12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Matangazo ya kazi naanza na tangazo la Mheshimiwa Waziri wa Kilimo, Chakula naUshirika Mheshimiwa Profesa Jumanne Abdallah Maghembe ambaye anatangaza kwamba kikaocha wadau wa Korosho kitafanyika hapa Dodoma, Jumamosi tarehe 20 Agosti, 2011.Mheshimiwa Profesa David Homeli Mwakyusa, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu yaBunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, anatangaza kuwa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge yaKilimo, Mifugo na Maji, anawatangazia Wajumbe wa Kamati yake kwamba, saa 7.15 mchana leokutakuwa na kikao cha Kamati hiyo katika ukumbi wa Pius Msekwa C.Makamu Mwenyekiti, Diana M. Chilolo, Kamati ya Nishati na Madini anawaombaWajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini tarehe 11 Agosti, kutakuwa nakikao cha Kamati, ukumbi namba 231 bila kukosa.Baada ya matangazo hayo, nitamwita… Karibu.MWONGOZO WA SPIKAMHE. JOHN J. MNYIKA: Mwongozo wa Spika!NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Mnyika unasimama mahali pako kwa kawaida nitakuona hujahaja ya kuweka microphone on, nikishakuona nitakupa nafasi. Sasa nakupa nafasi!Kwa Mbunge mwingine yeyote, usiwashe microphone mpaka nimekuruhusu ufanye hivyo.Mheshimiwa Mnyika!MHE. JOHN J. MNYIKA: Mheshimiwa Naibu Spika, nakushukuru. Naomba mwongozo wakokwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Kanuni ya 68(7) na Kanuni ya 133.Kanuni ya 68(7) inasema; “Halikadhalika Mbunge anaweza kusimama wakati wowoteambapo hakuna Mbunge mwingine anayesema na kuomba Mwongozo wa Spika kuhusu jamboambalo limetokea mapema Bungeni ili Spika atoe ufafanuzi kama jambo hilo linaruhusiwa nakama haliruhusiwi kwa mujibu wa Kanuni na taratibu za Bunge na majibu ya Spika yatatolewapapo kwa papo au kadri atakavyoona inafaa.”Kanuni ya 133 inasema; ‘……NAIBU SPIKA: Ahsante sana huja haja ya kwenda huko kwa kuwa hii imekidhi.MHE. JOHN J. MNYIKA: Kanuni ya 133(1) inasema; “Mbunge yeyote anaweza kutoa taarifaya maandishi kwa Spika ya kutaka kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu kwa mujibuwa Ibara ya 53(a) ya Katiba.Mheshimiwa Naibu Spika, kumekuwa na kawaida katika kipindi cha maswali na majibukwa Waziri Mkuu, kwa Waziri Mkuu kutoa majibu yenye upotoshaji…NAIBU SPIKA: Hebu kaa chini! Mheshimiwa John Mnyika, nawaombeni tuheshimu sanakikao hiki. Kanuni unayotaka kuitumia hiyo ya huko mbele inasema: “Mbunge yeyote awezakuleta taarifa ya maandishi” kama hivyo ndivyo unatakiwa ukaandike uilete katika maandishi.Huwezi kutumia fursa hiyo hiyo badala ya kuleta taarifa ya maandishi, wewe unaanza kusemahumu ndani. Ni kutumia vibaya Kanuni. Usitikise kichwa! Hapana! Unachotakiwa utumie hapa nihiyo uliyoanza nayo Kanuni ya 7 ya Mwongozo, lakini kama ni ya maandishi hebu isome tena.Irudie hiyo ya maandishi!MHE. JOHN J. MNYIKA: Mheshimiwa Naibu Spika, naomba unisikilize.NAIBU SPIKA: Isome tena na Wabunge wote wafungue Kanuni zao ili tuendelee.16

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!