12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), alisema sekta ya muziki pekee ikifanyiwa maboresho,inaweza kuiingizia Serikali mapato ya kodi ya wastani wa shilingi bilioni 50 kwa mwaka.Mheshimiwa Mwenyekiti, tafiti chache zilizowahi kufanyika, ukiwemo utafiti wa Taasisi yaRULU/BEST – AC, wa mwaka 2007/2008, zimeonyesha kuwa Wasanii na Serikali kwa pamoja,wamekuwa wakipoteza mapato mengi yatokanayo na biashara ya kazi za sanaa, hususan muzikina filamu kama ifuatavyo:-(i)(ii)(iii)(iv)(v)Maharamia wameendelea kurudufisha santuri na kanda za muziki, filamu nakazi nyingine za sanaa na kujipatia mapato haramu kwa jasho la Wasanii, lakinihakuna hatua kali zinazochukuliwa kukomesha hali hii.Wasanii wengi wamekuwa wakiingia mikataba isiyo na manufaa kwao bainayao na Wadhamini, Wazalishaji, Wasambazaji wa kazi za Sanaa na hivyokunyonywa kimapato, kwa sababu tu ya kukosa uelewa mzuri wa masuala yamikataba na kutokuwepo udhibiti wa kutosha wa Serikali.Serikali kwa mwaka 2007 pekee, ilipoteza mapato ya muziki ya jumla ya shilingibilioni 71.Kodi inayokusanywa na Serikali katika Sekta ya Muziki, inapatikana katikaasilimia 12 tu ya kiwango cha mapato kinachotakiwa kulipiwa kodi kwenyesekta hiyo.Wakati wa utafiti iligundulika kuwa ni asilimia 12.5 tu ya Wafanyabiashara wakazi za Sanaa, ndio waliokuwa wamelipa mirabaha, asilimia 87.5 hawakuwawamelipa.Mheshimiwa Mwenyekiti, ili kukabiliana na wizi na uharamia huu wa kazi za sanaa nakuokoa mapato ya Wasanii na ya Serikali, Kambi Rasmi ya Upinzani inapendekeza yafuatayo:-Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza, COSOTA iwe Mamlaka. Kambi Rasmi ya Upinzaniinapendekeza kuwa Sheria ya Hakimiliki na Hakishiriki Na.7 ya mwaka 1999 ifanyiwe marekebishokwa lengo la kuipa meno zaidi ya kulinda haki na kuhakikisha Wasanii wananufaika na kazi zao.Moja ya mapendekezo ni kuifanya COSOTA kuwa chombo chenye nguvu zaidi katika kulinda kaziza Wasanii kuliko ilivyo hivi sasa.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa hiyo katika sehemu ya marekebisho tunayopendekeza,Kambi Rasmi ya Upinzani tunataka Sura Na. 218 ya Sheria ya Hakimiliki na Hakishiriki, ifanyiwemarekebisho ili kuunda Mamlaka ya Hakimiliki Tanzania (Copyright Regulatory Authority ofTanzania (CORATA) badala ya kuiacha COSOTA kama ilivyo hivi sasa. Mamlaka hayayakishaundwa yatakuwa na nguvu zaidi ya kushughulikia mambo mbalimbali ya kazi za wasanii,yawe ndio msimamizi na mratibu wa masuala ya Hakimiliki kwa kushirikiana na Vyama vya Msingivya Wasanii vilivyopo chini ya BASATA, kama vile Chama cha Muziki Wa Dansi Tanzania(CHAMUDATA) na kile cha Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya yaani Tanzania Urban MusicAssociation (T.U.M.A), tofauti na sasa ambapo COSOTA imebakiwa na kazi ya kusajili kazi zawasanii na kukosa nguvu ya kuzilinda. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, pamoja na kuwa mwenye Hakimiliki ana jukumu la kulinda hakizake kwa kwenda Mahakamani pale anapoona haki yake imepokwa na mtu au kikundichochote, bado ipo haja ya kuhakikisha kuwa Polisi wetu wa Upelelezi wanahusika moja kwa mojakatika kulinda haki za Wasanii. Mathalani, nchini Marekani hawana Polisi wa kulinda hakimiliki mojakwa moja, lakini Shirika lao la Upelelezi (FBI), limekuwa likifanya uchunguzi wa mara kwa marakuhusu hakimiliki za wasanii, kila kunaporipotiwa suala la wizi wa kazi za msanii na limekuwalinahusika moja kwa moja katika kutoa ushahidi na kusaidia kupatikana kwa haki ya msanii husika.Mheshimiwa Mwenyekiti, Kambi Rasmi ya Upinzani inapendekeza kuwa Taasisi za Serikali,Polisi na Forodha washirikiane kwa karibu na Mamlaka ya Hakimiliki na Hakishiriki tunayotakaianzishwe (CORATA), kukomesha uharamia wa kazi za sanaa. Forodha watengeneze utaratibu wa47

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!