12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Qur an: <strong>Al</strong> Mudath thir: 74: 42 - 49.Tafsiri yake inafululiza kama hivi:“Ni kipi kilichokupelekeni motoni? Waseme: “HatukuwaMiungoni mwa waliokuwa wakisali wala hatukuwatukilisha masikini. Na tulikuwa tukizama (katika maasia)pamoja na waliokuwa wakizama. Na tulikuwatukikadhibisha siku ya hukumu mpaka mauti yakatujia.Basi hautawafaa uombezi wa waombezi (wowote wale)”.Basi kwa nini wanapuuza onyo hili!? Swala imethibiti kuwa Ibadakubwa sana, sio kwa vile ndio Ibada aliyoipenda sana kuifanza kwawingi Bwana Mtume Saw, hasa saa za usiku hata ikamvimba miguuyake tu, bali kwa kusema kwake kua:“Amali ya kwanza kuulizwa mja siku ya hisabu niSwala, ikikutwa imetimia, basi zitakubaliwa napamoja na amali zake zote zilizobaki”.Kwa hikma tu itakudhihirikia kuepo kwa Falsafa nzito ndani yakauli hiyo na hakika yake. Anaposimama Mtu kuswali anahakikishakuwa hana mabaki ya chakula kwenye meno yake, kwa hadhari kua,kula ndani ya Swala huivunja kufaa kwake. Kwa tendo hilo anaswirimtu kuwa Swaim (<strong>Al</strong>iyefunga) nayo ndiyo Nguzo ya tatu yaUislamu na Swala yenyewa ni Nguzo ya pili. Katika kurukuu,Kuitadili ( yaani kurudi kusimama baada ya kuinama) na kwendaSijida hadi kukaa Tahiyyatu – ni moja amali zenye mfano wa Hijja,Nguzo ya tano ya Uislamu.Katika Atahiyyatu yapo matamko ya “Ash – hadu an laailaha illal Lahu wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulullah”.Hiyo ni nguzo ya kwanza ya Uislamu. Na katika Kumswalia BwanaMtume Saw kutokana na hadithi yake kua:“Swalat alan Naby ni Swadaka”.70.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!