12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

“Apendae hana dawa”.“Mwenye kupenda haoni”.“Sili silali nakuwaza wewe”.“Kufa afadhali kuliko kukukosa wewe”.Bila shaka ipo tofauti kubwa, lakini vipimo vya Imaani yakeMtu ina yeye mwenyewe mtu, kwani hakukosea MnyeziMungu kusema:Qur an: <strong>Al</strong> Qiyama:75:14.“Bali mtu ni shahidi juu ya Nafsi yake, ingawaanatoa nyuzuru zake za uongo”.Maana Halisi ya Imaani – ii, hatukuweza kuitoa pamojakatika kitabu cha kwanza kwa sababu ya uwezo wa kifedha hasakatika gharama za kupanga herufi (type setting) na gharama zakuchapisha kwa vile sahifa (pages) zilibidi ziwe nyingi ambapotulikua tushindwe. Lakini kwa uamuzi wa pamoja na washaurituliamua kutoa pole pole kwa kadiri ya uwezo wetu, na huenda piatukapunguza, ili tujaalie kuepo kitabu cha iii.Tumekwisha onyesha katika sehemu ilotangulia vipiImaani ilivyokusudiwa kuemo mwenye Ngome sita ambazo nimuhimu sana:1. Yaqini.2. Ikhla-s.3. Kutekeleza fardhi.4. Kuacha yaliyo haramishwa.5. kutekeleza wajibati na6. Kutekeleza Sunna.Na mwisho wa yote ni Kutekeleza Adabu. Katika Ngome 6ambazo Imaani imezungushiwa nazo, hii Ngome ya Saba, nayo nimuhimu kama zilivyo hizo sita.Bwana Mtume SAW ameonyesha sura ya Adabu katikaWajihi chungu nzima ndani ya maisha; na ni yenye kuonyesha wazikua bila ya Adabu, Imaani ya Mtu huenda ikawa dhaifu.xiv.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!