MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A
MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A
MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
jambo hili la kuhakikisha kwamba kuna bima kwa wachezaji wanapopata bahati mbaya katikamichezo hasa pale wanapowakilisha Taifa letu. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, ukitaja Tanzania katika nafasi ya michezo maana yake piaunaizungumza Zanzibar lakini pia unaizungumza Tanganyika. Nchi hizi mbili zina vyama vyao vyamichezo, kwa Zanzibar kuna ZFA ndio chama kinachosimamia mambo ya michezo Zanzibar. Lakinikwa Tanzania Bara kuna chombo kinaitwa TFF. Lakini Tanzania Bara kutumia neno hili la TFF nawakalipa tafsiri ya Tanzania kwamba ni Chama cha Mpira cha Tanzania hapa mimi nadhani sisahihi. Lakini kwa kuwa imezoeleka na ndio wanavyoitumia wenzetu wa Tanzania Baraimepelekea kupoteza haki nyingi za Wazanzibar. (Makofi)MWENYEKITI: Kuna Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar. Hatuna Tanganyika.MHE. HAMAD ALI HAMAD: Mheshimiwa Mwenyekiti, samahani naomba iingie kwenyeHansard Tanzania Bara. Tanzania inaposhiriki kwenye michezo ya Kimataifa, TFF inatumia jina hilikana kwamba ni mwakilishi wa Tanzania. Lakini hata pale tunapopata misaada ama ruzukukutoka vyama vya mpira duniani (FIFA) ruzuku hizi au mgao huu unaokuja kwa jina la Tanzaniaunaishia Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar hatuambulii chochote. Ni miaka mingi sasa FIFAimekuwa ikitoa fedha kwa nchi wanachama na kwa sasa inasadikika kwamba ni dola 500,000kwa mwaka, fedha hizi pia inasemekana Tanzania tunapata. Lakini Zanzibar sijui kama kuna hataasilimia ndogo inayopatikana kutokana na fedha hizi. Taarifa niliyonayo ni kwamba Zanzibarimefaidika kidogo hivi karibuni kwa fedha ambazo zilitumika kwa kuotesha nyasi katika uwanja waGombani Pemba. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, hii ni kuikandamiza na kuidhalilisha Zanzibar kimichezo.Isingekuwa inastahiki TFF kutumia koti la Jamhuri ya Muungano kama wakala/mhusika kwenyemichezo ya Kimataifa. Naomba sana jambo hili lifikie mwisho na tunaposhiriki kwenye michezo yaKimataifa kama Tanzania basi Zanzibar kwa maana ya ZFA ishirikiane na Tanzania Bara (TFF) ilituone ni vipi tutakuwa tunaiwakilisha Tanzania kwenye michezo ya Kimataifa. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, katika suala la watalaam ndani ya michezo kwa Tanzaniatumekuwa na tabia ya Tanzania kuona kwamba wenzetu wa Mataifa ya Ulaya kwamba wanaviwango vizuri na utaalam mzuri katika mambo ya michezo, mimi silikatai hilo. Ni kweli kwa sababuwenzetu walianza tangu awali wakiamini kwamba michezo ni kazi. Lakini kama tunaamini hivyo natunaona kwamba wanaweza kuisaidia Tanzania si vibaya kuwa nao kama makocha wa michezombalimbali. Lakini wakati huo huo ingekuwa vema sana tukawachukua wazalendo wetutukawapeleka katika Mataifa hayo kwenda kupata na wao utalaam na ujuzi wa kuja kuisaidiaTanzania katika mambo haya ya michezo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, tuna wachezaji wa mpira wa miguu ambao walikuwa na majinahapa Tanzania na baada ya kuona kwamba wameshindwa kuendelea na michezo wameamuakulisaidia Taifa hili kwa fani hii waliyonayo na sasa ni makocha. Tuna makocha ambaowamesaidia sana Taifa hili.Lakini tunapomchukua kocha wa kigeni kuja kumweka pale na kocha mzalendo Juliomaana ni kumdumaza Julio ama kocha mzalendo katika fani ile ya kufundisha. Tunapomfanyakocha wa kigeni kwamba yeye ndio awe kocha mkuu maana yake ni kupunguza kiwango chaufundishaji cha kocha wetu mzalendo. Tatizo linakuja kwamba mgeni yule anapoamua kuondokakwa namna yoyote tunafika mahali tunakuwa tunajiuliza tufanyeje kuziba pengo lililokuwepobaada ya kuondoka? Hali kadhalika kwa upande wa wachezaji tumekuwa na taratibu zakuchukua wachezaji na sheria inasema kwamba timu inaruhusiwa kuchukua wachezaji si zaidi yawatano, klabu iweze kusajili wachezaji wasiozidi watano wa kigeni, sawa sawa lakini mimi naona nitatizo, naishauri Serikali kupitia Wizara kwamba kama kuna ulazima basi tuchukue angalauwachezaji wasiozidi watatu. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa wale wanaoelewa mpira na hasa wale wachezaji nawaliopitia kwenye kucheza mpira unapowachukua wachezaji watano wa kigeni ukawawekauwanjani, ukaweka kwenye kablu maana yake ni kwamba unawachukua wachezaji wazalendo93