12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

1. Mfuko wa Uwezeshaji maarufu kama Mfuko wa JK umeonesha kuwasaidia sanaWatanzania, hata hivyo vijana wengi vijijini hawakufaidika nao japokuwa ndiowazalishaji wakuu. Serikali itengeneze mpango maalum wa kuwafikishia rasilimalifedha vijana vijijini;2. Kwa kuwa kumekuwa na mazoea ya kuundwa kwa vigenge vya vijanawasiojishughulisha Mijini na Vijijini, Serikali irejee Sheria ya Nguvu Kazi na kuvigeuzavijiwe au vigenge hivyo vya vijana kuwa vikundi vya ajira na uzalishaji. Vikundihivyo vipewe nyenzo,mitaji na mafunzo ili pia kutatua tatizo la ajira;3. Kuanzishwe mfumo wa kutambua kazi rasmi na zisizo rasmi ili kuwaruhusu vijanakujiajiri;4. Vyuo vya VETA virudishwe Wizara ya Kazi na Ajira au Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo ili kusimamia vizuri sekta hiyo ya vijana kwani Vyuo hivyovinalenga maendeleo ya vijana hususan ajira;5. Kutambua vikwazo vinavyosababisha kutokuwepo kwa maendeleo endelevu yavijana; na6. Mikataba yote iliyosainia yenye kukuza na kuleta tija kwa vijana na utamaduni waTaifa itungiwe Sheria haraka ili Taifa linufaike na Mikataba hiyo.Mheshimiwa Naibu Spika, shukrani. Kwa niaba ya Kamati, naomba kukushukuru wewebinafsi kwa namna unavyoendesha Vikao vya Bunge kwa umahiri na busara na kwa kunipatianafasi ya kuwasilisha maoni ya Kamati. Aidha, nawapongeza Wenyeviti wote wa Kamati zaKudumu za Bunge kwa jinsi wanavyokusaidia kuendesha shughuli za Bunge.Mheshimiwa Spika, napenda kumshukuru Mheshimiwa Dkt. Emmanuel John Nchimbi (Mb)Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Naibu Waziri Mheshimiwa Dkt. Fenella EphraimMukangara (Mb), Katibu Mkuu Ndugu Sethi Kamuhanda, Naibu Katibu Mkuu, Ndugu SihabaNkinga na watumishi wote wa Wizara na Mashirika yaliyo chini ya Wizara hii kwa ushirikianomkubwa waliotupatia wakati wa kutekeleza kazi za Kamati. Kamati inawashukuru sana nakuwatakia mafanikio makubwa zaidi katika kazi za ujenzi wa Taifa letu.Mheshimiwa Naibu Spika, Kwa umuhimu wa kipekee, nawashukuru Wajumbe wa Kamatiyangu kwa ushirikiano mkubwa katika kutekeleza kazi za Kamati. Naomba niwatambue wajumbewa Kamati ya Maendeleo ya Jamii kama ifuatavyo:-Mheshimiwa Jenista J. Mhagama, Mwenyekiti na Mheshimiwa Juma Suleiman Nkamia,Makamu Mwenyekiti. (Makofi)Wengine ni Mheshimiwa Capt. John Damian Komba, Mheshimiwa Dkt.Getrude PangalileRwakatare, Mheshimiwa Fatuma Abdallah Mikidadi, Mheshimiwa Agnes Elias Hokororo,Mheshimiwa Mary Pius Chatanda, Mheshimiwa Moza Abedi Saidy, Mheshimiwa Donald Kevin Max,Mheshimiwa Joseph Osmund Mbilinyi, Mheshimiwa Mhe. Hamad Ali Hamad, Mheshimiwa AbdallahSharia Ameir, Mheshimiwa Salum Khalfan Barwany, Mheshimiwa Mariam Salum Msabaha,Mheshimiwa Mch.Assumpter Nshunju Mshama, Mheshimiwa Asha Mohamed Omar, MheshimiwaRamadhan Haji Salehe, Mheshimiwa Dkt. Seif Seleman Rashid, Mheshimiwa Rebecca MichaelMngodo, Mheshimiwa Said Mohamed Mtanda, Mheshimiwa Hussein Mussa Mzee na MheshimiwaLivingstone Joseph Lusinde. (Makofi)Mheshimiwa Naibu Spika, napenda kuwashukuru kwa dhati sana wananchi wa Jimbo laKondoa Kusini na Kondoa kwa ujumla na familia yangu yote kwa ujumla, lakini pia niwashukuruviongozi wote wa Vyama vya Upinzani katika Wilaya ya Kondoa wanaoshirikiana na mimisitowataja majina kwa sababu naogopa huenda wakafukuzwa.40

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!