12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Mwenyekiti, mpira wa miguu mwaka 2005 kiwango cha FIFA tulikuwa 175.Mwaka 2007 tulipanda mpaka kufika 89. Leo nafikiri tuko 128. Kwa nini? Kwa nini tunaporomoka?Tunaporoka kwa nini? Tujitahidi kwa sababu hii ni heshima kubwa sana. Hatukuwahi hata maramoja kufika fainali la Kombe la Afrika toka mwaka elfu moja na thelathini mpaka leo hatukuwahikuingia katika Kombe la Dunia. Kwa nini? Tujiulize. Tuache ushabiki huu wa Usimba na Uyangahapa! Twende mbele! Mpira sijui Simba na Yanga tu! Lazima tujitahidi tutoke hapa tulipo. Miminafikiri kuna tatizo kubwa sana. Lazima Serikali ije na mpango kabambe kuona ni namna ganitunaweza kuuendeleza mpira wa miguu ambao unapendwa na watu wengi sana duniani.Mheshimiwa Mwenyekiti, Kombe la Dunia linaangaliwa na watu zaidi ya bilioni 26.Wananchi wengi wanapenda mpira wa miguu, tunawakera Watanzania. TunawaudhiWatanzania kwa sababu hatuuendelezi mpira wa miguu. Ningeshauri Serikali kuchukua hatua yakufanya hivyo. Bado nina dakika tano.MWENYEKITI: Ni ya pili hiyo. Ahsante Mheshimiwa.MHE. MUHAMMED SEIF KHATIB: Aaah, Basi bwana.MWENYEKITI: Nakushukuru sana. Naomba kumwita sasa Alhaj Mohamed Missanga naMheshimiwa Mariam Kasembe ajiandae.MHE. MOHAMED H. MISSANGA: Mheshimiwa Mwenyekiti, nianze kwa kukushukuru sanakwa kunipa nafasi mapema tu kuchangia katika hoja hii muhimu. Nampongeza sana MheshimiwaWaziri Nchimbi pamoja Naibu wake, Katibu Mkuu na wote wanaoshiriki katika Wizara hii kwamaandalizi mazuri ya hotuba ya bajeti.Mheshimiwa Mwenyekiti, masuala ya habari, mimi sitaki kujikita sana kwa sababu wakowenyewe na bahati nzuri Mheshimiwa Mohammed Seif yeye ni mtaalam, amesema mambo yavijana wako, Mheshimiwa Esther kazungumza vizuri. Mambo ya sanaa wako wenyewe, akina Mr.Sugu. Kwa hiyo, mimi sitaki kuingia sana huko. Mimi naomba nijikite kwenye michezo. Nikipatanafasi, nitazungumza mambo ya Netiboli na football na riadha.Naomba nianze na netiboli.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa muda mrefu katika netiboli kulikuwa na utulivu na amani,mchezo ambao uliendeshwa vizuri bila migogoro, bila matatizo yoyote kwa muda mrefu sana.Lakini hivi karibuni kumezuka tatizo katika netiboli. Umezuka mgogoro ambao umesabisha KatibuMkuu wa Chama hiki Ana Kibira kusimamishwa kuwa Katibu Mkuu toka mwezi Agosti, 2009.Nilipofuatilia sababu za msingi ambazo zimemfanya Ana au Katibu Mkuu huyu asimamishwe, kwakweli mimi nimeona ni mambo ya hovyo hovyo tu, wala hakuna jambo la msingi. Kwa sababu,naambiwa msingi wa kumsimamisha ni kwa sababu eti ame-side na CHANEZA au wenzetu wanetiboli wa upande wa Zanzibar katika kudumisha mashirikiano na mahusiano mazuri kati yaTanzania Bara na Tanzania Visiwani juu ya kuendeleza mchezo wa netiboli, jambo ambalo sikuzote hapa tunasisitiza habari ya kuimarisha Muungano na hivi ni vyombo vya kuendelezaMuungano.Sasa mwenzetu huyu ambaye anatekeleza azma ya kudumisha Muungano kwa utaratibuhuu kwenye CHANETA na kujaribu kushirikiana na viongozi wetu wa Zanzibar wa CHANEZAaonekane kuwa ni mtovu wa nidhamu, kwa nini ame-side na Wanzibar? Au kwa nini anatakakushirikiana vizuri na Wazanzibar? Kwa nini anakuwa karibu na CHANEZA? Mimi nasikitika sana.Kama kweli sababu ni hiyo na siku zote hapa tunazungumzia habari ya kudumishaMuungano, mimi nadhani bibi huyu hakutendewa haki. Kinachonisikitisha zaidi kwamba tokamwaka huo wa 2009 Baraza la Michezo lipo, limeshindwa kutatua, Wizara yenyewe ipo,imeshindwa kutatua. Kweli Baraza limeshindwa kutatua mgogoro huu mpaka sasa ni miakatakribani miwili, huyu binti wa watu kasimamishwa kwa sababu ambazo hazina msingi wowote. Hililinasikitisha, ningependa maelezo ya Mheshimiwa Waziri atakapokuwa ana-sum up. Lakini kwasababu Baraza wameshindwa na Wizara imeshindwa, nimwombe Mheshimiwa Mwenyekiti JenistaMhagama na ndugu yangu Juma Nkamia kama Makamu Mwenyekiti, wachukie hili, waunde59

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!