Mheshimiwa Naibu Spika, vile vile napenda kutoa elimu kidogo kwa Wabunge wenzangukwamba ratio ya Walimu wa vyuo ni tofauti kidogo na ratio ya Walimu wa sekondari. Ratio yaWalimu wa sekondari tunasema Mwalimu mmoja awe na wanafunzi 40 darasani lakini kwenyevyuo vya ufundi tunasema Mwalimu mmoja kwa ratio ya wanafunzi 16 tu. Kwa hiyo, udahili wawalimu utakuwa unaendelea kuongezeka kadri ya changamoto hii ya ratio ya Walimu.NAIBU SPIKA: Ahsante sana Waheshimiwa Wabunge maswali ya leo yamekwisha na mudawetu nao umekwisha, nimekuona Mheshimiwa Silinde umesimama.TAARIFAMHE. DAVID E. SILINDE: Mheshimiwa Naibu Spika, wakati kipindi cha maswali kwa WaziriMkuu kinakwisha nilisima kutaka kutoa taarifa na taarifa yangu ni kama ifuatavyo…..NAIBU SPIKA: Kabla hujatoa taarifa, taarifa hiyo unampa nani?MHE. DAVID E. SILINDE: Mheshimiwa Naibu Spika, taarifa hiyo ninaipeleka kwa MheshimiwaWaziri Mkuu kuhusiana na jibu alilolitoa…..NAIBU SPIKA: Unatumia kifungu gani cha Kanuni, naomba ukisome.MHE. DAVID E. SILINDE: Mheshimiwa Naibu Spika, kanuni ya 68(8).NAIBU SPIKA: Naomba uisome.MHE. DAVID E. SILINDE: Kanuni ya 68 inasema; Vilevile Mbunge yeyote anaweza kusimamamahali pake na kusema taarifa na kwa ruhusa ya Spika atatoa taarifa au ufafanuzi wa Mbungeanayesema ambapo Spika atamtaka Mbunge anayeketi kusikiliza taarifa hiyo.’NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, ukisoma kifungu hiki kinahusu Mbungeanayechangia wakati akizungumza katika mazungumzo yake kama kuna jambo ambalo unahitajikumpa taarifa utamtaarifu Spika ili amwambie huyo anayesema wakati huo aketi ili umpe taarifayako. Lakini huwezi kukitumia kifungu hiki baada ya jambo hilo kuwa limepita, inatakiwa utafuteutaratibu tena mwingine lakini siyo utaratibu wa taarifa.Naomba niendelee na matangazo baada ya hapo tutaendelea kama kuna jambolingine, uendelee kujipanga lakini kwa Kanuni hiyo umechemsha.Lakini la pili si rahisi Mbunge yeyote kumpa taarifa Waziri kwa sababu Wazirianachokisema ni msimamo wa Serikali. Wewe umeuliza swali, Waziri anakujibu kutokana na Serikaliambavyo imeona kufuatana na jambo hilo, sasa utampa taarifa ipi? Lakini kama ni uchangiaji wakawaida au mambo ya namna hiyo inatakiwa utumie jambo lingine lakini taarifa kidogo inakuwahaikai sawasawa. Kipindi cha maswali kwa kawaida tradition ya Bunge hili huwa hatutoleanitaarifa, kuna mtu anatikisa kichwa nadhani ni Esther Matiko au nani? Ninapoelekeza sibishani,ninapoelekeza, unanisikiliza vizuri, unakwenda na ninachokisema ili hoja yako iweze kufika vizuri naili uweze kuzitumia Kanuni hizi vizuri kwa sababu siyo la kwake ni la Serikali.Sina haja ya kufundisha ziko namna na vifungu vingine vya kuvitumia ili ujumbe wakouweze kufika lakini taarifa siyo mahali pake, waulizeni Wabunge ambao ni Ma-senator hapawatawaeleza.Waheshimiwa Wabunge nina matangazo, wageni waliopo katika jukwaa la Spika niwageni wa Mheshimiwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dokta EmmanuelNchimbi ambao ni pamoja na Ndugu Jane Kijazi Nchimbi ambaye ni mke wake, Mama Nchimbikaribu sana. Alex Nchimbi ambaye ni mdogo wake na Dokta Margreth Mtaki, Mwenyekiti waTUGHE. Karibuni sana. (Makofi)14
