12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

na yakizungumza habari ya interest ya Taifa, walikuwa wanazungumza habari za watu wachache.Hili lazima tuliangalie. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, nikitoka huko nije kidogo kwenye Baraza la Michezo la Taifa(BMT) sheria za michezo zinabadilika siku hata siku. Huwezi kuwa na watalaam wa mwaka 1962 leoukategemea wata-produce kitu kizuri kwa maendeleo ya Taifa hili katika michezo. Hatuna fungula kutosha lililotengwa kwa ajili ya kuwasomesha watalaam wetu, Baraza la Michezo lilishamalizamuda wake kutoka mwaka 2009, jengo lao walilonalo pale linavuja, mvua ikiwa inanyeshawanakimbia kwa sababu zile nyaya za umeme pale zinaleta matatizo. (Makofi)Mimi nilikuwa nashauri tuna uwanja mzuri sana pale uwanja wa Taifa, tuna vyumba zaidiya mia moja na kitu kwa nini BMT wasihamishiwe pale wakatumia zile ofisi pale TFF. AmesemaMheshimiwa Hamad kwamba TFF wanapata fedha kutoka FIFA, ni ruzuku ambayo kesho na keshokubwa inaweza ikafa. Lakini fedha hizi haziendi katika mikoa ipasavyo. Kwa mujibu wakumbukumbu zangu vyama vya mikoa vimepewa shilingi milioni mbili tu na kompyuta tangu fedhahizi zianze kutolewa na Tanzania Football Federation. Viongozi wa vyama vya michezo vya mikoakazi yao ni kwenda kupiga kura kumchagua Rais wa TFF. Hatuwezi kuendeleza michezo namnahiyo. Ile fedha ishuke huku kwenye grassroots ili tuweze kuwatengeneza vijana katika mikoa tuwena timu nzuri za Taifa. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, timu ya Taifa ya Tanzania zamani Serikali ilikuwa inatoa ruzukutimu inapokwenda kwenye mashindano ya Kimataifa, siku hizi haipo. Nchi nyingine zote zilizopigahatua maendeleo ya michezo katika timu zao za Taifa kuna fedha zinatengwa kwa ajili yamaandalizi ya timu za Taifa. Ningeomba sana Serikali ione hili, michezo ni ajira na sisitunavyofahamu kwamba michezo umuhimu wake leo kila Mbunge, Bunge likivunjwa ataondokana mipira kwenda jimboni kwake hapa kwa ajili ya vijana wanaompigia kura kule. NingeombaSerikali itazame jambo hili iweze kusaidia ili timu zetu za Taifa zifanye vizuri. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, watalaam wanaokuja kutoka nje, ikiwa tuna watalaam wapopale watu kutoka Cuba, tuna Paulsen wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu tuna wengine. Kunamwingine anaitwa Paulsen wa vijana tungewa-task hawa na TFF wakisaidiana na Wizara kwambawanasaidia kuwafundisha makocha wetu wa ndani walau kozi fupi fupi ili wanapoondoka at leasttuwe na makocha kadhaa. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naunga mkono hoja. (Makofi)MWENYEKITI: Waheshimiwa Wabunge, kwanza napenda niwashukuru wote kwa ushirikianowenu kwa michango mizuri mliyoonyesha kwa ajili ya nchi yetu. Kabla sijaahirisha shughuli naombaniwataje ambao kesho baada ya Maswali na Majibu watachangia. Tutaanza na MheshimiwaSusan Lyimo, Mheshimiwa Moza Saidy pia Mheshimiwa Profesa Kulikoyela Kahigi na wenginewatatajwa na watakaokuwa mezani kesho.Naahirisha shughuli za Bunge hadi kesho saa tatu asubuhi. (Makofi)(Saa 12.29 jioni Bunge liliahirishwa hadi siku ya Ijumaa, Tarehe 12 Agosti, 2011 saa tatu asubuhi)95

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!