12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Na Sadaka ni mfano wa Zakaa inapatikana Nguzo ya nne yaUislamu. Basi mpaka akitoa salam mwenye Kuswali huaameutimiza Uislamu wote. Kwa hiyo ikikutwa Swala yake imetimiazitakubaliwa na Amali zake zote, inayo maana nzito.1. Kusubiri na Kuswali ni Ibada mbili pekee ambazo ni ngumu nanzito sana. Bwana Mtume Saw amisemea “Subra” kua hainamalipo ila pepo. Na mara kadhaa wa kadhaa Mnyezi Munguamewasifu wenye kusubiri, kwani Yeye Mnyezi Mungu huapamoja na wenye kusubiri. Basi mwenye macho haitajikuambiwa “tizama”.Mambo ya faida kama hayo hayafai kuyawacha, lakini piakatika kuyapapia haifai kujingikiwa nayo kwa hivyo ni vyemakuijua Subra ni nini, na pia Swala. Amma Subra kwa kifupiinatosha kuidala vyema baada yakuijua ilivyogawanyika kwakekatika mafungu manne.Kusubiri katika Twaa ya Mnyezi MunguQur an <strong>Al</strong> Imraan: 3:200.“Enyi Mlioamini subirini na muwashinde makafiri(katika kusubiri) na kuweni imara (nyoyo zenu)na Mcheni Mwenyezi Mungu ili mpate kufaulu(Kufuzu)”.2. Kusubiri katika maasi ya Mnyezi Mungu. Nafsi yako ina milikatika maasi, wewe ukapigana nayo ukaifunga.3. Kusubiri katika kadhaa ya Mnyezi Mungu. Na utaacha wapikusubiria yaliyokwisha kukadiriwa juu yako na hali una aminikuwa “Khayrihi wa Sharhrihi minal Lahi?”.Mnyezi Mungu Anasema:Qur an Suratul Baqara: 2:155 – 156.71.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!