Pili, Wakurugenzi na Wakurugenzi wasaidizi, Wakuu wa Asasi na Taasisi zilizo chini ya Wizarapamoja na wadau wote wa Habari, Utamaduni na Michezo wakiongozwa na Sethi Kamhuhanda,Katibu Mkuu na Sihaba Nkinga, Naibu Katibu Mkuu. Karibuni sana. (Makofi)Kwa hatua hii niwatambue endapo wapo jukwaa la Spika, Wahariri wote mliopo humundani na naomba kama mpo msimame mahali mlipo. Ahsanteni na karibuni sana katika Bungeletu. (Makofi)Naomba niwatambue Wenyeviti wa Bodi na Mabaraza ambao ni Ndugu Rose Sayore,Dokta Frowin Nyoni, Profesa Elias Jengo, Ndugu Lalua Simba na Ndugu Kanali Iddi Kipingu. Karibunisana. (Makofi)Nne, ni wageni wa Mheshimiwa Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya, Mheshimiwa Sugu,Waziri Kivuli wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambao ni Ndugu ThabitiMtambuzi, Baba mlezi wake wakati akiwa nchini Marekani. Ahsante sana kwa kumlea MheshimiwaMbunge. (Makofi)Wasanii wa Bongo Fleva pia wamefika ukumbini hapa, lakini naomba niwatambuewachache miongoni mwao ni Ndugu Afande Selle oooh! Uko kwenye Jukwaa jekundu! Karibusana. Pia ndugu Soggy Doggy, Dokta Levy, Ndugu Dani Msimamo, Ndugu Hisabati na NduguRama Dee. Ahsante sana. (Makofi)Wapo pia watangazaji wa Mbeya FM Ndugu Stan Lambat na Ndugu Jackline. Karibunisana. (Makofi)Pia kuna wageni wa Mheshimiwa Charles Muhangwa Kitwanga, Naibu Waziri waMawasiliano, Sayansi na Teknolojia (Mawe Matatu) Ndugu Pammla Petrueka, Associate Professor,University of Saskatchewan. Ahsante sana. (Makofi)Ndugu Emmanuel Makongoro Programme Coordinator, Green Hope Tanzania, NduguTumaini Lusenga International Liaison Director Green House USA na Ndugu Juma Waziri NdondeCoordinator. Karibuni sana. (Makofi)Lakini pia wapo wageni muhimu sana asubuhi ya leo nao ni, Kamati ya Utendaji ya Umojawa Vijana Chama cha Mapinduzi Taifa, wanaongozwa na Mfaume Ally Kizito, Naibu Katibu MkuuBara. Karibuni vijana tunajua mnafanya kazi nzuri na hivi karibuni tunawatarajia katika baadhi yamaeneo kule Tabora na Arusha, kazi nzuri. (Makofi)Pia kuna wageni wa Waheshimiwa Wabunge waliopo katika jukwaa la wageni ni pamojana wageni wa Mheshimiwa Angellah Jasmine Kairuki kutoka Taasisi ya Kijerumani ya FES hapanchini wakiongozwa na Dokta Stephan Chrobot Mkurugenzi Mkazi. Ahsante sana. (Makofi)Wageni waliofika kwa ajili ya mafunzo ni wanafunzi 70 kutoka Shule ya Sekondari yaJamhuri Dodoma, kama kawaida yenu wanafunzi wa Jamhuri kwa kweli mko smart, naombawanafunzi wanaoona sasa hivi nchi nzima waangalie wanafunzi wa Shule ya Jamhuri Dodoma nawaige utaratibu huu. Karibuni sana Bungeni, wanafunzi wengine nao wanakaribishwa Bungeni nau-smart huu uendane na utendaji mzuri zaidi katika kufaulu mitihani yetu. Tunawatakia kila la