12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Herufi za Suratil Fa-tiha ni 156 pamoja na kusoma“Maaliki” kwa alifu (kama alivyoelezea hivyo Seyyid Abu Bakarbin Abdillahi bin Abdur Rahman bin Sumeyt el <strong>Al</strong>awy Sherehe ya“Tiryaaqin Naafii” - Babu ukurasa wa 32), kwani haijuzukupunguza hata moja katika herufi hizo.Ni sharti ya nguvu sana kuzitoa “Tashididi” (au lama yakukaza) zake zote 14.1. katika Lam ya Bismillahi.2. katika Ree ya Rrahmaani.3. katika Ree ya Ar rhiim.4. katika Lam ya <strong>Al</strong>-hamdulillahi.5. katika Bee ya Rabbi.6. katika Ree ya Ar rahmaani.7. katika Ree ya Ar rahiimi.8. katika Daal ya Yawmi-diin.9. katiak Yee ya Iy-yaaka-naabudu.10. katika Tee ya Iy-yaka nasta-iinu.11. katika Swa-d ya Swiraatal mustaqiim.12. katika Laam ya Lladhina.13. katika Dhwa-d ya Dh-dhwaa.14. katika Laam ya Lliina.Katika Sharti zake ni kukosekana kuisoma “Ddhaad” kwa“Dhwaad” amma sivyo haitaswihi kusoma kwake na isiposwihi,Swala pia haitafaa, na hiyo ndo khatari ikiwa atakusudia kusomahivyo na hapo Swala yake haitabatilika. Ingekuwa jambo la maanasana lau Maimamu wa Misikiti wangekuwa wakichukua hata dakikatano kila siku kuwaelimisha watu mambo haya, kwani yule ambayehaipatii vizuri atakuwa ameilimika akipata mawaidha ya dakika tanohizo.Na imesunniwa baada Kuhirimia Swala, (Sharti ya tano)kuleta dua ya kufungulia Swala, kama hivi:“Waj jahtu Waj hiya lil-ladhi Fatwaras Samaawaatiwal Ardhi, Haniifan Musliman wa maa ana minalmush-rikina anna S-swalaati wa nusuki wa mahyaa-yawa mamatti lillahi Rabila a-lamiin laa shariika Llahuwa bidhalika umirtu wa anaa minal Muslimina.77.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!