12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

· Kusimamia usambazaji wa machapisho, majarida na vitabu vya Kiswahili katika vituo vyautamaduni vya ofisi za ubalozi wa Tanzania zilizoko nje ya nchi pamoja na kutathminiufundishaji wa Kiswahili katika vituo hivyo.· Kufanya utafiti wa lugha za asili katika jamii 12 nchini.· Kuendesha mafunzo ya lugha ya Kiswahili sanifu kwa Waandishi na Wahariri wa Vyombovya Habari na kuendesha maonyesho ya machapisho ya lugha ya Kiswahili Kitaifa naKimataifa.· Kuratibu na kusimamia maadhimisho ya siku ya Utamaduni Duniani.· Kusimamia na kuendesha Mpango wa Kudumu wa Utamaduni katika kanda sita zaUtamaduni.· Kusimamia na kuendesha Tamasha la 30 la Sanaa na Utamaduni wa Mtanzanialitakalofanyika huko Bagamoyo.· Kusimamia ujenzi wa Jumba la Utamaduni eneo la Kiromo, Mkoa wa Pwani. Kushughulikiaumilikishwaji wa eneo kitakapojengwa Kituo cha Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Barala Afrika na kuandaa vikao vya Kamati ya uongozi vitakavyopitia na kujadili utekelezaji wamchakato wa ujenzi.· Kukusanya taarifa muhimu zinazohusu Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kwakushirikiana na Wizara, Idara na Taasisi mbalimbali.Mheshimiwa Naibu Spika, katika mwaka wa fedha wa 2011/2012, Baraza la KiswahiliTanzania (BAKITA) limepanga kutekeleza kazi zifuatazo:-· Kuandaa na kurusha vipindi 52 vya “Lugha ya Taifa”, vipindi 52 vya “Kumepambazuka”katika redio na vipindi 52 vya “Ulimwengu wa Kiswahili” katika televisheni.· Kuendelea kusoma Miswada ya vitabu vya taaluma na kuipatia ithibati ya lugha.· Kuratibu na kutoa huduma ya tafsiri na ukalimani katika mikutano ya kitaifa na kimataifana shughuli za Mashirika, makampuni na watu binafsi.· Kuendelea kuchunguza makosa ya Kiswahili yanayofanywa na vyombo vya habari nawatumiaji wengine na kusambaza masahihisho yake.· Kukarabati na kuboresha baadhi ya majengo ya NIC yaliyopo Kijitonyama, Dar esSalaam, yaliyonunuliwa ili yaweze kukidhi mahitaji ya kiofisi ili Balaza la Kiswahili Tanzania(BAKITA) lihamie katika majengo hayo na kuyatumia kama ofisi zake mpya.Mheshimiwa Naibu Spika, katika mwaka wa fedha wa 2011/2012, BASATA imepangakutekeleza kazi zifuatazo:-· Kuratibu midahalo 52 kupitia Jukwaa la Sanaa kwa Wasanii, Waandishi wa Habari naWadau wa Sanaa 3,600.· Kuendesha mafunzo ya Sanaa kwa Walimu 100 katika Wilaya mbili za Mkoa wa Morogorokuhusu utambaji wa hadithi na uchoraji.· Kuratibu chaguzi za viongozi wa mashirikisho manne ya Sanaa.· Kuandaa mkutano wa wahisani wa utunishaji Mfuko kwa ajili ya kutekeleza MpangoMkakati wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) wa mwaka 2011 hadi 2014.29

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!