12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mhehsimiwa Mwenyekiti, naipongeza Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,Wizara hii imekuwa ikifanya kazi katika mazingira magumu na ninaipongeza hotuba ya Waziri Kivulina yale mazuri tuliyoyasema pia myachukue na myafanyie kazi. (Makofi)Mhehsimiwa Mwenyekiti, Wizara hii imekuwa ikisahaulika sana, Wizara hii imekuwa niWizara nyeti lakini imekuwa ikisahaulika, hata wakati maswali ya Wizara hii yanaulizwa yanakuwayanawekwa nyuma. Ninaomba Wizara hii ipewe kipaumbele, kwa sababu Wizara hii ndiyoinabeba mambo nyeti.Mheshimiwa Mwenyekiti, vijana ni Taifa la leo wala siyo Taifa la kesho. Vijana hawatunawatumia kwa mambo mengi, ukifika kipindi cha uchaguzi tunawatumia vijana, tukifikakwenye mambo fulani fulani tunawatumia vijana, lakini kwa nini vijana wanasahaulika? Nasemavijana wakumbukwe na vijana wakumbukwe kwa nafasi mbalimbali za uongozi, za ajira hatakwenye mikopo ya Rais inayotoka, vijana wapewe kipaumbele kwenye mikopo hiyo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, vijana wengi hapa Tanzania wamekuwa ni vijana sijui nisemewanasindikiza siku, kwa sababu kuna wachezaji wa mipira, wachezaji hawa sijui wanapofikia umriwa kustaafu wanalipwa wapi kiinua mgongo, nataka Waziri aniambie wanalipwa wapi wachezajiambao wanachezea timu zetu za Taifa wapostaafu au ujira wao wa kustaafu wanalipwa wapi?Naomba muangalie suala hilo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, Waziri huwezi kutaja kama hujataja Zanzibar, Zanzibar ipo ndaniya Jamhuri ya Muungano, naomba mnaposhiriki kwenye maonesho au kwenye michezombalimbali ya nje ya nchi muwakumbuke vijana wa Zanzibar na wao nafasi zao muwape. Vijanahawa wamekuwa wakilalamika, wanasema wanasahaulika sana, lakini najua Zanzibar kuna vijanawazuri sana, wacheza mpira wazuri sana na Zanzibar tuna tamaduni mbalimbali, kuna ngoma zaasili za Zanzibar, ngoma ambayo hata Tanzania Bara haipatikani, ngoma hii ipo Pemba, ngoma hiiya mchezo wa ng’ombe ni ngoma ambayo inaingizia Serikali Pato la Taifa. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa hiyo, naomba mambo mazuri ya Zanzibar yaliyopo katikaKisiwa cha Pemba na Kisiwa cha Unguja na mambo haya ni adimu kwa Tanzania Bara naombamuuenzi utamaduni wetu kwa kupitia sekta ya Muungano na sisi Wazanzibar pia tunufaike kwenyesekta hii ya Muungano katika mambo ya utamaduni. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, Rais kama ameamua kusaidia vijana kama studio, hii studioisaidie kwa vijana wote ambao wanafanya kazi za miziki, kazi zao za sanaa. Asitoe kwa mtummoja au kwa vikundi vichache. Hili litaleta tatizo na litaleta malumbano kwa Rais. Nilikuwanamuomba Rais kama ameamua kusaidia vijana awasaidie vijana wote bila kuwabagua.(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lingine ambalo linaniuma kama mama na mtoto wa kiislam leonitalisemea katika Bunge hili na nilikuwa naomba nipate nafasi ya kuchangia Wizara hii ndiomaana nimeomba na nimeipata nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia kuipata. Mimi kwakweli kuna mambo yanayonishangaza kwenye TV, kwenye vyombo vya habari. Sasa nasema kwanini watoto wa kike wamekuwa wakidhalilishwa sana ndani ya TV katika matangazo mbalimbali?Ni kwa nini wanaume wao hawavai nguo za uchi kama wanawake? Utakuta hata kwenye muzikikama ni benki unakuta wale akina baba wamevaa vizuri, vijana wamevaa vizuri. Ukikuta kwenyefilamu unamkuta mwanaume kavaa vizuri lakini ukimwangalia mwanamke kakaa nusu uchi. Hiisheria ni ya kumlinda tu mwanaume? (Makofi)Nataka Bunge lako Tukufu litoe sheria hapa ya wanawake ambao wanatembea nusuuchi. Ndio maana siku hizi wanaume hawaoi. Wanaume watawaoa vipi na wanawakewanawaona kila kitu chao kiko nje? Sasa huyu mwanaume atakwenda kuoa vipi na huku kila kituameshakiona? Naomba sheria hii ifanyiwe kazi. Naomba watoto wetu wa Kitanzania, vijana kunamambo yale ya kulegeza suruali ngoja jamani naomba niwaambie. (Makofi/Kicheko)MWENYEKITI: Naomba tumsikilize vizuri.90

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!