Kamati, watafute kwa nini hili tatizo lipo na wafanye jitihada ili limalizike na huyu Katibu Mkuuarudishwe kwenye nafasi yake. (Makofi)Wacha sisi tulichukue Kibunge, maana Wizara wameshindwa na Baraza wameshindwa.Wacha sisi katika nafasi yetu kwa kutumia Kamati yetu, na Mheshimiwa Nkamia waifanye hiyo kazi.(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa upande wa football nina kila sababu ya kumpongezaMheshimiwa Tenga kwa kazi nzuri ambayo anaifanya toka ameingia kwenye uongozi wa TFF,amefanya mambo mengi sana. Najua changamoto zipo. Najua mapungufu yapo, lakini ukwelinasema amefanya kazi nzuri na yako mafanikio makubwa.Mheshimiwa Mwenyekiti, huko nyuma, mimi nilikuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji waFAT Taifa, kwa hiyo, nayafahamu. Sisi tulipokuwa pale, ukilinganisha na sasa yako mafanikio mengitu. Kwa mfano, ratiba na kalenda ya football sasa hivi unakwenda sambamba na FIFAkiulimwengu mzima. Mashindano ya kirafiki, haya mashindano rasmi ya klabu, friendly matches,yote haya sasa hivi tunakwenda in line na wenzetu wa FIFA.Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini toka ameingia Tenga, moja ya problem ambayo ilikuweponi kwamba, kulikuwa hakuna imani kwa Chama cha Mpira kutoka kwa Wafadhili na Wahisani, namatokeo yake tulikuwa hatupati ufadhili wala uhisani kwenye Chama cha Mpira. Leo wewe nishahidi Mheshimiwa Mwenyekiti kwamba, TFF wamejenga imani kwa wafadhili kiasi kwamba, TFFwanapata ufadhili mzuri sana kutoka katika vyombo mbalimbali.NMB wanafadhili, TBL wanafadhili, Vodacom wanafadhili, hawa wasingekuja kamawangekuwa na wasiwasi kwamba, fedha zao hizi wanazotoa, basi zinapunjwa hivi. Ni kaziambayo imefanywa na Mheshimiwa Tenga na Kamati yake ya Utendaji. Naomba niipongezesana kwa mafanikio haya ambayo wameyapata na ninaomba uniruhusu vilevile niwapongezesana TBL, niwapongeze sana Vodacom na niwapongeze sana NMB kwa kuthubutu kufadhilimasuala ya mpira ambayo hata kama unavyoona kwenye Kagame Cup iliyopita, basi ufadhiliwao ndiyo umesababisha Tanzania tukaweza kushiriki na alhamdulilah, Yanga wakawamabingwa. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini vilevile huko nyuma kulikuwa na migogoro mingi katika TFFau katika FAT. Leo wewe mwenyewe unaona, hata magazeti siku hizi hayaandiki tena mambohayo. Ni kazi nzuri ambayo imefanywa na Mheshimiwa Tenga. Lakini kama alivyosemaMheshimiwa Mohamed Seif, tulifika namba ya 89 mwaka 2009 kama nipo sawasawa, yeyeamesema mwaka 2007, lakini nipo tayari kuwa corrected kati ya mwaka 2007 na 2009 tulifikanamba mbili (two digits), namba ya 89 katika ubora katika ulimwengu, 89 sio kazi ndogo hiyo, chiniya kazi nzuri ambayo imefanywa na wenzetu hawa. Sasa tumeporomoka tuko 123, 127, 129,vyovyote itakavyokuwa lakini tumeshuka chini, lakini awali tulifika mahali pazuri.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa hiyo, nasema kwa TFF mimi naomba niwapongeze, lakininiwaombe changamoto zilizopo waziangalie. Moja ya changamoto waliyonayo, kwa kweliwazungumze na waamuzi. Yako malalmiko mengi sana kwa timu zetu za mpira wakilalamika. TimuA, timu B, timu C, mimi sitaki kuwataja, lakini kimsingi yako malalamiko mengi ya waamuzi,ningeomba sana TFF waliangalie hili kwa sababu linaweza likaharibu sifa nzuri hii ambayoninajaribu kuieleza.Mheshimiwa Mwenyekiti, Mheshimiwa Mohamed Seif, amezungumza vizuri. Changamotowaliyonayo ni kukazania timu za vijana, klabu zetu hizi ziwe na timu za viajana. Haya