12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

UFAFANUZI WA ROHO:"War ru-h maa-akhbara an-hal mujtaba fanumsikulmaqala an-ha adaba""Na Roho hakuielezea juu yake mteule mtegemewa(Bwana Mtume SAW kwa hivyo ni uzuri ) kujizuiakusema chochote juu yake, Kwa ajili ya kuraiadabu!!".Na falau Mnyezi Mungu amesema kua ametupa ujuzi kidogojuu yake."Na wanakuuliza habari ya Roho. sema: “Roho niJambo lililokhusika na Mola wangu (Mnyezi Mungu)Nanyi hamkupewa katika (ujuzi) ila kidogo kabisa.(Nayo ni ilmu ya vitu visivyokhusika na roho)".Na juu ya kufunuliwa kiduchu tu, ambacho sio hasa hasakihusikacho na Roho yenyewe, mtu amefanza ya kushangaza kabisajee? ingekuwa kiduchu hiyo hiyo ni juu ya Roho halisi labdaungefikia kusema ulamaa hawangekufa. Wazoefu juu ya mambo yakiroho (practical spiritual Experts) nao hufanza mambo mengi yakiajabu ajabu kiasi cha kushindwa mtu wa kawaida kuyabeba ndaniya Tasdike (kukubali).Kwa upande mwengine tuangalie mfano wa Mwanachupa(The taste tube baby) mtu amefikia hadi hio ya kutoa mtoto bilakupitia njia yake ya ada (bil kul sio kwamba wao wameumba laabalini kwamba wamijitahidi katika kufanzia majaribio chungu yaaya mbazo Mnyezi Mungu Mtukufu ameonyesha waziwazi jinsi vileanavyotoa mtoto kutokana na tone la manii kama ndani ya kitabuhiki (Tulivyokwisha elezea huko nyuma tukanukuru aya ya 13-14 yaSurat ya 23 <strong>Al</strong> Muuminun). Na pia katika Surat Zumar 39:6."Amekuumbeni katika nafsi moja kisha akamfanyamwenzie (mkewe) katika jinsi ile ile, na akakuteremshieni(akakuumbieni) wanyama wanane (hawawenye nafuu kubwa kwenu) madume na majike.(Ngamia, Ng'ombe, kondoo na mbuzi) ( Huumba)hukuumbeni matumboni mwa mama zenu umbobaada ya umbo - katika viza vitatu huyu ndieMnyezi Mugu wenu: ufalme ni wake hakuna21.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!