12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Mwenyekiti, Geita na maeneo mengine, sisi Wabunge wote ni mashahidi,tunapokwenda katika majimbo na Mikoa yetu tunaona makundi mbalimbali ya ngoma za asili.Hawa watu wanafanya kazi nzuri, wanadumisha utamaduni wetu, wanaimba nyimbo nzuri,wanaelimisha jamii na wakati huo huo wanatuburudisha. Lakini sioni kama mchango waounatambulika sana na Serikali. Kuna hawa Maafisa Utamaduni, hivi kweli wanajua nini wajibuwao? Hivi kweli Serikali inawajengea uwezo ili waweze kujua majukumu yao kule waliko?Mimi nina imani kabisa kama Maafisa Utamaduni watapatiwa elimu ya kutosha,wakaelekezwa majukumu yao, wakashirikiana na wanakijiji wakaweka program ya kushindanishavikundi na kikundi na kinachofanya vizuri kinapatiwa motisha fulani. Kama wakishindana kutokaTarafa na Tarafa au Kata na Kata mpaka kufikia Wilaya na wanaofanya vizuri labda wanapewaTrekta. Hii itawaongezea motisha na kuipenda sanaa na kufanya kazi kwa kujituma ili iwezekuwaongezea pato, maana hata hii ni ajira na kama Serikali itaitambua itakuwa ni ajira nzurikwao.Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba sana Serikali ikishirikiana na Maafisa Utamaduni ambaowanalipwa mishahara kwa ajili ya kazi hizo, basi watoe elimu, wahamasishe hivi vikundi ili vijitume,vitunge nyimbo nzuri, viburudishe na wakati huo huo waone wanaburudisha, lakini wanapatafaida ya burudani wanayoitoa.Mheshimiwa Mwenyekiti, kabla sijaendelea, nina tatizo kidogo ambalo limenisumbuaakilini mwangu. Nimekuwa nikizungumza na wasanii wa Bongo Movie na wakati huo huonimezungumza na wasanii wa TAF ambao ndiyo shirikisho la wasanii nchini. Kuna mgogoromkubwa, ninaamini kabisa Waziri au Serikali inaweza ikawa na taarifa na mgogoro huu. Hivyo,ninaomba basi, Serikali ijaribu kuwaita hawa watu wakae pamoja wazungumze na kujua tatizolao ni nini. Maana mimi baada ya kuwasikiliza nimeona kila upande una mazito.Naomba sana Serikali mara baada ya mimi kuzungumza hapa, Waziri azungumze nahawa watu ili kila mtu aeleze ni nini tatizo na wajue ni jinsi gani watalitatua, kwani lengo ni kufanyakazi kwa kushirikiana tuijenge nchi yetu, kwani wasanii ni kioo cha jamii.Sasa hivi ukiangalia kutokana na huu mgogoro, kila siku tunaangalia kwenye magazeti,utaona msanii kaandikwa vibaya, kumbe kundi hili limechochea maneno, limepeleka storykwenye gazeti, wakati mwingine story haina ukweli, tayari huyo mtu ameshachafuliwa. Hiiinasababisha watu waone fani ya sanaa hapa nchini haina maana. Kwa hiyo, tunaomba Serikaliisaidie kuwaweka sawa hawa watu ili mgogoro uishe ili tuungane tufanye kazi kwa pamoja,tushirikiane na tuweze kufika mahali ambako tunataka kufika.Mheshimiwa Mwenyekiti, naona muda unanitupa mkono, lakini naomba nimzungumziemtu mmoja anaitwa Msama ambaye amejitahidi sana. Kwanza naomba nimpongeze. Amejitahidisana kuhakikisha anatetea wasanii waliokuwa wanaibiwa kazi zao. Mtu huyu amefanya kazikubwa na inayotisha. Ameshakamata kazi ambazo zinazidi shilingi milioni 150 mpaka sasa, hatamaisha yake pia yako hatarini kwa sababu mtu anaye-produce hizo CD umemkamata nakumpeleka Mahakamani. Anaona kabisa sasa umeshamzibia mwanya wake wa kuiba, kufaidi nakuishi kama alivyokuwa anataka kuishi. Huyu mtu yuko hatarini, hivyo tunaomba Serikali ishirikianenaye.Mheshimiwa Mwenyekiti, nimeona pia Polisi hawana uelewa mkubwa wa jinsi yakuwakamata hawa watu wanaoiba kazi zetu sisi wasanii. Hivyo, iwape elimu kubwa ya kutosha ilivita hii tuweze kushinda.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa haya machache, naunga mkono hoja. (Makofi)MWENYEKITI: Ahsante sana, nakushukuru. Sasa namwita Mheshimiwa VictorMwambalaswa.MHE. VICTOR K. MWAMBALASWA: Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru sana kwa kunipanafasi ili na mimi niweze kuchangia hoja hii iliyo mbele yetu. Pamoja na kukushukuru wewe, lakini68

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!