12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI alijibu:-Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, naombakujibu swali la Mheshimiwa Abdul Jabir Marombwa, Mbunge wa Kibiti kama ifuatavyo:-Mheshimiwa Naibu Spika, mafunzo ya ualimu wa ufundi nchini yapo ya aina mbili nahutolewa katika vyuo viwili tu. Chuo cha Ualimu Kleruu hutoa mafunzo ya ualimu katika ngazi yastashahada na Chuo cha Ufundi Stadi Morogoro hutoa mafunzo ya Ualimu wa Ufundi katika ngaziya Cheti na Stashahada. Walimu wa ufundi huandaliwa kufundisha katika shule za sekondari zaufundi na walimu wa ufundi stadi huandaliwa maalum kufundisha katika vyuo vya ufundi stadi nakujiajiri wenyewe.Mheshimiwa Naibu Spika, wahitimu wa Chuo cha Ualimu cha VETA, Morogoro wa mwaka2010 walikuwa 87, kati yao 35 walitoka vyuo mbalimbali vya ufundi stadi yaani in service, hivyobaada ya kuhitimu walirudi kazini. Hata hivyo, wahitimu 13 kati ya 52 walijigharamia wenyewewaliajiriwa katika vyuo vya VETA.Mheshimiwa Naibu Spika, Chuo cha VETA, Morogoro kinaandaa walimu wa ufundi stadikwa ajili ya soko la ajira ambalo linapanuka na vilevile kuwawezesha kuajiriwa katika vyuo binafsivya ufundi ambavyo kwa sasa ni 672 nchini.Mheshimiwa Naibu Spika, napenda pia kumfahamisha Mheshimiwa Mbunge kuwa lengokubwa la Serikali ni kuwawezesha wahitimu wanaomaliza mafunzo hayo ya ufundi stadi kuingiakatika ujasiriamali au kushindana katika soko huria. Hivyo, walimu wa ufundi wasio na ajira ambaopia ni mafundi wanaweza kutumia fursa zilizopo kujiajiri au kujiunga pamoja na hivyo kuwezakupata mikopo kutoka Taasisi za fedha kuendesha maisha yao.NAIBU SPIKA: Afisa Elimu, Mheshimiwa Abdul Marombwa!MHE. ABDUL J. MAROMBWA: Mheshimiwa Naibu Spika, nashukuru kwa kunipatia nafasi napia nimshukuru Naibu Waziri kwa majibu mazuri aliyonipatia. Pamoja na majibu mazuri hayo ninamaswali mawili ya nyongeza. Kwa kuwa Serikali yetu inatarajia kuanzia mwakani kufungua vyuovya ufundi katika kila Wilaya. Je, Serikali imejiandaa namna gani ili kuhakikisha kuwa Walimuwanapatikana, yasije kutokea kama yaliyotokea katika mpango wa MMES ambao tulijenga shuleza sekondari bila kuwa na Walimu. Je, Serikali ina mpango gani kuhusiana na hilo?Pili, ni kwamba kwa kuwa mpaka sasa bado katika vyuo vyetu vingi sana vya ufundi vyaSerikali vina upungufu mkubwa na kwa kuwa Walimu waliobaka ni 39 tu. Je, Serikali ina mpangogani wa kuwachukua Walimu hawa kwa dharura ili waweze kuajiriwa na kufundisha katika Vyuovya Ufundi vya Serikali?NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI: Mheshimiwa Naibu Spika, ni kweli kabisaSerikali imedhamiria kujenga au kuanzisha Vyuo vya Ufundi Stadi kila Wilaya na pale ambapotutashindwa kwa miaka hii miwili au mitatu basi tunavibadilisha vile vyuo vya FDCs kuwa Vyuo vyaUfundi, VETA. Lakini tuna changamoto hii ya Walimu kama anavyosema kwamba katika Mpangowa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMES), tatizo lilikuwa ni Walimu, tulianza kujenga kabla yaWalimu lakini vile vile hata katika mpango huu wa hivi vyuo vya VETA tumeshapata fundisho hilona tunajitahidi sasa kudahili Walimu wengi wa ufundi.Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali inao utaratibu wa kupata Walimu wa ufundi stadi kamanilivyosema Vyuo vya Kleruu, Iringa na Chuo cha Morogoro kwa ajili ya ualimu. Lakini vile viletunavyo vyuo vingi, tunacho Chuo cha DIT yaani Dar es Salaam Institute of Technology, tuna MISTChuo cha Ufundi, Mbeya yaani Mbeya Institute of Science and Technology, tunayo AIT yaaniArusha Technical College na St. Joseph. Vyote hivyo tumeongeza udahili na maana yake kilamwaka tunategemea Walimu wa vyuo wamalize kuanzia 550. Kwa hiyo, nina uhakika ndani yamiaka miwili mpaka mitatu tutapata Walimu wengi wa Vyuo vya Ufundi VETA.13

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!