12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

uchoraji na utambaji wa hadithi kwa watoto 200 wa shule nne (4) za msingi kutoka mkoa wa Dares Salaam.Mheshimiwa Naibu Spika, Bodi ya Ukaguzi wa Filamu na Michezo ya Kuigiza Jukwaaniiliundwa kwa Sheria ya Bunge Na. 4 ya mwaka 1976 kwa lengo la kusimamia maadili katika tasniaya filamu nchini, utoaji wa vibali vya utengenezaji wa filamu na leseni za kumbi za sinema. Katikakipindi cha mwaka wa fedha wa 2010/2011, Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Jukwaaniimesambaza jumla ya nakala 150 za Kanuni na Sheria ya Filamu Na.4 ya mwaka 1976 kwa wadaumbalimbali. Bodi imeendesha semina kwa wasambazaji wa filamu ikishirikiana na Shirikisho laFilamu na Mkutano Mkuu wa Sekta ya Utamaduni, pia imefahamisha wadau wengine kuhusuSheria hii. Kazi nyingine zilizofanyika ni pamoja na kukamilisha marekebisho ya Sheria ya Filamu naMichezo ya Jukwaani na kuandaa Waraka wa Baraza la Mawaziri, na baadaye kupata Sheriaitakayolinda maadili ya Taifa kupitia tasnia ya filamu.Mheshimiwa Naibu Spika, Bodi imeandaa orodha ya filamu zinazotengenezwa nchinikwa lengo la kufahamu idadi ya filamu, maudhui, watengenezaji, wasambazaji na mapatoyanayotokana na eneo hili. Kutokana na hatua hiyo, filamu 96 zilitengenezwa, nakala 66,800zilizalishwa na wastani wa shillingi 1,226,500,000/= zilipatikana. Filamu 50 za African Magic ziliuzwakwa takribani shillingi 57,765,000/= na nyingine kupelekwa Burundi, Kenya, Rwanda, Uganda,Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, Zambia, Malawi, Madagascar, Nigeria, Italia, Australia,Marekani na Ufaransa. Bodi imekagua filamu 105 na Miswada ya Filamu 65 na kuiweka katikamadaraja. Filamu 5 kati ya hizo zilipewa Daraja la R kwa maana ya kukataza filamu hizokuoneshwa katika hadhara kwa kuwa zimekiuka maadili ya Kitanzania. Kadhalika imetoa vibali 53vya utengenezaji wa filamu kwa watengenezaji wa filamu kutoka nje ya nchi. Bodi imeendeleakutoa ushauri kwa wadau wake ili kuinua viwango na kuboresha kazi zao kimaadili.Mheshimiwa Naibu Spika, Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSuBa) ilianzishwatarehe 2 Novemba, 2007 kwa Tangazo la Serikali Na. 220 kwa mujibu wa Sheria ya kuanzishwa kwaWakala wa Serikali Na. 30 ya mwaka 1997. Katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 2010/2011,TaSuBa imeendesha mafunzo ya Stashahada kwa washiriki 122 na mafunzo ya muda mfupi kwawasanii 80 walioko kazini. Aidha imekamilisha mitaala ya Shahada ya Kwanza kwa masomo yaSanaa za Maonyesho na Sanaa za Ufundi. Pia, imekamilisha kuandaa mtaala wa mafunzo yaCheti ya Uzalishaji na Usanifu wa Muziki. Mtaala huu utawasilishwa Baraza la Taifa la Mafunzo yaUfundi ili kupata ithibati na kwamba TaSUBa inatarajia kuanza kutoa mafunzo hayo mwaka wamasomo wa 2011/12.Mheshimiwa Naibu Spika, TaSUBa imeendeleza ushirikiano na washirika wake, kikiwemo ChuoKikuu cha Stavanger na Shule ya Utamaduni ya Stavanger ya Norway chini ya mradi wa NorwayTanzania (NOTA). Awamu ya pili ya mradi huu ilikwisha mwezi Juni 2011. Hata hivyo, Taasisiimeandaa andiko la mradi wa NOTA awamu ya tatu. Andiko hili litawasilishwa kwa Serikali yaNorway ambao ni wahisani wa mradi huu. Taasisi iliendesha Tamasha la Sanaa la 29 la Bagamoyo,lililofanyika tarehe 27 Septemba, hadi tarehe 2 Oktoba, 2010 na kaulimbiu yake ilikuwa ‘Sanaa naUtamaduni katika kukuza na kuimarisha Demokrasia’.Mheshimiwa Naibu Spika, Mfuko wa Utamaduni Tanzania ni chombo ambachokilianzishwa na Serikali ikishirikiana na Wahisani wa nje ili kusaidia vikundi vya wasanii vyenye miradiya maendeleo. Katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 2010/2011, Mfuko umeendeleza vituo vyautamaduni na masoko katika Mikoa ya Dodoma na Morogoro kwa kulipia ada za viwanja nakuanza maandalizi ya utengenezaji wa sehemu za kufanyia maonyesho wakati wa Maadhimishoya Nane Nane. Kadhalika, Mfuko umeendeleza viwanda vidogovidogo asilia vya nguo katikaMikoa ya Tanga, Singida, Ruvuma na Pemba.Mheshimiwa Naibu Spika, katika kipindi cha mwaka wa fedha 2010/2011, Wizara kupitiaIdara ya Maendeleo ya Michezo imeboresha Uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam kwa kuwekaviti vya kukaa watazamaji 20,000. Ukarabati huo unaendelea. Kadhalika, Wizara iligharamia ushirikiwa timu za Taifa zenye wachezaji 30 na viongozi 13 wa michezo ya Riadha, Kuogelea, Mpira waMeza, Ngumi katika Michezo ya Jumuiya ya Madola iliyofanyika huko India. Aidha, ilishiriki katikamikutano ya kimataifa ya kujenga uwezo na mahusiano ya kimichezo Kimataifa. Washiriki wakuu26

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!