12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi sioni kama inafundisha chochote, kwa anayeangalia ile BigBrother Africa, jamani sisi Waafrika tunatumiwa, tunatumiwa ili tupotoshe maadili yetu, Big BrotherAfrica rafiki yangu mimi siikubali. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba sana basi watu wetu Watanzania tusiwapeleke kulekwa sababu, kweli sipendi kuongea mengi unajua mimi nikisema tena inakuwa tatizo, lakini naulizaBig Brother Africa ina maana gani, inafunza jamii zetu hasa za Afrika? Mmh! (Makofi/Kicheko)Mheshimiwa Mwenyekiti, kuhusu michezo, mimi na-declare interest, mimi ni Yanga tenaYanga damu kwa sababu ninalipia ada, napenda kuwapongeza sana Wanayanga kwa ushinditulioupata wa Kombe la Kagame, lakini pia nawaambia Simba Mheshimiwa Sitta samahani,nawaambia Simba na wao wasinyonge roho, mwakani wanaweza wakachukua wao, lakiniYanga Oyeee. (Kicheko)Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda sana kuipongeza timu hii, ilikuja juzi hapa Bungenitukaipongeza hapa, lakini vilevile napenda kupongeza pia timu ya mpira ya wanawake ya Taifa,timu ya mpira ya Yanga na timu zingine zinakuwa ziko high class, lakini nashangaa kwa nini timuyetu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake haipewi msukumo. Hivi sasa wana mechi zaochungu mzima, hawana hela, niliona kwenye TV jana wanasema wanaomba wafadhili, wafadhilimpaka lini? Kwa nini Serikali haiwawekei fungu lao hawa wanamichezo? Hawa Yanga na Simbakila siku hawatengewi fungu lao, kila siku TBL wanafadhali. Ni vizuri Tanzania Breweries, Vodacomwanafanya vizuri sana wafadhili wetu hawa lakini haileti moyo mzuri kwa Taifa tunaomba Serikaliiji-commit kwenye mambo haya kwa sababu michezo ni ajira. (Makofi)Mheshimiwa Spika, naomba kuunga mkono hoja. (Makofi)MWENYEKITI: Nakushukuru sana, ninaomba nichukue fursa hii kutambua uwepo wa NaibuKatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ndani ya ukumbi huu wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Asha-RoseMigiro. (Makofi)Karibu sana mama, karibu sana Tanzania na Bunge hili lote linajivunia kazi njemaunayoifanya huko duniani, tunakuombea maisha marefu ya furaha na utendaji uliotukuka katikaUmoja wa Mataifa, karibu sana. (Makofi)Waheshimiwa Wabunge, sasa naomba tuendelee Mheshimiwa Stephen Ngonyanimaarufu Profesa Maji Marefu na Mheshimiwa Maryam Msabaha ajiandae na Mheshimiwa HamadAli Hamad ajiandaye. (Makofi)MHE. STEPHEN H. NGONYANI: Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza nataka nimpongeze WaziriMkuu kwa kuwa makini sana ndani ya Bunge hili, vilevile nataka nimpongeze Waziri wa Michezona Utamaduni Ndugu yangu Mheshimiwa Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa amepata Wizaraisiyopandishiwa Bajeti kwa miaka mitatu lakini mvumilivu, Mungu akubariki.Mhehsimiwa Mwenyekiti, kwanza nitoe fani yangu mimi ni mganga, nataka Wabungewajue kwamba mimi ni mganga na wananchi wajue hivyo mimi ni mganga. (Makofi)MWENYEKITI: Mheshimiwa Ngonyani, samahani naomba ukae kwanza. (Makofi)Waheshimiwa Wabunge, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amefuatana namume wake Profesa Migiro, tunamkaribisha sana, karibu sana. Pia amefuatana na wasaidizi wakeanaitwa Mheshimiwa Tuvako Manongi, pamoja na ujumbe wote ambao mmefuatana naotunawakaribisha sana. (Makofi)Waheshimiwa Wabunge naomba tuendelee. (Makofi)MHE. STEPHEN H. NGONYANI: Mheshimiwa Mwenyekiti, nashukuru maana kazi ya ugangahata watu wengine wanasahaulika ndiyo maana yake. (Makofi)86

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!