12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

napenda kutumia nafasi hii kuwapongeza Mheshimiwa Dokta Ali Mohamed Shein kwakuchaguliwa kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mheshimiwa Mizengo KayanzaPeter Pinda, Mbunge wa Katavi kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kwa mara nyingine kuwaWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Aidha, naomba nimpongeze Mheshimiwa, Anna Makinda, Mbunge wa Njombe, kwakuchaguliwa kuwa Spika wa kwanza mwanamke wa Bunge la Jamhuri ya Muungano waTanzania. Nakupongeza wewe binafsi Mheshimiwa Job Ndugai, Mbunge wa Kongwa kwakuchaguliwa kuwa Naibu Spika. Nawapongeza pia waliochaguliwa kuwa Wenyeviti wa Bunge naWenyeviti wa Kamati mbalimbali.Mheshimiwa Naibu Spika, napenda kwa namna ya pekee niwapongeze viongozi wotewalioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuongoza Wizara na Taasisimbalimbali za Serikali. Pongezi za pekee pia ziwaendee Wabunge wote waliochaguliwa nawananchi na wengine kuteuliwa na Mheshimiwa Rais na ambao wamejiunga katika Bunge lakoTukufu kutoka katika Chama cha Mapinduzi na Vyama vingine.Mheshimiwa Naibu Spika, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kusimamambele ya Bunge lako Tukufu kwa mara ya kwanza kama Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni naMichezo. Napenda kumshukuru kwa dhati Mheshimiwa Rais Dokta Jakaya Mrisho Kikwete, kwaheshima aliyonipa ya kuniteua kuwa Waziri anayesimamia majukumu ya Wizara hii na pia kumteuaMheshimiwa Dokta Fenella Mukangara kuwa Naibu Waziri.Aidha, nawashukuru kipekee wananchi wa Jimbo langu la Uchaguzi la Songea Mjini, kwamoyo wao wa upendo wa kunichagua tena ili niendelee kusaidiana nao katika utekelezaji wamajukumu ya kuleta maendeleo katika Jimbo letu.Mheshimiwa Naibu Spika, nawashukuru pia Watanzania wote hususan Vijana,Wanamichezo, Wasanii na Wanahabari kwa ushirikiano mkubwa wanaoendelea kunipatia tangunilipoteuliwa. Kwa namna ya pekee, naomba nikishukuru Chama Cha Mapinduzi, kwa kuniteuakuwa mgombea wa Jimbo la Songea Mjini.Mheshimiwa Naibu Spika, mwisho, sitaisahau familia yangu, hasa mke wangu mpendwa,Jane Kijazi Nchimbi na watoto wangu, kwa uvumilivu wao wa kukosa kuwa nami muda mwingininapokuwa nikitekeleza majukumu ya Kitaifa.Mheshimiwa Naibu Spika, natumia fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania kwa kuzindua rasmi, Rasimu ya Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitanoambayo kwa mara ya kwanza inatoa vipaumbele na mwelekeo wa nchi yetu kwa miaka mitanoijayo. Nawapongeza Mawaziri waliotangulia kuwasilisha hoja zao, hususan Waziri Mkuu wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda, kwa hotuba yake fasahayenye maelekezo ya utekelezaji wa kazi za Serikali kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2011/2012.Waziri Mkuu ameainisha malengo ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo, Malengo yaMilenia na Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini (MKUKUTA II).Mheshimiwa Naibu Spika, aidha, nampongeza Mheshimiwa Stephen Wasira, Waziri, Ofisiya Rais Mahusiano ya Jamii; kwa kuwasilisha rasmi Rasimu ya Mpango wa Maendeleo wa MiakaMitano kwenye Bunge lako Tukufu. Namshukuru pia, Mheshimiwa Mustafa Haidi Mkullo, Mbungena Waziri wa Fedha kwa hotuba yake nzuri inayoonesha hali ya uchumi nchini na mipango yamaendeleo ambayo imetoa mwelekeo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka 2011/2012.Mheshimiwa Naibu Spika, hotuba hiyo pia imetoa mwelekeo wa hali ya uchumi wa nchiulivyo na mapato ya Serikali. Naomba kwa namna ya pekee niwashukuru Waheshimiwa Wabungewaliochangia hotuba za Mawaziri walionitangulia. Maoni waliyotoa yamesaidia kuboreshamipango ya Serikali katika sekta mbalimbali, zikiwemo sekta zilizoko chini ya Wizara hii.Mheshimiwa Naibu Spika, baada ya maelezo hayo ya awali, naomba sasa kutumia fursahii kuipongeza na kuishukuru Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, ambayo18

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!