12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

sokoni na madukani.Zinaa ni za namna mbiliYa kwanza: Ni ya mwenye kufanza hali ya kua na Mke (au Mume)na ile ya mjane (Bechula) au (Aazib). Ya kwanza ndo yenye dhambizaidi na hata adhabu yake ni nzito zaidi, kwani ni lazima apigwekwa mawe ndani ya handaki mpaka afe.Ya pili: Ni ya kupigwa mijeledi Mia moja. Na zinaa ya macho,katika kutizama Mwanamke asie kuhusu.Lakini vyovyote itavyokua, Bwana Mtume Saw anasema:“Azzinaa Yuw rithul faqr”.“Zinaa inarithisha ufukara”.Na ukichunguza kwa uadilifu hutokosa kuthibitisha kauli yake hiyokuwa ni kweli.Mfano wa Liwati na Kusagana (Maji ya ndimu). Liwati niaina ya fiili kati ya Mume na Mume. Badala ya kuoa Mke ambapondo iloruhusiwa na sheria, Mtu huoa Mume mwenzake pasinamanufaa yeyote bali kumwaya damu tu na kudhoofisha afya. Namaafa yake nayo ni makubwa, kwani wote hao hua na Laana zaMnyezi Mungu. “Ra-kib wal Marku-b” Mwenye kupanda namwenye kupandwa – wote hao.Amali mbaya hii ilianza wakati wa Naby Lut As.Haipungui miaka elfu sita nyuma, na ndo maana ikapewa jina hilo –Qawmu Luut- Basi watu wake waliangamizwa kwa kupinduliwa,chini juu pamoja na nchi yao.Amma kusagana ni kati ya Mke na Mke. Vitendoambavyo havielekei hata kidogo. Lakini kwa vitu vya Sheytani ndohupamba moto kati ya watu. Ni mambo hata wanyama hawafanzi,kwa hivyo, Mtu mwenye akili inataka afanze – jitihada aviachevitendo hivyo.Mfano wa kula Nguruwe Mnyama huyu mwenye mafutamengi mwilini na wadudu puani, anayo tarikh ndefu. Na hapahatuna makusudio ya kumbainisha hivyo (Kitabu chetu: “Jua namiezi 24 – juu ya ujao wa Mitume 25” - Tumeelezea habari zakehuenda kikatoka – Insha <strong>Al</strong>lah).Nguruwe ni namna mbili:Wa kwanza: Ni Mwenye kutokana na ubichi ubichi wa kinyesi.Wa pili: Ni Banii Israel (Binaadamu) walogeuzwa NguruweMaafa yake ni makubwa, lakini yenye madhara sana hakuna kama59.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!