12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Maji Puani, kuosha kichwa chote na masikio mawili nje na ndani.Kuasua vidole vya mikono na miguu. Kuasua ndevu nyingi nakutingisha pete. Ni Sunna kutanguliza kulia juu ya kushoto, nakufanza mara tatu tatu pamoja na kufawatanisha matendo yotepamoja na kujisugua kabla kuleta Dua ya Udhu ambayo ni:“<strong>Al</strong>lahumma jalni minal taw-waab-ii na.“Mola wangu nijaalie miungoni mwa wajawako wenye kutubia mbele zako.“Wajaalni minal mut-twah-irina.“Na unifanze mimi kuwemo miungoni mwawaja wako waliosafika”.“Wajaalni minal Ibadikas-swa-lihiin”“Na unijaalie mimi kuwa miungoni mwa wajawako walio wema”.Pengine udhu wako huweza ukavunjika kabla kuanza kuswali,kwa kudhihirikiwa na moja ya mambo manne haya:1. Kutokwa na ushuzi au chochote katika tupu ya mbele aunyuma.2. Kutokwa na akili hata kwa kitambo kidogo, imma kwawazimu au kuzimia au ulevi au kwa usingizi. Tofauti naambaye amekaa akiambatanisha makalizi yake (matako)kwenye ardhi.3. Kugusana na mwanamke min-ghairi ya kuwepo kizuizichochote katikati (tafauti na madhehebu mengine).4. Kujigusa dhakar kwa matumbo ya vidole vya mikono.Lakini ikiwa umesalimika na hayo yote, basi utaingiakuswali bila taabu yeyote.SwalaNdani ya Ibada hii mabayo ni muhimu mno katika mzunguko aulile duara la Uislamu, ni lenye shuruti za kufaa kuziangalia sana kwasababu bila ya kuzijua mbele huenda ukawa huna hata cha kulipwa75.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!