12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

ya ya kutupa vifaa vizito, basketball ya kutumia baiskeli, riadha, football, wanacheza hawa. Katikakucheza kwao, wameshawahi kutuwakilisha huko kwenye Mataifa ya mbali. Kila mara timu hizizinapojaribu kwenda nje, mara zote wamerudi na medali tofauti na michezo inayochezwa nawatu wenye macho, miguu na masikio wakati mwingine wanarudi bila kitu (zero). Hawa wanarudina medali, na medali hizi ni sifa ya Taifa hili. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini mpaka kufikia hatua ya nchi yetu kufahamika nje kutokanana walemavu hawa kufanya juhudi, wenye ulemavu hawa hawasaidiwi kikamilifu wakati wamaandalizi ya hayo mashindano. Kuna walioleta medali 11 mwezi wa Sita tu, kama Vyombo vyaHabari navyo tunavisikiliza.Mheshimiwa Mwenyekiti, nitumie fursa hii kuvishukuru kabisa vyombo vya habari, kwambavinathubutu kabisa kutoa taarifa ya mambo haya. Wale walikuwa watu wenye ulemavu wa akilichini ya Olimpiki maalum, walikwenda kushindana kimataifa, wakarudi na Medali 11 mwezi wasita, nchini hapa. Lakini maandalizi yao pale walipoweka Kambi salvation army Dar es Salaamyalikuwa yanasikitisha. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, inasikitisha kwa sababu hata huduma muhimu za maana zilezilikosekana na mjue kwamba, kwa watu wenye ulemavu kama ni elimu yao, kama ni kazi zaozinagharimu zaidi kuliko michezo ya wazima. Kwa hiyo, hata kuangaliwa wanahitajika waangaliwezaidi kwa sababu wana mahitaji maalum ya ziada ili kuweza kufanikisha chochote kile ambachomtu mwenye ulemavu anapaswa kukitekeleza au kukifanikisha nchini. Hata chakula kilikuwa tatizo,wasaidizi waliwekewa wachache tu.Kwa mfano, kwa upande wa ulemavu wa akili mtoto mmoja anahitaji kuwa na wasaidizihata wawili. Mwingine anacheka hovyo, mwingine anafanya hivi, wanapaswa kusaidiwa wale,lakini wasaidizi walikuwa wachache. Makocha walikuwa wawili tu wa kuwaelekeza hiyo michezoyote ambayo walikwenda kushiriki huko mbele ya safari. Hivi Serikali hawakulijua hili? Kwaninitunaachia tu chama kinachohusika? Kama vyama vikubwa vinasaidiwa sijui na TFF, sijui nawadhamini gani, sembuse vyama vya michezo vya watu wenye ulemavu?Hamjui kwamba havina fedha wala uwezo ni moyo tu wa kwenda kuwakilisha nchi za nje,hawakusaidiwa. Kama ni msaada unakuwa sijui wa tiketi ile ya kwenda kule, lakini hii tiketiutampeleka huko kwa kushinda kitu gani kama huku nyumbani hujamsaidia kumtayarisha huyumtu. Matayarisho ya wanamichezo wetu tena hapa sio tu kwamba wenye ulemavu, matayarishoya wanamichezo wetu katika michezo mbalimbali wanapokwenda nje, jamani inakuwa sio mizuri.Mheshimiwa Mwenyekiti, jana nimesikiliza kwenye vyombo vya habari wanariadhawanaokwenda sijui Mozambique wanalalamika, netball Taifa Stars sijui timu gani ile Twigawanalalamika, inakuwaje hatuwezi kushinda kama maandalizi huku nyumbani hatuyavalii njuga,halafu tunasema tunarudi watu wendawazimu. Sasa kama huku nyumbani kwenyewe ndiotunakaribisha uendawazimu, kule watakwenda kuponyeka na uendawazimu si watarudi tu hivyohivyo. Kwa hiyo, hili limenisikitisha pamoja na kwamba watoto hawa wamerudi na medali lakinihawakusaidiwa. Sasa kinachofurahisha ni kwamba tunafurahia tu ushindi, lakini maandalizihatuyakamilishi. Mimi ninaomba sana michezo ya kundi hili ithaminiwe wasaidiwe kuandaliwa kwasababu mara zote wamerudi na ushindi. Kila mwaka wanaposhiriki wanarudi na ushindi sasa kwanini tusiendelee kuwapa moyo? Kwa nini tusiwathamini na wao wanatuletea kinachofaa?(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kingine ambacho ningependa kukizungumzia ni juu ya vyombovya habari. Vyombo vya habari navishukuru kwa ujumla wake televesheni, magazeti pamoja nakwamba wakati mwingine ndio hivyo tunawalalamikia kwamba aah, wanaandika andikawanatuonyesha vitu ambavyo havisaidii, nadhani wameshasikia itabidi wajirekebishe. Lakini kwaupande wangu nashukuru vyombo vya habari vinapoenda kwa masuala ya watu wenye ulemavukwa kweli hawaoni kuvitoa vile vitu hadharani. Kwa mfano mwenye ulemavu anapohitaji kitu, juzitu hapa kama mme-note TBC Dodoma ilimsaili kijana mmoja ambaye ametoka Kondoa nabaiskeli iliyotengenezwa na mbao, sijui wenzangu mliiona? Kokocho kokocho amejieleza TBCwamemuonyesha. (Makofi)74

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!