12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

yaliyoainishwa katika Sera ya Utangazaji ya mwaka 2003, Sheria ya Bunge namba (3) ya mwaka2010 pamoja na Kanuni za Utangazaji za mwaka 2005.Mheshimiwa Naibu Spika, katika kipindi cha mwaka 2010/11, Kamati ilishughulikiamalalamiko ya ukiukwaji wa maadili ya utangazaji na kuhakikisha kuwa kanuni za utangazajizinazingatiwa. Jumla ya malalamiko ya maudhui ya vipindi tisa (9) yalipokelewa. Kati ya hayomalalamiko nane yalishughulikiwa na lalamiko moja linaendelea kufanyiwa kazi.Mheshimiwa Naibu Spika, mchango wa vyombo vya Habari binafsi. Tangu mabadiliko ya sera zakiuchumi na kisiasa ya miaka ya 90 kumekuwa na ukuaji mkubwa wa sekta ya habari nchini.Mabadiliko hayo yameshuhudia kuanzishwa kwa vyombo vingi vya habari binafsi, hususanmagazeti. Hivi sasa Tanzania ni moja ya nchi chache Barani Afrika zenye idadi kubwa ya vyombovya habari na uhuru mpana wa vyombo hivyo. Hali hiyo imechangia sana katika kukuza nakupanua uelewa wa wananchi wa mambo mbalimbali yanayohusu maisha na maendeleo yao.Watanzania wengi hivi sasa wana uelewa wa hali ya juu wa mambo yanayotokea hapa nchini naduniani kwa ujumla.Mheshimiwa Naibu Spika, dhima ya vyombo vya habari duniani kote ni kuhabarisha,kuelimisha na kuburudisha. Wizara yangu ambayo ina dhamana ya kusimamia vyombo vyahabari nchini itahakikisha kuwa dhima hiyo inatekelezwa kikamilifu kwa kuzingatia weledi namaadili ya taaluma ya habari.Mheshimiwa Naibu Spika, ni kwa sababu hiyo Wizara imeamua kuimarisha utaratibu wakuwasiliana na vyombo vya habari hususan vyombo vya habari binafsi na wadau mbalimbali wahabari kwa lengo la kuboresha utendaji wa vyombo hivyo ili viwahudumie wananchi kwa ufanisizaidi. Katika hili, Wizara yangu imedhamiria kwa dhati kushirikiana na wadau wote wa habarikatika kuweka mazingira endelevu yatakayowezesha kuwepo kwa ukuaji zaidi wa uhuru wavyombo vya habari hapa nchini.Mheshimiwa Naibu Spika, hivi sasa sehemu kubwa ya vyombo vya habari nchiniinamilikiwa na watu binafsi. Wizara yangu inatambua na kuthamini mchango mkubwa na muhimuwa vyombo hivi katika kutoa habari na taarifa mbalimbali kwa wananchi. Vyombo vya habaribinafsi vinafanya kazi nzuri kwa Taifa letu ukiondoa kasoro ndogo ndogo zilizopo ambazo Wizarayangu inazifanyia kazi kwa ushirikiano wa karibu na vyombo hivyo.Mheshimiwa Naibu Spika, pamoja na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Taifaletu, vyombo vya habari vya binafsi pia vimekuwa tegemeo la ajira kwa wanahabari wengi vijana.Idadi kubwa ya vijana wanaohitimu mafunzo ya uandishi wa habari wanapata ajira kwenyevyombo hivyo, jambo ambalo limesaidia kwa kiwango fulani kupunguza tatizo la ajira miongonimwa vijana wetu.Mheshimiwa Naibu Spika, Wizara itaendelea kuhakikisha kwamba mafunzo ya uandishi wahabari yanaboreshwa ili kuwawezesha vijana wengi zaidi kupata ajira kwenye sekta hii muhimu.Tayari Wizara yangu imeanzisha mazungumzo na Mfuko wa Habari Tanzania (TMF) kuhusuuwezekano wa Mfuko huo kufadhili mafunzo ya muda mrefu kwa baadhi ya waandishi wa habariwenye sifa stahiki.Aidha, vyombo vya habari kwa ujumla wake vinaisaidia Serikali katika kupata mrejeshokutoka kwa wananchi kuhusu sera na mipango ya maendeleo inayotekelezwa nchini. Kwamfano, katika miaka ya karibuni tumeshuhudia jinsi vyombo vya habari vilivyokuwa katika mstariwa mbele kupiga vita dhana potofu kama vile mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino)kwa shabaha za kupata utajiri; vikongwe kwa kuwatuhumu uchawi; unyanyapaa dhidi yawaathirika wa UKIMWI na watu wenye ulemavu pamoja na unyanyasaji wa kijinsia.Mheshimiwa Naibu Spika, Taasisi za Wanahabari zisizo za Kiserikali. Miongoni mwa taasisina vyombo vinavyosaidia katika kuboresha utendaji wa vyombo vya habari hapa nchini ni Barazala Habari Tanzania (MCT), Jukwaa la Wahariri (TEF) na Chama cha Wamiliki wa Vyombo vyaHabari (MOAT).22

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!