12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

ya Nafsi yanakuwa makubwa sana, mbali kuliko madhambi yamwili. Hata Mtu akiiba unaokwiba si mkono, unatumwa tu, ndiomaana Mtu asiekua na uaminifu hana Imaan:“Laa Imaan liman laa amanata Llahu”“Hapana Imaani kwa Mtu ambae hana uaminifu”.Kwa sababu uaminifu si kitu cha mkono, wala cha kichwa,wala cha miguu. Ni Nafsi ni Roho, ndio inaovunja Uaminifu.Mkono unatumwa ufanye lisilo la twaa:“Laa Imaan lima laa amanata-Llahu” .Yaa ayyuhal Insaan, Aqbil alan Nafsi was sstqbil fadhailihafa-anta bin-Nafsi au bi Ruhi laa bil jismi Insaan”.Si kwa kiwiliwilli Insaan, usidhani kuwa wewe ni kwa kiwiliwiliInsaan .MTU MNYAMA:Kwa kiwiliwili wewe ni kama Ng`ombe, Mbuzi Sungura,Panya; wao ndio sehemu ya kiwiliwili ulionacho wewe “Mammal”(Biologists - wanawaita). Lakini Insaan Twariqa iko hapo. KatikaSulu-k kupata njia kijitengenezea njia ya Dini, ukatafuta ubora kwanjia ya Dini. Ukatafuta mali kwa njia ya Dini, njia kwa kumtajaMnyezi Mungu, na huku unayo yako ya kidunia. Insaan hapoanakuwa katika hatari.“Ee Mwanaadamu ni nini kikudanganyacho na Molawako Mtukufu (hata ukamuasi)”.Una wazee wawili huwatii una mke humtizami inavyolazimu,mke ana mume hakai nae kwa Insaafu. “Nini kilichokukhadaa naRabu wako wewe ni karimu, kakukarimu wewe Insaan kakupaUbinaadamu huo, una macho, una miguu, una viungo, una mambokadhaa wa kadhaa.“<strong>Al</strong>ladhi khalaqaka”“Ambaye kakuumba (akakupa mwili huo)”38.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!