12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

· Kuandaa onyesho moja la sarakasi kwa kushirikisha wasanii wa ndani na nje ya nchi kwalengo la kutunisha mfuko kwa ajili ya utekelezaji Mpango Mkakati wa BASATA.Mheshimiwa Naibu Spika, katika mwaka wa fedha wa 2011/2012 Bodi ya Filamuimepanga kutekeleza kazi zifuatazo:-· Kupitia Miswada 240 ya Filamu na kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu maboresho ya filamuna uzingatiaji wa maadili.· Kukagua filamu 240, kutoa ushauri wa maboresho ya filamu hizo na kuona kama maadiliyamezingatiwa, pia kuhakikisha filamu hizo zinakidhi viwango vya kuingia sokoni nakupanga filamu hizo katika madaraja.· Kuhakikisha kwamba filamu zinazotengenezwa zinazingatia maadili ya Kitanzania,zinatangaza Taifa na zinazingatia Sheria ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Jukwaani Na. 4ya mwaka 1976 na Kanuni zake.· Kutoa vibali 60 vya kutengeneza filamu kwa watengenezaji wa filamu wa nje na ndani yanchi.· Kutoa vibali saba (7) vya uzinduzi na matamasha ya filamu.· Kutoa vibali vitano (5) vya wasanii wa filamu kutoka nje ya nchi wanaokuja kushirikiana nawatengeneza filamu wa nchini.· Kuandaa Tamasha la Filamu za Kitanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Filamu.· Kutoa leseni za uendeshaji kumbi za maonyesho ya filamu.· Kuendelea na zoezi la kuandaa orodha ya filamu zinazotengenezwa nchini kwa lengo lakufahamu idadi ya filamu, maudhui, watengenezaji, wasambazaji, mapato na idadi yafilamu zinazouzwa nje ya nchi.· Kuendelea na ukusanyaji wa takwimu za Tasnia ya Filamu nchini ili kuwajua nakuwatambua watunzi wa filamu, watengenezaji, wasambazaji, waigizaji, wapiga picha,mapromota na vibanda visivyo rasmi ili kudhibiti kuzagaa kwa filamu zinazokiuka maadiliya Kitanzania.· Kuweka alama kwenye filamu zote zilizokaguliwa.· Kutoa vitambulisho kwa wasambazaji wa filamu, vitambulisho hivyo vitakuwa vikihuishwakila mwaka.· Kusambaza vipeperushi 3,000 na kanuni kwa wadau nchini kote ili kuitangaza Bodi yaFilamu, kutambulisha wajibu wake na kuifahamisha jamii maadili ya Taifa.· Kukamilisha marekebisho ya Sheria ya Filamu, lengo likiwa ni kupata Sheria itakayoendanana wakati na hivyo kuendelea kulinda maadili ya Taifa katika tasnia ya filamu.· Kuimarisha Bodi za Wilaya na kutafuta fursa ya kuwapa semina elekezi.· Kufanya operesheni ya filamu zote zisizokaguliwa mara Kanuni za Sheria ya Filamuzitakapotangazwa katika Gazeti la Serikali.· Kusimamia mapato yatokanayo na tasnia ya filamu ili kuongeza pato la Taifa, pato lamsanii na kuhakikisha mapato yote yanayotokana na filamu yanafika Serikalini.30

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!