kheriwanafunzi na Walimu wote mliokuja. (Makofi)Vile vile kuna Wasanii sita wa KISUVITA kutoka Manispaa ya Dodoma na Wasanii wa tasniaya filamu kutoka, Dar es Salaam, karibuni sana. (Makofi)Pia kuna wageni wa Mheshimiwa Murtaza Ally Mangungu ambao ni Baraka Kange, Raiswa wanafunzi India, karibu sana utupelekee salam kwa vijana wenzako. Waziri Mushashimwanafunzi wa CBE na Ahmed Mikohe mwanafunzi wa Kairuki University. Karibuni sana. (Makofi)15
- Page 7 and 8: Mheshimiwa Naibu Spika, lakini umeg
- Page 11 and 12: NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI: Mheshimiw
- Page 13: NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA
- Page 17 and 18: MHE. JOHN J. MNYIKA: Naomba unisiki
- Page 19 and 20: inaongozwa na Mbunge wa Jimbo la Pe
- Page 21 and 22: Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuha
- Page 23 and 24: Mheshimiwa Naibu Spika, Baraza la H
- Page 25 and 26: katika kukuza na kuimarisha Demokra
- Page 27 and 28: wakiwa ni Baraza Kuu la Michezo Bar
- Page 29 and 30: · Kusimamia usambazaji wa machapis
- Page 31 and 32: · Kutoa taarifa katika magazeti ku
- Page 33 and 34: · Kufanya tathmini na ufuatiliaji
- Page 35 and 36: 2011 wakati wa vikao vya Kamati vil
- Page 37 and 38: na Mfuko wa Vyombo vya Habari na Ba
- Page 39 and 40: · Serikali itenge fedha za mafunzo
- Page 41 and 42: Mheshimiwa Naibu Spika, aidha, nape
- Page 43 and 44: kuzifanya za kuielimisha jamii juu
- Page 45 and 46: Mheshimiwa Mwenyekiti, pamoja na um
- Page 47 and 48: wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UD
- Page 49 and 50: (iii)(iv)(v)(vi)(vii)Chuo Kikuu cha
- Page 51 and 52: kuendelea kufanya vibaya na kuambul
- Page 53 and 54: Serikali, sasa sisi tayari Umoja wa
- Page 55 and 56: iangaliwe. Tena nashukuru hii Wizar
- Page 57 and 58: kunichagua kuwa Mbunge wao kwa mara
- Page 59 and 60: Mheshimiwa Mwenyekiti, mpira wa mig
- Page 61 and 62: na Academy yake, huyu ndiye mtu wa
- Page 63 and 64: matangazo ya kudhalilisha nchi yetu
- Page 65 and 66:
Mheshimiwa Mwenyekiti, suala lingin
- Page 67 and 68:
Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa hivi ni
- Page 69 and 70:
namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa
- Page 71 and 72:
Bunge. Mheshimiwa Waziri Mkuu alipo
- Page 73 and 74:
pombe tu, wanaishia kunywa pombe, b
- Page 75 and 76:
Nishukuru wafadhili na hasa TBC bas
- Page 77 and 78:
ushuru kwenye vifaa vya michezo. Vi
- Page 79 and 80:
Mheshimiwa Mwenyekiti, niende TBC,
- Page 81 and 82:
Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini kuna
- Page 83 and 84:
Je, hawa watu wapo na wanafanya kaz
- Page 85 and 86:
hapa Bungeni, yupo kule kwenye ofis
- Page 87 and 88:
Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza natak
- Page 89 and 90:
tunakwenda Wizara ya Utamaduni kwa
- Page 91 and 92:
MHE. MARYAM SALUM MSABAHA: Wale wen
- Page 93 and 94:
jambo hili la kuhakikisha kwamba ku
- Page 95:
na yakizungumza habari ya interest