12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuhakikisha upatikanaji wa habari na picha Wizaraimetoa jumla ya vibali 111 vya kuandika habari na kupiga picha. Kati ya vibali hivyo 102 ni vyawaandishi kutoka nje na tisa ni wa ndani na vitambulisho (press cards) 400 vya waandishi wahabari vimetolewa kwa wanataaluma.Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuendeleza uhuru wa upatikanaji wa habari na vyombovya habari, Wizara imeendelea na usajili wa magazeti na majarida. Hadi Juni, 2011 jumla yamagazeti na majarida 711 yalikuwa yamesajiliwa yakiwemo yale ya kila siku na ya kila wiki. Usajiliwa magazeti kwa mwaka 2010/2011, ulikuwa mdogo kutokana na Serikali kusitisha usajili huo kwamuda ili kupitia upya taratibu za usajili.Aidha, katika kipindi hicho gazeti moja lilifutwa kutoka katika kitabu cha Msajili kutokanana kwenda kinyume na masharti ya usajili na maadili ya uandishi. Magazeti mengine naneyaliyokiuka maadili ya uandishi wa habari yalipewa onyo.Mheshimiwa Naibu Spika, kwa upande wa utangazaji kuna vituo 70 vya rediovilivyoandikishwa na 26 vya televisheni. Vituo vingine saba vinatoa huduma ya kupokeamatangazo ya vituo vya nje vya televisheni (Cable pay TV) na kuwauzia wananchi. Aidha, Shirikala Utangazaji Tanzania (TBC) limetimiza miaka mitatu tangu lilipobadilishwa na kuzinduliwa rasmitarehe 26 Machi, 2008 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dokta JakayaMrisho Kikwete. Kuanzia kipindi hicho, Shirika limejitahidi kutimiza malengo yake kwa kupanuausikivu wake ili uweze kuwafikia wananchi nchini kote.Mheshimiwa Naibu Spika, kwa kushirikiana na uongozi wa Serikali Mikoani, TBC imepatamaeneo na kujenga vyumba vya kufunga mitambo ya FM katika Mikoa ya Shinyanga, Manyara,Kilimanjaro, Morogoro, Iringa, Rukwa, Mtwara na Ruvuma. Shirika limenunua mitambo ya FM 18yenye uwezo wa kilowatt mbili ambayo imefikishwa kwenye vituo vya Shinyanga, Babati, Moshi,Morogoro, Iringa, Mpanda, Newala, Songea na Tunduru. Kila kituo kina mitambo ya trasmittersmbili, moja kwa ajili ya matangazo ya TBC Taifana nyingine kwa ajili ya TBC FM.Mheshimiwa Naibu Spika, ufungaji wa mitambo hiyo katika Mikoa ya Morogoro, Iringa,Kilimanjaro na Manyara umekamilika. Kuanzia Novemba, 2010 vituo vya Morogoro, Iringa, Moshina Babati vimeanza kurusha matangazo. Mchakato wa kufunga mitambo kwa vituo vya Newala,Tunduru, Songea, Mpanda na Shinyanga umeanza mwezi Mei, 2011 na unatarajiwa kukamilika hivikaribuni.Mheshimiwa Naibu Spika, Kampuni ya Magazeti ya Serikali, (TSN) inayochapisha magazetiya Daily News, Sunday News na HabariLeo inajiendesha kwa faida bila kutegemea ruzuku kutokaSerikalini. Tangu mwaka 2004 Kampuni imekuwa ikitoa gawio kwa Serikali kupitia Hazina. Kampuniya Magazeti ya Serikali imeendelea na mchakato wa kuzalisha magazeti na kufunga mashine yapili ya kompyuta (CTP) ili kuongeza uwezo wa kuchapa magazeti. Kampuni pia imekamilishaununuzi wa majengo kwa ajili ya mtambo wa uchapaji na imekabidhiwa hati ya umiliki wamajengo hayo.Mheshimiwa Naibu Spika, ukarabati wa jengo la ofisi lililoko Barabara ya Mandela Jijini, Dares Salaam unaendelea na unatarajiwa kukamilika mwezi Agosti, 2011. Kampuni ya TSNimeendelea na harakati za kutafuta wabia wa kuendeleza viwanja vya kampuni vilivyopo Dar esSalaam na Dodoma. Amepatikana mbia wa uhakika ambaye ameonyesha nia ya kuendelezakiwanja cha Dodoma. Kampuni pia imetoa mwaliko na imetangaza kwa wabia wenginewatakaohusika na uendelezaji wa viwanja viwili vya Dar es Salaam. Aidha, katika mwaka wafedha wa 2010/2011, Kampuni imekamilisha na kuzindua maktaba ya Elektroniki. Aidha, taratibu zakuzindua huduma ya picha zinaendelea.Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuendeleza Sekta ya Habari, Wizara inashirikiana kwa karibu naMamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA) katika kusajili na kutoa leseni kwa vituo vya redio natelevisheni nchini. Pamoja na kutoa leseni kwa vituo vya radio na televisheni, TCRA kupitia Kamatiya Maudhui inaratibu utendaji wa vituo hivyo na kuhakikisha kuwa vyote vinazingatia maadili21

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!