12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI: Mheshimiwa Naibu Spika, makubaliano ya usafiri wa angahayawezi kutukataza sisi tusimruhusu mtu ambaye ana ndege anataka kuja nayo hapa. Kwanza,tunapata malipo kwa kutua ile ndege na kupaki ile ndege na atanunua mafuta hapa lakini piaanapofanya hivyo anatutangazia kule wanakotoka ili watalii wengi zaidi waje. Kwa hiyo tunampaoption yule mtalii kama akitaka kutumia usafiri wa ndani hapa pia tunaruhusu, wazo ni zuri lakiniSheria za Usafiri wa Anga, hazitukatazi kumruhusu mtu kuja na ndege yake, in fact mapatoyanakuwa mengi zaidi kwa kufanya hivyo.MHE. LUCY P. OWENYA aliuliza:-Na. 404Utengenezaji na Uuzaji Vyakula KiholelaKumekuwepo na utengenezaji na uuzaji wa vyakula kiholela jambo ambalo ni hatari kwawalaji kama hakuna uangalifu katika zoezi hili:-Je, ni kwa jinsi gani mamlaka husika (TFDA) inachangia kwa kutoa elimu au kuzuiaukiukwaji wa taratibu na kanuni za utengenezaji wa vyakula?NAIBU WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII alijibu:-Mheshimiwa Naibu Spika, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Lucy Fidelis Owenya, VitiMaalum kama ifuatavyo:-Mheshimiwa Naibu Spika, usindikaji, hifadhi, usafirishaji wa chakula unasimamiwa kwamujibu wa Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi Na. 1 ya mwaka 2003 pamoja na kanuni zilizochini ya Sheria hiyo. Lengo ni kuhakikisha kuwa chakula kinachowafikia walaji ni salama ili kulindaafya zao.Mheshimiwa Naibu Spika, kutokana na kukua kwa sekta isiyo rasmi, kumekuwa naongezeko la wafanyabiashara wanaotengeneza na kuuza vyakula bila kuzingatia mashartiyaliyowekwa chini ya sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi ya mwaka 2003. Pamoja na kuwepokwa sheria hiyo kumekuwepo na changamoto ya wajasiriamali wadogo wa vyakulawanaoshindwa kutimiza masharti ya biashara kutokana na mitaji midogo waliyokuwa nayo.Mheshimiwa Naibu Spika, baadhi ya mbinu zinazotumiwa na TFDA kukabiliana nachangamoto hiyo na kuimarisha usalama na ubora wa vyakula vinavyozalishwa na sekta isiyorasmi ni kama ifuatavyo:-(i) Kutoa mafunzo kwa wajasiriamali wanaojihusisha na uzalishaji wa vyakula hususanviwanda vidogo, juu ya mbinu za utayarishaji wa chakula salama na bora, hata katika mazingiramagumu. Mafunzo haya hutolewa kwa ushirikiano na SIDO. Aidha, elimu hutolewa kupitiamaonesho mbalimbali kama wiki ya Utumishi wa Umma, Sabasaba na Nanenane.(ii) Kutoa elimu kwa umma kupitia vyombo vya habari juu ya misingi ya usindikajibora, kanuni za usafi na matakwa ya sheria katika uanzishwaji wa biashara za usindikaji kwa lengola kuwapa wananchi uelewa wa kubaini vyakula ambavyo vinaweza kuhatarisha afya zao.(iii) Kuendesha ukaguzi wa mara kwa mara kwenye maeneo ya kutengeneza nakuuza vyakula na pale inapoonekana mazingira ni tishio kwa afya ya jamii biashara hufungwa nahatua zaidi za kisheria kuchukuliwa.(iv) Ili kuimarisha ukaguzi huu TFDA imeanzisha Ofisi za Kanda, Kanda za Ziwa,Kaskazini, Mashariki na Nyanda za Juu Kusini. Matarajio ni kuongeza Ofisi za Kanda ya Kati,Magharibi na Kusini. Hatua hii itaongeza udhibiti wa bidhaa ikiwa ni pamoja na vyakula. Aidha,mamlaka inakasimu baadhi ya majukumu kwenye ngazi ya Halmashauri kwa lengo la kuongezaufanisi.11

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!