote hayo nimanii ( Mbegu ya uzazi).Wana Sayansi wamechunguza na kugundua ndani ya hiyombegu ya uzazi wako wadudu wa uhai - Waitwao Amoeba(Amiba) ambao hawana umbo maalumu, kwa hivyo siyo rahisikuchoreka. Vidudu hivyo visivyoweza kuonekana kwa machomatupu ni vyenye kubadilika umbo hadi umbo kila dakika hukuvikiongezeka idadi yake mpaka kufikia kujenga umbo kamili.Qur an: <strong>Al</strong> Muminuun: 23:13 - 14.“Kisha tukamuumba kwa tone la manii (mbeguya uzazi) lililowekwa katika makao yaliyohifadhikakisha tukalifanya tone hilo kuwa pande ladamu……….”Upo ushahidi mzuri wa kuweka mkazo juu ya hakika hiyondani ya:Qur an: <strong>Al</strong>-furqa-n:25 : 54.12.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!