12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Bunge. Mheshimiwa Waziri Mkuu alipoingilia kati, ndiyo wakalipwa na Bunge shilingi milioni 700.Kwanini Hazina isiwalipe TBC moja kwa moja? Kwanini wanatoa cheki huku, halafu tena chekiitoke huku iende kule? Nitataka maelezo ya kina kutoka kwa Mheshimiwa Waziri. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lingine ni kwamba TBC pia wana kituo chao Mikocheni ambapowanajenga studio ya kisasa, na Serikali iliwaahidi kwamba itawapa fedha za kutosha ili wawezekujenga kituo hicho kwa gharama ya shilingi bilioni 1.2. Toka mwaka 2009, huu ni mwaka 2011Serikali imetoa shilingi milioni 600 tu na Mkandarasi ambaye wamemweka kule anatishiakuwapeleka TBC Mahakamani. Naomba Serikali ifanye kila njia iipe TBC hizo shilingi milioni 600zilizobaki ili aweze kumlipa huyu mkandarasi na kujengewa kituo chake cha kisasa huko Mikocheni.Mheshimiwa Mwenyekiti, kama nilivyosema, Mheshimiwa Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo, mimi ni mjomba wake na unajua mjomba ni mama. Kwa hiyo, siwezikusema kwamba sitaunga mkono hoja ya mjomba ambaye mimi ni mama yake, lakini nitaungamkono hoja hii baada ya kunieleza na kunifafanulia mambo haya matatu, manne ambayonimemwuliza.Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru sana. (Makofi)MWENYEKITI: Ahsante sana Mheshimiwa, nakushukuru sana. Namwita Mheshimiwa MozaAbedi Saidi, kama hayupo, naomba nimwite Mheshimiwa AnnaMaryStella John Mallac.Mheshimiwa Magreth Mkanga ajiandae, pia Mheshimiwa Murtaza Mangungu atamfuatia.MHE. ANNAMARYSTELLA J. MALLAC: Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante sana kwa kunipanafasi hii ili na mimi niweze kuchangia katika Wizara hii ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.Aidha, kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyenipatia afya na uzima wa kusimamambele ya Bunge lako Tukufu.Mheshimiwa Mwenyekiti, katika Wizara hii ya leo, naona nitaongelea zaidi upande wavijana. Tunapoongelea vijana, tunaongelea nguvu kazi ya Taifa ambayo ikitetereka tu Taifa lotelinatetereka pia. Kijamii, tunapoongelea sura ya umasikini, huonekana pia kupitia katika vijanahasa wanapokosa ajira, elimu, afya na kipato kiuchumi.Mheshimiwa Mwenyekiti, tatizo tulilonalo sasa katika nchi yetu ni sera na mipangoisiyotekelezeka, kwani vijana hawa hawa tunaowazungumzia ndiyo hao hao ambao Serikali kwanamna moja ama nyingine imewasahau sana. Serikali haitoi fursa sawa kwa vijana wote, imekuwazaidi inatenga Mikoa hasa nikiangalia wenzetu wa Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na miji mingineiliyoendelea. Lakini kwa sisi wa Mikoa ya Rukwa na Katavi, tumesahaulika sana.Mheshimiwa Mwenyekiti, vijana wetu wa Mikoa ya Rukwa na Katavi kwa kweliwananyanyasika na kuhangaika sana. Serikali ilisema kwamba, vijana waji-group waunde vikundina kuanzisha miradi, baada ya hapo Serikali itawa-support. Lakini nikiangalia mfano wa vijana waMkoa wa Katavi naona hata aibu kuongea. Vijana wamekuwa na moyo wa kuitikia mwito waSerikali, wameunda vikundi vyao, wameanzisha ajira mbalimbali kama vile ufyatuaji wa matofali,kilimo cha bustani kwa maana ya mboga na matunda, kilimo, lakini badala yake wale MaafisaMaendeleo ya vijana katika Halmashauri wamekuwa hawako karibu nao.Mheshimiwa Mwenyekiti, vijana wanapojaribu kutaka kuona ni jinsi gani watapatamikopo, ile mikopo kwa kweli hawapati, wanaishia kuhangaika, hata kale kadogo walikokuwawameanzisha wanajikuta kanateketea na wanakosa mwelekeo na ndiyo mwanzo wa vijanakukaa vikundi badala ya kuji-group wazalishe mtandao wa kufanya kazi, lakini badala yakewanakaa sasa vijiweni kupoteza muda na kuanza kushawishiana kushiriki katika mambo potofu yatabia za ajabu kama uvutaji wa bangi na kutukana watu. Hawana kazi ya kufanya, sasa wafanyenini? (Makofi)71

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!