12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Anachukia asipoombwa.Na isitoshe kaonyesha jinsi (njia Method) ya kumuombakwa kusema:“Muombeni (Mwenyezi Mungu) kwa (Jina la)<strong>Al</strong>lah au muombeni (kwa jina la) Rahmaan”.Ikionyesha kua kila tunapopatwa na shida yeyote ndani yamaisha yetu, basi tumuombe Mnyezi Mungu kwa jina lenyemnasaba na ile shida yenyewe; na lazima litakuepo tu jina lenyekunasibiana na shida hiyo , amma sivyo ingembidi Mnyezi Munguaongeze majina mengine.Kwa hivyo katika mazingatio ya Maulamaa juu ya hakikahii wametupanua mawazo yetu kwa kuweka wazi njia za kuombea.Kwa ufupi tu njia mbili hizi zenye kutoshekeza mahitaji (aumatakwa yetu).1. Kumuomba kwa namna hiyo hiyo aloifahamisha yeyeMwenyewe wazi wazi kabisa “<strong>Al</strong>lah – au –Rahmaan” Jina moja <strong>Al</strong>lah ikiwa ndo kama Kubwalenye kutosheleza kwa jumla inamaanisha kua kwashida yeyote ile utafanikiwa tu ukilitumia jina hilo.Khilafi na Rahmaan ambalo linaweza kujihusisha namambo ya Neema kubwa kubwa au Rehma. Kwahivyo, kwa kufwata mfano huo pindi tukiwa na shidamfano wa “Ugonjwa” na tumeshindwa kuvumilia,tunahitaji kupona, basi tutatizama katika Majina 99tuone ni Jina lipi la Mnyezi Mungu mahususi kwatatizo letu? Bila shaka ni “Afuwwu” – “MwenyeKuafu” au “Shaafi” – “Mwenye Kuponyesha” basitutaomba uzima wetu kwa jina lake hilo.Mfano mwingine tuko hohe hahe, tunahitaji hali yauwezo wa kifedha, basi bilkul Mnyezi Mungu ni“Ghaniyyi” tutamtegemea yeye kwa jina lake hilo. Aukama tunachohitaji ni matayassar tu, basi bila shakayeyote Mnyezi Mungu pekee ndiye “Ra-zaq”Mwenye kuruzuku. Tutaomba kwa jina lake“Ra- zaq” au “Ba-switu” kwani ndiyo majina laaikkwa shida kama hizo.Amma Wakulimawanapokwisha kupanda wakawa wanategemea Molaawaletee Mvua ili kuotesha mbegu zao, basi81.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!