12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

(wasitiwe katika misukosuko) kwa kuwa wamesema“Tumeamini”, basi ndiyo wasijaribiwe (wasipatemitihani?)”.Zaidi ya mfano huo ni aloutoa Mnyezi Mungu ndani ya:Qur an: Suratil Baqara:2:214.“Mnadhani kuwa mtaingia peponi, na hamjajiwa namfano wa (yale yaliyowajia) wale waliopita kablayenu? Yaliwapata mashaka na madhara na wakatetemeshwasana hata mitume na walioamini pamojanao wakasema: “Nusura ya Mwenyezi Mungu itafikalini? Jueni kuwa nusura ya Mwenyezi Mungu ikokaribu”.Ipo sababu moja tu ya maana katika taabu taabu zote hizo, nayoni ile iloambatana na hadithi ya Bwana Mtume SAW kua:“Hakika ya Mnyezi Mungu anapompenda mja wake,basi humtia mabalaa, akisubiri basi humkinga, naakiridhia humchagua”.Hakuna njia ya kututhibitishia lile penzi la Mnyezi Mungu juuya mja, kama katika hadithi hii. Ni kitu wazi wazi kabbisa lakiniMtu anapofikwa na mashaka na misuko suko kama hiyo, basihutokwa na Imaani mara moja na kuanza kuelekea kwenye IshrakiKama kwamba siye Bwana Mtume SAW aliyemuelezea hadithihiyo ilopita.“Basi Ad-duniya (Dunia) sijnul Muumin, ni jela yawalioamini (Mnyezi Mungu mmoja – <strong>Al</strong>lah) Wa Janntulkafir. Na ni pepo ya kafiri”.34

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!