12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

ASKARI NA ADUI ZA MOYO:Mfano wa Mtu (wewe) ni wa ajabu kupita yote ambayo MnyeziMungu ameieka mbele ya macho yetu. Na tuchukue mfano waviumbe vidogo sana kama vile Nyuki jinsi walivyo. Umma wakutosha wenye nguvu na umoja, (a perfect Emperial Kingdom).Amesema Mnyezi Mungu katika:Qur an: Surat <strong>Al</strong>-Muddath-thir: 74:31.وَماَجَعَهْىاَ‏ اصْحَةَ‏ انىَاز اِآلّ‏ مَهَكَة وَماَ‏ جَعَهْىَا عِدَتَهُمْ‏ االّ‏ فِتْىَةً‏نِهَرِيْهَ‏ كَفَسُوا نِيَسْتَيْقِهَ‏ انَرِيْهَ‏ اُوْ‏ تُىاانْكِتَةَ‏ وَيَزْ‏ دادَ‏ انَّرِيْهَ‏ اَمَىُىْااِيْمَاوَاوَّالَيَسْ‏ تاَبَ‏ انَّرِيْهَ‏ِِااوْ‏ تُىا انْكِتَةَ‏ وَانْمُؤْ‏ مِىُىنَ‏ وَنِيَقُىْلَ‏ انَرِيْهَ‏ فيِ‏ قُهُىْ‏ تِهِمْ‏ مَسَ‏ ‏ٌضوَّانْكَفِسُوْ‏ نَ‏ ماَذَا ازَاَدَهللاُ‏ تِهَرَا مَثَإلَ‏ كَرَنِكَ‏ يُضِمُ‏ هللا مَهْ‏ يَشَاءُ‏ وَيَهْدِي مَهْ‏يَشَاءُ‏ وَماَ‏يَعْهَمُ‏ جُىُدَ‏ زَتِّكَ‏ االَ‏ هُىَ‏ وَمَا هِيَ‏ اِالَّ‏ ذِكْسَي نِهْثَشَسِِ‏Basi ni vyake yeye Mnyezi Mungu vyote viliomo Nyoyoni naRohoni na kwingineko, katika ulimwengu wa majeshi (yalowekwatayari tayari kwa wingi).Tukijihusisha kwa majeshi ya Nyoyoni, tutaona kua yako mawilijeshi ambalo linaonekana kwa macho jeshi ambalo halionekani kwamacho – ila kwa wale wenye kuona kweli kweli. Amma katikahukmu, ni kama mfano wa nyuki, ambako kuna Mfalme, Majeshi,Watumishi, Mawaziri, Hal-mashauri, na wasaidizi. Hii ndo maanaya jeshi. Jeshi (l) ni kama lifuatalo:MkonoMguuJichoSikio50.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!