12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mheshimiwa Naibu Spika, Baraza la Habari Tanzania limekuwa likifanya kazi kwa ushirikianona Wizara yangu na tumekuwa tukishauriana katika mambo mbalimbali kwa manufaa ya taalumaya habari. Hivi sasa Baraza, chini ya ushauri wa kitaalam wa National Council for TechnicalEducation (NACTE) na udhamini wa UNESCO limekamilisha mtaala wa mafunzo ya uandishi wahabari kwa ngazi za 4 hadi 6 (level 4 – 6) ambazo ni ngazi za cheti (basic certificate), cheti cha juu(advanced cerificate) na diploma. Mtaala huu utaviwezesha Vyuo vya Uandishi wa Habariambavyo vimesajiliwa kuweza kupata ithibati ya NACTE na hivyo vyeti vyake kutambuliwa rasmi.Wizara inafuatilia kwa karibu mchakato huu ambao Serikali inaamini utasaidia kukuza kiwangocha taaluma ya habari.Mheshimiwa Naibu Spika, Wizara yangu inapenda pia kulipongeza Baraza la Habari kwakazi nzuri linaloifanya ya kusikiliza malalamiko ya wananchi ambao hawatendewi haki na baadhiya vyombo vya habari. Baraza linafanya kazi hiyo nzuri licha ya kutokuwa na uwezo waKimahakama wa kutoa adhabu. Wizara itaendelea kushirikiana na Baraza katika utekelezaji wajukumu lake hilo muhimu kwa manufaa ya wananchi wote.Mheshimiwa Naibu Spika, kwa kutambua umuhimu wa maadili katika kuendeleza taalumaya habari nchini, Wizara inashirikiana na Jukwaa la Wahariri na chama cha wamiliki wa vyombovya Habari katika kuelimisha na kuhimiza waandishi wa habari kuzingatia maadili katika utendajiwao wa kazi. Jitihada hizi za ushirikiano tayari zimeanza kuzaa matunda.Mheshimiwa Naibu Spika, ni matumaini ya Wizara yangu kuwa juhudi hizi za pamoja katiya Serikali na wadau wote wa habari zitasaidia katika kuimarisha sekta ya habari ili iendelee kutoamchango mkubwa katika kuharakisha maendeleo na ustawi wa nchi yetu.Mheshimiwa Naibu Spika, katika mwaka wa fedha 2010/2011, Mfuko wa Maendeleo yaVijana umeendelea kuimarishwa ikiwa ni pamoja na kutoa mikopo kwa vijana kupitia SACCOS.Mpaka kufikia mwezi Juni 2011, jumla ya SACCOS 242 zilikopeshwa Shilingi 1,210,000,000. Aidha,muda wa marejesho ya fedha, ambao ni mwaka mmoja tangu SACCOS ilipokopeshwa,umekamilika. Mpaka sasa, jumla ya Shilingi 46,350,000 zimerejeshwa na SACCOS tisa (9) kutokaHalmashauri za Wilaya ya Muheza, Kilolo, Mbarali, Manispaa ya Lindi na SACCOS moja kutokaManispaa ya Ilala. SACCOS zilizorejesha zitakopeshwa tena.Mheshimiwa Naibu Spika, Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2010 zimeratibiwa nakukimbizwa katika Mikoa yote 26 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya kaulimbiu “MalizaMalaria, Malaria haikubaliki”. Mbio hizo pia zilitumika kuwahamasisha wananchi na hasa vijanakushiriki katika shughuli za maendeleo hususan zile za kiuchumi, kupambana na maambukizi yavirusi vya UKIMWI, dawa za kulevya, vitendo vya rushwa na ukatili dhidi ya binadamu nakuwahamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura kwa amani wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani mwaka 2010. Kupitia mbio za Mwenge wa Uhuru, jumla ya miradi 1,393yenye thamani ya shilingi 146,464,203,116.29 iliwekewa mawe ya msingi na mingine ilizinduliwawakati wa mbio hizo. Wizara inaendelea kuratibu maandalizi ya mbio za Mwenge kwa mwaka2011.Mheshimiwa Naibu Spika, vijana kutoka sehemu mbalimbali za nchi yetu walishiriki katikaWiki ya Vijana, kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na maonesho ya wajasiriamali nawaelimishaji vijana yaliyofanyika katika viwanja vya Mwanga Mjini Kigoma. Jumla ya taasisi 176 zavijana na wadau mbalimbali walishiriki maonesho hayo yaliyoanza tarehe 8 hadi 13 Oktoba, 2010.Wakati wa maonesho ya Wiki ya Vijana wananchi walielimishwa masuala mbalimbali ikiwa nipamoja na majukumu yanayotekelezwa na Serikali na taasisi zake, wadau wa maendeleo nakupewa elimu ya ujasiriamali, afya ya uzazi na VVU/UKIMWI. Pamoja na maonesho hayo, jumla yawatu 936 walijitokeza kupima VVU, kati yao wanaume walikuwa 556 na wanawake walikuwa 380ambapo watu 15 kati yao wanawake wanane (8) na wanaume saba (7) walikuwawameambukizwa VVU, sawa na asilimia mbili ya watu waliojitokeza kupima VVU.Mheshimiwa Naibu Spika, katika jitihada za kuhakikisha vijana wetu wanapata stadi zamaisha na kupambana na changamoto za utandawazi zinazowakabili, ikiwa ni pamoja nakuwapatia elimu sahihi ya afya ya uzazi na kukabiliana na VVU/UKIMWI, Wizara kwa kushirikiana na23

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!