12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

asi ni bora kwenu. Ikiwa mnajua haya (basifanyeni)”.Katika utawala wa Kiislamu amal hii hupuuzwa na kuondoshwakabbisa kabbisa; na kufikia hata kuuawa ambae anakopesha kwafaida au kufungwa jela mpaka atoe maelezo ya kukoma kufanzakazi hiyo (Tazama maelezo yake katika tafsiri ya Qur an kwakiingereza, ya Abul <strong>Al</strong>a Maudud. Vol: 1. Page: 72).Na miungoni mwa mambo matatu ambayo Bwana Mtume Sawalipendelea apate miangaza zaidi juu yake - Ribaa ni moja wapo.Lakini hakuwahi – (Tazama pia maelezo yake, katika tafsiri yakiingereza ya Sheikh Yusuf <strong>Al</strong>y. No. 324, sahifa No. 111).Kadhalika na katika mifano mikubwa ambayo ni maarufu kwako,lakini unaipita bila ya nadhari ni ile ya: Kuuwa bila kukusudia(Fatal Accidents/Manslaughter).Amma kuua kwa makusudi tena Muislamu mwenzako, jazaa yakeni Jahannam, kama ilivyoelezea aya 93, ya Suratil Nnisaa ambayoSheikh Abdallah Swaleh El Farsy ameielezea vizuri khabari zakekatika ukurasa wa 124 wa Tafsiri yake.Lakini kuua bila kukusudia, mfano wa waendesha magari auwawindaji na kama hivi, wajue ya kwamba watatakiwa kuacha hurumtumwa mmoja, au kama hana anunue, kisha awalipe Diya watu wamarehemu. Na hiyo Diya ilokusudiwa na Mnyezi Mungu ni Ngamiamia moja, au thamani yake kama hazipatikani. Laa ikwa aliyemuuaakiwa ni Muislamu, lakini jamaa zake ni makafiri wanaopingana naWaislamu, basi itampasa ile haki ya Mnyezi Mungu tu ya kumfanyamtumwa huru. Tafauti na ikiwa makafiri wenyewe si wenyekupigana na Waislamu (haya yalihusika zama za vita vya Uhud,wakati Waislamu walipofadhaishwa na makafiri baada yakuzungukwa ikawa hawajui Waislamu wepi na makafiri wepi, kwahio walitokea kuuana kwa bahati mbaya).Bwana Mtume Saw alikadiria diya kua Ngamia 100, auNgombe mia mbili au Mbuzi <strong>Al</strong>fu mbili au Dinari 800 za Dhahabuau Dirham ya Fedha <strong>Al</strong>fu Nane.(tazama Maududi katika tafsiri yakeya kiingerezapage 157). Na anapokosekana mtumwa, basi nikufunga miezi miwili ya kufwatana, ambapo udhuru wa kufungaSwaumu ya kawaida hautatosha katika Swaumu hii ya toba. Naakiacha basi italazimu aanze upya.Basi lazima tuelewa ya kua faini zinazotolewa mahakamani63.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!