12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kamati, watafute kwa nini hili tatizo lipo na wafanye jitihada ili limalizike na huyu Katibu Mkuuarudishwe kwenye nafasi yake. (Makofi)Wacha sisi tulichukue Kibunge, maana Wizara wameshindwa na Baraza wameshindwa.Wacha sisi katika nafasi yetu kwa kutumia Kamati yetu, na Mheshimiwa Nkamia waifanye hiyo kazi.(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa upande wa football nina kila sababu ya kumpongezaMheshimiwa Tenga kwa kazi nzuri ambayo anaifanya toka ameingia kwenye uongozi wa TFF,amefanya mambo mengi sana. Najua changamoto zipo. Najua mapungufu yapo, lakini ukwelinasema amefanya kazi nzuri na yako mafanikio makubwa.Mheshimiwa Mwenyekiti, huko nyuma, mimi nilikuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji waFAT Taifa, kwa hiyo, nayafahamu. Sisi tulipokuwa pale, ukilinganisha na sasa yako mafanikio mengitu. Kwa mfano, ratiba na kalenda ya football sasa hivi unakwenda sambamba na FIFAkiulimwengu mzima. Mashindano ya kirafiki, haya mashindano rasmi ya klabu, friendly matches,yote haya sasa hivi tunakwenda in line na wenzetu wa FIFA.Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini toka ameingia Tenga, moja ya problem ambayo ilikuweponi kwamba, kulikuwa hakuna imani kwa Chama cha Mpira kutoka kwa Wafadhili na Wahisani, namatokeo yake tulikuwa hatupati ufadhili wala uhisani kwenye Chama cha Mpira. Leo wewe nishahidi Mheshimiwa Mwenyekiti kwamba, TFF wamejenga imani kwa wafadhili kiasi kwamba, TFFwanapata ufadhili mzuri sana kutoka katika vyombo mbalimbali.NMB wanafadhili, TBL wanafadhili, Vodacom wanafadhili, hawa wasingekuja kamawangekuwa na wasiwasi kwamba, fedha zao hizi wanazotoa, basi zinapunjwa hivi. Ni kaziambayo imefanywa na Mheshimiwa Tenga na Kamati yake ya Utendaji. Naomba niipongezesana kwa mafanikio haya ambayo wameyapata na ninaomba uniruhusu vilevile niwapongezesana TBL, niwapongeze sana Vodacom na niwapongeze sana NMB kwa kuthubutu kufadhilimasuala ya mpira ambayo hata kama unavyoona kwenye Kagame Cup iliyopita, basi ufadhiliwao ndiyo umesababisha Tanzania tukaweza kushiriki na alhamdulilah, Yanga wakawamabingwa. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini vilevile huko nyuma kulikuwa na migogoro mingi katika TFFau katika FAT. Leo wewe mwenyewe unaona, hata magazeti siku hizi hayaandiki tena mambohayo. Ni kazi nzuri ambayo imefanywa na Mheshimiwa Tenga. Lakini kama alivyosemaMheshimiwa Mohamed Seif, tulifika namba ya 89 mwaka 2009 kama nipo sawasawa, yeyeamesema mwaka 2007, lakini nipo tayari kuwa corrected kati ya mwaka 2007 na 2009 tulifikanamba mbili (two digits), namba ya 89 katika ubora katika ulimwengu, 89 sio kazi ndogo hiyo, chiniya kazi nzuri ambayo imefanywa na wenzetu hawa. Sasa tumeporomoka tuko 123, 127, 129,vyovyote itakavyokuwa lakini tumeshuka chini, lakini awali tulifika mahali pazuri.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa hiyo, nasema kwa TFF mimi naomba niwapongeze, lakininiwaombe changamoto zilizopo waziangalie. Moja ya changamoto waliyonayo, kwa kweliwazungumze na waamuzi. Yako malalmiko mengi sana kwa timu zetu za mpira wakilalamika. TimuA, timu B, timu C, mimi sitaki kuwataja, lakini kimsingi yako malalamiko mengi ya waamuzi,ningeomba sana TFF waliangalie hili kwa sababu linaweza likaharibu sifa nzuri hii ambayoninajaribu kuieleza.Mheshimiwa Mwenyekiti, Mheshimiwa Mohamed Seif, amezungumza vizuri. Changamotowaliyonayo ni kukazania timu za vijana, klabu zetu hizi ziwe na timu za viajana. Haya mambo yakusajili sijui kutoka wapi, kutoka wapi, mambo ya kuanza kushutumiana siyo mazuri. Lakini kamawana timu nzuri za vijana, kama ambavyo ilikuwa miaka ya nyuma ile miaka ya 1960 na 1970akina Kocha Victor Stansilaus alivyokuja hapa kutoka Romania na Simba wenzetu walimletamwingine, mambo yalikuwa mazuri. Kwa hiyo, tuimarishe timu zetu za vijana, Footbal Academyzetu tuzifungue na tuziimarishe. Hapa naomba nimpongeze sana Mheshimiwa Mwenyekiti waBaraza la Michezo - Mheshimiwa Kipingu, ni mfano mzuri kwa kusimamia soka la vijana, amekuwa60

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!