mambo yakusajili sijui kutoka wapi, kutoka wapi, mambo ya kuanza kushutumiana siyo mazuri. Lakini kamawana timu nzuri za vijana, kama ambavyo ilikuwa miaka ya nyuma ile miaka ya 1960 na 1970akina Kocha Victor Stansilaus alivyokuja hapa kutoka Romania na Simba wenzetu walimletamwingine, mambo yalikuwa mazuri. Kwa hiyo, tuimarishe timu zetu za vijana, Footbal Academyzetu tuzifungue na tuziimarishe. Hapa naomba nimpongeze sana Mheshimiwa Mwenyekiti waBaraza la Michezo - Mheshimiwa Kipingu, ni mfano mzuri kwa kusimamia soka la vijana, amekuwa60
na Academy yake, huyu ndiye mtu wa kuungwa mkono ili kusudi vijana wetu waweze kufanyavizuri. Huko ndiko ambako kutaweza kutusaidia sisi tuweze kupata matokeo mazuri.Mheshimiwa Mwenyekiti, yako malalamiko kuhusu makato ya 20% ya Uwanja wa Taifa.Vilabu vinalalamika sana, unatangaza pale umepata shilingi milioni 400 lakini klabu inaondoka naShilingi milioni 100 na kadhalika. Kwa hiyo, yako malalamiko mengi. Nadhani ni vizuri kuliangaliahilo ili kusudi kusaidia vilabu vyetu hivi viweze kupata chochote kitu.Mheshimiwa Mwenyekiti, usalama Uwanja wa Taifa, hali sio nzuri. Pale VIP ngazi yakuteremkia ni moja, lift ile haifanyi kazi. Ikitokea dharura kama iliyotokea juzi, jamaa walipigwabao, wamekasirika wamezima taa, basi inakuwa ni vurugu tu! Kwa hiyo, nikuombe sanaMheshimiwa Waziri, uliangalie hili kwamba, ni lazima kwa kweli ile lift ifanye kazi na kama kuna njianyingine, au control ya wale walioingilia milango mingine wasilazimike kuja pale kwenye ulemlango wa VIP ambao kidogo unakuwa na matatizo.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa upande wa riadha, tarehe 13 July, niliuliza swali hapa nanikasema yale ambayo Mheshimiwa Mohamed Seif amesema, twende Kenya tukajifunze wenzetuwanafanya nini kwa sababu, mazingira yetu yako sawasawa. Napenda niseme MheshimiwaWaziri, jibu lako halikuwa safi, sikuridhika nalo. Ninalo hapa na bahati nzuri Mheshimiwa MohamedSeif, ambaye alikuwepo pale amelizungumza vizuri.Kwanza, unasema aah, acha kwanza tujiangalie tufanye kongamano. Kuna ubaya ganikwenda Kenya? Kuna ubaya gani kwenda Ethiopia? Kwenda kujifunza wenzetu hawa wanafanyanini mpaka wanafanikiwa na sisi hatufanikiwi! Kwanza Kenya, hapa Nairobi unakwenda kwa garitu, huna habari ya ndege, labda kwa Ethiopia,lakini ni karibu pale. Sikwambii uende China walasikwambii uende wapi. Mimi bado nasema sikuridhika na jibu lako na bahati nzuri MheshimiwaMohamed Seif, amelizungumza hili. Naomba sana Mheshimiwa Waziri, nendeni Kenya, nendeniEthiopia mkajifunze wenzetu wanafanya nini mpaka wanafanikiwa katika mashindano ya riadha.Sisi tuna matatizo gani kiasi kwamba hatufanikiwi?Mheshimiwa Mwenyekiti, Mheshimiwa Rais alizungumzia akasema turudishe mashindanoya Primary School na Secondary School, nashukuru sana. Mmefanya hivyo na kweli mashindanoyamerudishwa, tunawapata wale vijana. Sasa tukishawapata wale vijana wa Primary naSecondary waliofanya vizuri, what next? Unawapata tu, basi.Mheshimiwa Mwenyekiti, ni lazima kuwe na kitu pale ambacho kinaweza kusaidiakuwaendeleza hawa vijana. Wenzetu katika nchi nyingine wana kitu wanaita High PerformanceTraining Centre, ambayo hii Training Centre ndiyo inawachukua wale ambao wameshindakwenye UMISETA, sijui kwenye nini kule, wanawekwa pamoja pale wanapigwa msasa kama nimiezi miwili, miezi mitatu, wanaendelezwa pale na baadaye wanarudi tena. Sisi hii hatuna. Hebubasi kama hatuna, naomba Mheshimiwa Waziri, tuwe na High Performance Training Centre, iliiweze kusaidia kuendeleza vijana wetu.Mheshimiwa Mwenyekiti, basi kama hivyo ndivyo, naunga mkono hoja, lakini suala lanetball lishughulikiwe haraka.MHE. MARIAM R. KASEMBE: Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba nichukue nafasi hiikukushukuru kwa kunipatia nafasi hii ya kuchangia hoja iliyoko mbele yetu. Lakini vilevile nichukuenafasi hii kuipongeza Wizara hii kwa kutuandalia bajeti ambayo imetupa fursa kusimama hivi sasakuweza kutoa michango yetu.Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba nichukue nafsi hii kwa makusudi mazima kumpongezaWaziri Mkuu – Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda kwa kazi nzuri anayoifanya ya kutuongoza hapaBungeni. Mheshimiwa Pinda amekuwa msikivu, amekuwa akishaurika, tumekuwa tukimshaurimambo mbalimbali yanayojitokeza ndani ya Bunge na amekuwa akiyatafutia majibu ya kuletaufanisi wa kazi katika Bunge letu na kwa manufaa ya wananchi wetu.61
- Page 7 and 8:
Mheshimiwa Naibu Spika, lakini umeg
- Page 11 and 12: NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI: Mheshimiw
- Page 13 and 14: NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA
- Page 15 and 16: Pili, Wakurugenzi na Wakurugenzi wa
- Page 17 and 18: MHE. JOHN J. MNYIKA: Naomba unisiki
- Page 19 and 20: inaongozwa na Mbunge wa Jimbo la Pe
- Page 21 and 22: Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuha
- Page 23 and 24: Mheshimiwa Naibu Spika, Baraza la H
- Page 25 and 26: katika kukuza na kuimarisha Demokra
- Page 27 and 28: wakiwa ni Baraza Kuu la Michezo Bar
- Page 29 and 30: · Kusimamia usambazaji wa machapis
- Page 31 and 32: · Kutoa taarifa katika magazeti ku
- Page 33 and 34: · Kufanya tathmini na ufuatiliaji
- Page 35 and 36: 2011 wakati wa vikao vya Kamati vil
- Page 37 and 38: na Mfuko wa Vyombo vya Habari na Ba
- Page 39 and 40: · Serikali itenge fedha za mafunzo
- Page 41 and 42: Mheshimiwa Naibu Spika, aidha, nape
- Page 43 and 44: kuzifanya za kuielimisha jamii juu
- Page 45 and 46: Mheshimiwa Mwenyekiti, pamoja na um
- Page 47 and 48: wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UD
- Page 49 and 50: (iii)(iv)(v)(vi)(vii)Chuo Kikuu cha
- Page 51 and 52: kuendelea kufanya vibaya na kuambul
- Page 53 and 54: Serikali, sasa sisi tayari Umoja wa
- Page 55 and 56: iangaliwe. Tena nashukuru hii Wizar
- Page 57 and 58: kunichagua kuwa Mbunge wao kwa mara
- Page 59: Mheshimiwa Mwenyekiti, mpira wa mig
- Page 63 and 64: matangazo ya kudhalilisha nchi yetu
- Page 65 and 66: Mheshimiwa Mwenyekiti, suala lingin
- Page 67 and 68: Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa hivi ni
- Page 69 and 70: namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa
- Page 71 and 72: Bunge. Mheshimiwa Waziri Mkuu alipo
- Page 73 and 74: pombe tu, wanaishia kunywa pombe, b
- Page 75 and 76: Nishukuru wafadhili na hasa TBC bas
- Page 77 and 78: ushuru kwenye vifaa vya michezo. Vi
- Page 79 and 80: Mheshimiwa Mwenyekiti, niende TBC,
- Page 81 and 82: Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini kuna
- Page 83 and 84: Je, hawa watu wapo na wanafanya kaz
- Page 85 and 86: hapa Bungeni, yupo kule kwenye ofis
- Page 87 and 88: Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza natak
- Page 89 and 90: tunakwenda Wizara ya Utamaduni kwa
- Page 91 and 92: MHE. MARYAM SALUM MSABAHA: Wale wen
- Page 93 and 94: jambo hili la kuhakikisha kwamba ku
- Page 95: na yakizungumza habari ya interest