12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

kutoza kodi kikamilifu kwenye kazi za muziki, filamu na sanaa nyingine zote zinazouzwa nje ya nchina Mashirika ya Uzalishaji wa Kazi za Muziki –waunde ushirikiano na taratibu zao za kukabiliana nauharamia wa kazi za sanaa kwa mapana yake.Mheshimiwa Mwenyekiti, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Februarimwaka huu, wakati akizindua kampeni ya kuzuia malaria ambayo iliwashirikisha baadhi yawasanii, aliahidi kuundwa Kikosi Kazi (Task Force) kitakachowashirikisha COSOTA, Polisi, Tume yaushindani, TRA, BRELA, Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na wasanii mbalimbaliwanaojihusisha na sanaa ili kutafuta ufumbuzi dhidi ya uharamia na wizi wa kazi za sanaa.Mheshimiwa Mwenyekiti, Kambi Rasmi ya Upinzani inaitaka Wizara kuliarifu Bunge hili, je,Kikosi Kazi hicho kiko wapi mpaka leo? Kama kiliundwa, kiliundwa kwa taratibu zipi na kwa ninisuala hilo haliko wazi?Mheshimiwa Mwenyekiti, Mradi wa Stickers kwenye kazi za sanaa. Mbali na marekebishohayo ya kisheria na kimfumo tuliyopendekeza, Kambi Rasmi ya Upinzani pia tunaitaka Serikalindani ya mwaka wa fedha wa 2011/2012, itenge fedha za kutosha kwa ajili ya kuanzisha utaratiburasmi wa kuwa na Stickers kwa ajili ya kazi zote za sanaa, hususan kwenye kanda na Santuri zamuziki, filamu na kazi zote za sanaa zinazoshikika na kuuzika. Hapa tunashauri kuwa mamlakatunayotaka ianzishwe, yaani (Copyright Regulatory Authority of Tanzania) ishirikiane kwa karibu naMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kuandaa utaratibu mzima wa kuwa na Stickers hizo najinsi ya kuusimamia na si kuwaachia watu binafsi tena.Mheshimiwa Mwenyekiti, Kambi Rasmi ya Upinzani inaamini kuwa utaratibu rasmi wa kuwana Stickers ukitumika, sekta ya biashara ya kazi za sanaa inaweza kupata mafanikio ya kuridhishandani ya muda mfupi. Mfano mzuri ni Sticker yenye nembo ya TRA inayowekwa kwenye bidhaa zaKonyagi. Faida kubwa ambayo itapatikana kwa kuwa na Stickers kwenye kazi za sanaa ni kuwaStickers hizi zitawezesha kubaini kazi halisi (original) iliyofanywa na msanii mhusika dhidi ya kazi zabandia zilizorudufishwa au kughushiwa. Sambamba na hilo, mapato ya Wanamuziki, Watunzi waFilamu na washirika wao pamoja na Serikali yataongezeka na hivyo mchango halisi ya sekta hiikwenye uchumi wa nchi utakuwa wazi.Mheshimiwa Mwenyekiti, pia tuna taarifa kuwa Wasanii wengi kutoka nje ya nchiwanaofanya maonyesho mbalimbali hapa nchini wamekuwa hawatozwi kodi licha ya kulipwafedha nyingi. Kwa hiyo, tunaitaka Serikali kuanzia mwaka wa fedha wa 2011/2012, ihakikishe kuwaWasanii hao wa nje ya nchi ambao wamekuwa wakilipwa dola laki moja hadi dola laki nne kwaonyesho moja hapa nchini, wawe wanatozwa kodi ya kutosha, ili fedha hizo ziongezee bajeti kuuya Serikali na kuwasaidia Watanzania wengi maskini. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, tunaitaka Serikali kwa kushirikiana na vyombo husika, iwekeutaratibu wa kuhakikisha kuwa pale Msanii wa ndani anapofanya onyesho au kazi ya pamoja naMsanii kutoka nje, basi kuwe na mgawanyo mzuri na wa haki wa mapato kati ya Msanii huyo waNje na Msanii Mzawa.Mheshimiwa Mwenyekiti, ili kuboresha Sekta nzima ya Sanaa nchini na kuhakikishainaongeza ajira zenye tija na kutoa mchango mkubwa katika ukuaji uchumi, Kambi Rasmi yaUpinzani inapendekeza hatua zifuatazo zichukuliwe:-(i)Serikali ndani ya mwaka wa fedha wa 2011/2012, pamoja na kufanyia kazitafiti zilizokwishafanywa na wadau mbalimbali wa sanaa, ifanye utafiti mahsusina wa kina kuhusu Sekta nzima ya sanaa (feasibility study), ili kubaini fursa navikwazo vyote vilivyopo, na kuainisha njia na mikakati kabambe ya kuboreshana kuisimamia sekta husika, kwa manufaa ya Wasanii na uchumi wa nchi.(ii) Kupitia matokeo ya utafiti huo, Wizara ndani ya mwaka wa fedha 2011/2012,iandae Mpango mahsusi wa Maboresho ya Sekta ya Sanaa, ambao pamojana mambo mengine, ulenge kuziba mianya yote ya upotevu wa mapato yaSanaa na kuchochea ajira nyingi na zenye tija kwa vijana.48

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!