12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Qur an: Luqman. 31:33.“Wala asikudanganyeni yule mdanganyifu mkubwa,(Iblisi) katika (mambo ya) Mwenyezi Mungu".Amesema msanifu mmoja wa kizungu:-“As we are in the midst of death we are in the nist of life”.“Kama vile tukiwa katikati ya mambo ya kifo ndivyo hapohapo tunavyokua kindibwa ndibwa katikati ya maisha".Amesema <strong>Al</strong> marhu-m Sheikh Hassan bin Ameir Ash-shirazi katikasherhe yake ya "Tabaraka dhul-ula" (hiyo mada-rijil-ullah) katikafasiri ya ubeti nambari 5-6, kua;“<strong>Al</strong>a ayyuhal maghruri ma lakatal- abu, tuammilua-ma -lan wa mawtuka aqrabu" ."Oh! ewe mdanganyika vipi kucheza kumekusibu umezipatamaa fika na mautiyo yako karibu"."Kam min mustaqbalin - la - yastakmilihu wamuntadhwirun - ghadan la yablughuhu walawnadhwartum ilal ajal wa masiriruhu - la –abghadhtumul amala wa ghururahu"."Wangapi siku waloifikia wala hawajaikamilisha na wangapiwalotegemea kufika kesho, haikuwafikisha na falau Ajalimwendoe mungeuangalia, basi tamaa na ghururi mngezichukia".Amesema Bwana Mtume S.A.W;-“Man ahabbad dunya adhwarrabi a-khiratuhu""Mwenye kuipenda dunia hudhuru akhera yake".Na pia amesema:-2.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!