12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Mwenyekiti, suala lingine ni utamaduni. Tukitaka tusitake, utamaduni waMtanzania umeanza kuathirika kwa kiasi kikubwa mno kwa kufuata tamaduni za wageni. Siyotamaduni ya Watanzania kuvaa rasta hata siku moja, wala siyo utamaduni wa Mtanzania kuvaanguo nusu uchi. Siyo utamaduni wetu! Siyo heshima zetu! Siyo silika zetu! (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa leo tumefikia hatua ya kwamba Watanzania hatuthaminihata miili yetu au ngozi yetu ambayo tumejaliwa kupewa na Mwenyezi Mungu, kuna Watanzaniaambao wanadiriki kula vidonge, eti wabadilishe ngozi za miili yao. Sasa hii, ni kuchuma maradhi yamakusudi kwa sababu rangi hiyo unayoipata ambayo siyo majaliwa yako, rangi yako uliyojaliwana Mwenyezi Mungu, ndiyo hiyo hiyo, basi rangi hiyo unayoipata haikusaidii chochote. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, suala la sanaa, nakubali kwamba wasanii Tanzania hawajapewaumuhimu unaostahiki, na ni jukumu la Serikali kupitia Wizara husika kuhakikisha kwambaimewaandaa wasanii wa Kitanzania ili waweze kuliletea Taifa hili maendeleo ya kweli. Lakinisanaa nazo zina mipaka yake, sanaa nyingine zinakiuka maadili na silika za Watanzania. Kunabaadhi ya michezo ambayo inachezwa na baadhi ya wasanii wanaonyesha mambo ya siri zandani za baba na mama mbele ya watoto jambo ambalo siyo somo la kuweza kumpa mtoto waTanzania, linakiuka maadili na silika za Watanzania. Ni aibu, kashifa, baadhi ya CD au kandazinazoonyeshwa kwa hadhara ya vijana wetu wadogo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, nirudie kusema kwamba siyo utamaduni wa Mtanzaniamwanamke kuweza kuvaa nguo za kiume na hakuna dini yoyote inayoruhusu kufanya hivyokuweza kuvaa nguo za kiume na hakuna dini yoyote inayoruhusu kufanya hivyo. Hakuna diniinayomtaka mwanamke atembee nusu uchi. Haya yanatendeka. Leo tunakaa tunawasemavijana kwamba vijana wetu wanakuwa ni wakorofi, wakati sisi wazazi ndiyo source wa matatizoyale. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, nije katika suala la michezo. Nakubaliana na wenzanguwaliosema kwamba michezo ni sehemu ya ajira. Hivyo, kwanini kama kweli Tanzania tunatakatuonekane katika medani ya kimataifa kwamba na sisi tunaweza, tusiweze kuwatoa vijana wetukuwapeleka popote nchini, lakini wakaenda wakasoma sekta hii ya michezo wakaja hapawakalitumikia Taifa lao na kulipatia faida Taifa lao? (Makofi)Tunachukua mtu kutoka nje kwa ajili ya kuja kusomesha hapa, lakini unapochukua kundi lavijana ukawapeleka nje kwa ajili ya kwenda kusoma, aidha, iwe mpira wa miguu au mpiramwingine wowote, basi wanapoingia hapa, wao watakuwa ni walimu bora wa kuwasomesha,wengine na Taifa hili halitakuwa tena na uchache wa wanamichezo utakaoweza kuwafundishawengine. (Makofi)Sasa niseme kama Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imetengewa Shilingibilioni 18.5 na hiki ndicho walichoomba na wao wamesema kwamba kumeongezeka point moja.Hatufiki popote katika Sekta ya Michezo. Bado tutaendelea kurudi chini, bado tutakuwahatuendelei kimichezo na bado tutatafuta walimu wa kuja hapa kuchukua riziki zao ambazohazitawasaidia Watanzania halafu warudi kwao, ni matajiri. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, natoa pendekezo kwamba kuna haja ya kujenga kiwanja kilaMkoa ambacho kitashirikisha michezo yote, lakini vilevile kuwe na viwanja angalau vinne, iwe niKanda ya Ziwa kiwanja kimoja, Kusini kiwanja kimoja, Kati kiwanja kimoja na Kaskazini kiwanjakimoja. Hivi viwe ni viwanja ambavyo vitatambuliwa kuwa ni viwanja vya kimataifa vilivyopoTanzania, na Zanzibar kuwe na kiwanja kimoja. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, nadhani siyo Watanzania wengi ambao hawapendi michezo.Mimi mwenyewe ni mwana sanaa, na tayari nimeshatunga kitabu changu, rasimu ipo hapa,nimeieleza wakati nilipotakiwa nikijaza fomu, nilifikiria angalau nitaitwa nihojiwe juu ya rasimu hii navipi inaweza ikatoa mchango kwa Taifa? Lakini sijaulizwa mpaka leo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, nashukuru, ahsante sana. (Makofi)65

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!