za sanaa wa Tanzania kuweza kushiriki vyema masoko na hasa soko la pamoja laAfrika Mashariki.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa kuyazingatia yote hayo na kwa manufaa ya wadau wotewa sanaa na Taifa zima kwa ujumla, Kambi rasmi ya Upinzani inaitaka Serikali ichukue hatuazifuatazo kuhusiana na Nyumba ya Sanaa:-Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza, tunataka Nyumba ya Sanaa irudishwe Serikalini kwaMdhamini Mkuu wa Serikali ili mchakato wa uanzishwaji wa Bodi huru ya kusimamia malengo yakeanuai ufanyike. Uhuishaji wa Nyumba ya Sanaa utachangia sana kuongeza ajira na pato la Taifa,hivyo kupunguza tatizo la uzururaji na kilio cha masoko ya kazi za sanaa.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa kuwa tangu kufutwa kwake mnamo mwaka 2005, Nyumbaya Sanaa imeendelea kufanya biashara pamoja na kuingia mikataba ya biashara mpaka sasa,Kambi Rasmi ya Upinzani tunaitaka Serikali ifanye tathmini na ilipwe kodi kutokana na faida yabiashara zilizoendeshwa mara baada ya kusitishwa uendeshaji wake.Mheshimiwa Mwenyekiti, Kambi Rasmi ya Upinzani tunaitaka Serikali isitishe mara mojauvunjwaji wa jengo lililopo sasa, kwani ni utalii na ni alama ya Taifa inayoonyesha jinsi Serikali zaNorway na Tanzania zilivyothamini juhudi za wasanii na wazalishaji kujikwamua kiuchumi nakuchangia pato la Taifa. (Makofi)Tunataka Nyumba ya Sanaa ifufuliwe upya bila kubadili malengo yaliyopelekea kujengwakwake na badala yake kila kitu kiboreshwe kwa kuheshimu malengo yale yale. Tunaamini Serikalihii inayojiita Serikali sikivu, itaheshimu matakwa ya Watanzania hususan Wasanii ambao pasiposhaka yoyote ile wanataka Nyumba yao irudi kwenye mikono salama kama tulivyopendekeza.Mheshimiwa Mwenyekiti, ahadi ya Studio ya Wasanii. Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, kupitia Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muunganoalitangaza kuwa amewapa Wasanii Studio ya kufanyia kazi zao. Hata hivyo, baadaye wananchina wadau wengi wa sanaa, nikiwemo mimi binafsi, tulishangaa kusikia Studio hiyo wamepewaNGO binafsi ya Tanzania House of Talent (THT)! Pia Rais aliahidi kutoa pango ambapo alitoanyumba ya Serikali kwa Wasanii ambayo ingetumika kuendeshea Studio husika, lakini nyumba hiyoya Serikali iliyotolewa na Rais sasa iko chini ya THT na ndio makao ya THT!Mheshimiwa Mwenyekiti, Kambi Rasmi ya Upinzani inahoji, kwa nini ahadi hizo zitolewe kwakikundi kimoja tu cha THT, tena kilichojikita zaidi katika biashara ya kazi za sanaa, wakati ahadi hizoza Rais zililenga Wasanii wote wa Tanzania? Kambi Rasmi ya Upinzani inatambua na kuthaminimchango wa THT katika Sekta ya Sanaa ya nchi hii, lakini si sahihi kwa Taasisi hiyo binafsi kupewajukumu la kuhodhi Studio na Nyumba iliyotolewa na Rais kwa ajili ya Wasanii wote.Mheshimiwa Mwenyekiti, badala yake, Kambi Rasmi ya Upinzani inapendekeza kuwaStudio na Nyumba hiyo iliyotolewa na Rais ambazo ni za Serikali iwe chini ya Baraza la Sanaa laTaifa (BASATA) kwa manufaa ya Wasanii wote na si THT peke yao kama ilivyo sasa.Tunatahadharisha kuwa hili lisipozingatiwa, jina la Rais na hadhi ya Urais itachafuka kwakuonekana kufanya kazi kwa maslahi ya watu binafsi (THT) badala ya kufanya kazi kwa maslahi yaumma (Wadau wa Sanaa).Mheshimiwa Mwenyekiti, Sekta ya Michezo. Kambi Rasmi ya Upinzani inaamini kuwaMichezo ni Afya, Michezo ni Burudani, Michezo ni Ajira na Michezo ni Uchumi. Hata hivyo,mwenendo na hali halisi ya Sekta ya Michezo nchini, vinadhihirisha kuwa sekta hii imekuwaikichukuliwa kuwa ni ya burudani pekee. Timu zetu za Taifa zifungwe au zitolewe kwenye michuanoya kimataifa, limekuwa ni jambo la kawaida, hakuna hatua zozote kali zinazochukuliwakuwajibishana wala kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha hali ya kufanya vibaya haijurudiitena.Mheshimiwa Mwenyekiti, ushahidi kuwa Sekta ya Michezo haijapewa umuhimu unaostahiliupo wazi. Taifa letu limeendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu, kwa timu zetu za Taifa50
