12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Udayuthi (yaani kuondokewa na ari). Na inatosha kumchunguzaNguruwe mwenyewe katika maisha ya ngono. Nguruwe wanawezakufanza fiili mbele ya Nguruwe mwenzao bila kuingiliana kati kamawalivyo wanyama wengine, ambapo huzuia kufanzika kwake –labda waende mbali huko wasikoonekana na wenzao.Basi na kila mwenye kumtumia mwisho wake hivyo naMnyezi Mungu hapendi Mtu akose Ari. Kwa hivyo katika kuachayalo haramishwa kutapatikana fursa nzuri, si ya kujitakasa tu bali yakujenga Taqwa. Mfano mdogo tu unaonekana katika:Qur an Suratil Maidah: 5:93“Si dhambi juu ya walio amini na wakatenda memakwa vile walivyovila (kabla ya kuharimishwa)madamu wakimcha (kwa vile alivyowaharimishiawakati huo) na wakiamini (alivyowaamrishawakatihuo) na wakitenda mema…”“Thummat taqaw wa-amanu thummata-qawwa ahsanu wal Lah yuhibul muhsiniina!”.“Tena wakamcha (vile vile alipowakataza makatazomengine) na wakafanya mema (mengine alivyowaamrisha) na Mungu huwapenda wafanyao mema)Huo ni mfano mdogo tu ambao unaonyesha vipi hali yaMasahaba ilivyokuwa ya khofu kubwa kwa Maswahaba wenzaowaliokwisha kufa kabla kutelemka Aya hiyo, hali ya kua wakinywapombe. Ni katika mwaka wa sita wa <strong>Al</strong> hijra zama ilipokatazwamno kunyewa pombe, lakini Mola Sub hana wa Taala ni muadilifualibainisha wazi kua: Laysa jun-ahun – Si dhambi - kwao ambaohawakudiriki amri ya makatazo.Na katika mabaya yaloharamishwa ni mfano wa Riba,yaani kukopesha kwa masharti ya kulipa zaidi baadae, ambapodaima huiliki mkopaji. Mnyezi Mungu ameiharamisha amali hiyo naameikaripia sana sana kiasi cha kusema yeye yuko katika vita na60.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!