kuendelea kufanya vibaya na kuambulia mafanikio kidogo kwenye michuano ya Kimataifa. KamaTaifa tumeshindwa kuzalisha Walimu wa kutosha wa michezo mbalimbali na mbaya zaidi hataWalimu wachache wazalendo hususan wa mpira wa miguu, wenye ujuzi na umahiri wa kuridhishawamekuwa hawapewi motisha, pindi wanapoteuliwa kufundisha timu za Taifa. Badala yake,Serikali imekuwa ikitumia gharama kubwa kuwapa ajira Walimu wa kigeni.Mheshimiwa Mwenyekiti, Kambi ya Upinzani inamtaka Waziri alieleze Bunge katika kipindichote timu ya Taifa ya Vijana ilipokuwa chini ya kocha Tinoco toka Brazil, mkataba wake kwamwezi alilikuwa akilipwa kiasi gani na Kocha wa sasa Jamhuri Kiwelu (Julio) (Hurio kwa Spanish)mzawa analipwa kiasi gani?Mheshimiwa Mwenyekiti, Kambi ya Upinzani inaitaka Serikali ilieleze Bunge ni kwa ninikocha wa netiboli, Simone Mcknnis raia wa Australia aliyetia saini Septemba mwaka jana kwamkataba wa miaka mitatu kufundisha mchezo huo alikatiza mkataba wake na kuondoka kurudikwao Australia kwa kile kilichoelezwa kuwa Serikali kushindwa kutimiziwa masharti ya mkatabawake na haswa malipo yake.Mheshimiwa Mwenyekiti, mkakati wa kuagiza makocha kutoka nje, ni sharti uendesambamba na mpango wa kuwapatia ujuzi na uzoefu makocha wetu wa ndani ili pale makochawa nje wanapoondoka tuweze kuwatumia makocha hao wazalendo kuendeleza michezo nchini.Kambi ya Upinzani, inashauri kuwa pale ambapo makocha wa kigeni wanapoajiriwa nchinikufundisha timu mbalimbali basi wapewe sharti la kuwa na wasaidizi ambao ni wazawa ilimikataba yao itakapomalizika basi wazawa wabakie na ujuzi na kuweza kuendeleza michezohusika.Mheshimiwa Mwenyekiti, aidha, Kambi ya Upinzani inatoa hoja kuwa Bunge hili Tukufuliweze kuutambua mchango mkubwa uliofanywa na makocha wazalendo na ikiwezekanawaweze kupata nishani ya Bunge kutokana na mchango mkubwa kwenye sekta ya michezoakiwemo Julio. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, miaka 50 baada ya Uhuru, Tanzania ina uwanja mmoja tu wenyehadhi ya kimataifa ambao ni Uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam uliojengwa kwa msaada wakatiwa Serikali ya Awamu ya Tatu lakini kiwanja hicho sawa na viwanja vingine nchini kimekuwahakiendeshwi vizuri, hata kulitia aibu Taifa kwa huduma mbovu, ikiwemo ya kukatika kwa umemekama ilivyotokea hivi karibuni wakati wa fainali za michuano ya Kombe la Kagame ambaloTanzania ilikuwa mwenyeji.Mheshimiwa Mwenyekiti, Mamlaka ya Viwanja vya Michezo ianzishwe. Serikali ianzisheMamlaka ya Viwanja vya Michezo nchini na kuipa jukumu la kusimamia na kuendesha viwanjavyote vya michezo vilivyopo. Aidha, Mamlaka hiyo kwa kushirikiana na vyombo mbalimbali vyaSerikali, ipewe jukumu la kuhakikisha kila mwaka inajenga Vituo vya Kisasa vya Mazoezi na Hostelikwa ajili ya Wanamichezo, na angalau kiwanja kimoja kikubwa cha michezo chenye hadhi yakimataifa inayolingana na hadhi ya Uwanja mpya wa Taifa uliopo Dar es Salaam.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa pendekezo hilo, baada ya miaka tisa, nchi yetu itakuwa najumla ya viwanja 10 vya kimataifa. Mbali ya kuchochea maendeleo ya michezo nchini na kuajiriWatanzania wengi kutoa huduma mbalimbali, Viwanja hivi pia vitakuza hadhi ya nchi nakuiwezesha nchi kukidhi vigezo vya kuwa Mwenyeji wa michuano mikubwa ya kimataifa kamakuandaa Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN).Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa hiyo, sanjari na mpango huo wa Ujenzi wa Viwanja vyaKisasa, Kambi Rasmi ya Upinzani inaitaka Serikali kuweka lengo la kuhakikisha Tanzania inakuwaMwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) mwaka 2018 namwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019. Aidha, Serikali iandae programu nakampeni kabambe ya kuhakikisha timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) inaandaliwa vemana kupatiwa mechi nyingi na ngumu za kujipima nguvu, kwa ajili ya kuhakikisha inafuzu kuingiakwenye michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2014 iliyopangwa kufanyika nchini Brazil.51
- Page 7 and 8: Mheshimiwa Naibu Spika, lakini umeg
- Page 11 and 12: NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI: Mheshimiw
- Page 13 and 14: NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA
- Page 15 and 16: Pili, Wakurugenzi na Wakurugenzi wa
- Page 17 and 18: MHE. JOHN J. MNYIKA: Naomba unisiki
- Page 19 and 20: inaongozwa na Mbunge wa Jimbo la Pe
- Page 21 and 22: Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuha
- Page 23 and 24: Mheshimiwa Naibu Spika, Baraza la H
- Page 25 and 26: katika kukuza na kuimarisha Demokra
- Page 27 and 28: wakiwa ni Baraza Kuu la Michezo Bar
- Page 29 and 30: · Kusimamia usambazaji wa machapis
- Page 31 and 32: · Kutoa taarifa katika magazeti ku
- Page 33 and 34: · Kufanya tathmini na ufuatiliaji
- Page 35 and 36: 2011 wakati wa vikao vya Kamati vil
- Page 37 and 38: na Mfuko wa Vyombo vya Habari na Ba
- Page 39 and 40: · Serikali itenge fedha za mafunzo
- Page 41 and 42: Mheshimiwa Naibu Spika, aidha, nape
- Page 43 and 44: kuzifanya za kuielimisha jamii juu
- Page 45 and 46: Mheshimiwa Mwenyekiti, pamoja na um
- Page 47 and 48: wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UD
- Page 49: (iii)(iv)(v)(vi)(vii)Chuo Kikuu cha
- Page 53 and 54: Serikali, sasa sisi tayari Umoja wa
- Page 55 and 56: iangaliwe. Tena nashukuru hii Wizar
- Page 57 and 58: kunichagua kuwa Mbunge wao kwa mara
- Page 59 and 60: Mheshimiwa Mwenyekiti, mpira wa mig
- Page 61 and 62: na Academy yake, huyu ndiye mtu wa
- Page 63 and 64: matangazo ya kudhalilisha nchi yetu
- Page 65 and 66: Mheshimiwa Mwenyekiti, suala lingin
- Page 67 and 68: Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa hivi ni
- Page 69 and 70: namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa
- Page 71 and 72: Bunge. Mheshimiwa Waziri Mkuu alipo
- Page 73 and 74: pombe tu, wanaishia kunywa pombe, b
- Page 75 and 76: Nishukuru wafadhili na hasa TBC bas
- Page 77 and 78: ushuru kwenye vifaa vya michezo. Vi
- Page 79 and 80: Mheshimiwa Mwenyekiti, niende TBC,
- Page 81 and 82: Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini kuna
- Page 83 and 84: Je, hawa watu wapo na wanafanya kaz
- Page 85 and 86: hapa Bungeni, yupo kule kwenye ofis
- Page 87 and 88: Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza natak
- Page 89 and 90: tunakwenda Wizara ya Utamaduni kwa
- Page 91 and 92: MHE. MARYAM SALUM MSABAHA: Wale wen
- Page 93 and 94: jambo hili la kuhakikisha kwamba ku
- Page 95: na yakizungumza habari ya interest