Shirika la Idadi ya watu Duniani (UNFPA) imechapisha Mwongozo wa Stadi za Maisha kwa vijanakwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Mwangozo huo utatumiwa na waelimishaji rika, vijana nawadau mbalimbali katika kuwapatia Vijana stadi za maisha. Aidha Mwongozo huo umezinduliwa rasmitarehe 25 Juni, mwaka 2011. Mafunzo ya awali yametolewa kwa Maofisa Vijana wa Wilaya naMikoa juu ya matumizi sahihi ya mwongozo huo ili waweze kuutumia katika majukumu yao yakuwaendeleza vijana.Mheshimiwa Naibu Spika, Wizara kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Kitaifa naKimataifa imeendelea kuwahamasisha na kuwahimiza wananchi juu ya umuhimu wa kushirikikatika shughuli za kujitolea. Aidha, siku ya kujitolea duniani imeadhimishwa Kitaifa Mkoani Dar esSalaam tarehe 5 Desemba, 2010.Mheshimiwa Naibu Spika, Wizara pia, kwa kushirikiana na Taasisi za Vijana, Shirika laMaendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) na wadau wa maendeleo ya Vijana, imeadhimisha sikuya Vijana Duniani sambamba na uzinduzi wa mwaka wa Vijana, iliyofanyika tarehe 12 Agosti,2010 Mkoani Dar es Salaam ambapo vijana wapatao 200 kutoka asasi mbalimbali za vijana, VyuoVikuu na Taasisi nyingine za elimu walikutana na kujadili kwa pamoja utekelezaji wa Mpango waVijana Duniani uliopitishwa na Umoja wa Mataifa (World Programme of Action for Youth) nakuweka maazimio ya pamoja ya utekelezaji wa mpango huo kwa mwaka 2011.Mheshimiwa Naibu Spika, Wizara kwa kushirikiana na Serikali ya Japan kupitia Ubaloziwake hapa Nchini imeendeleza Mpango wa Vijana wa Meli (Ship for the World Youth Program),ambao huwakutanisha vijana kutoka nchi mbalimbali duniani na kujadili masuala mbalimbali yakiuchumi na kijamii ndani ya Meli inayosafiri kwa takribani miezi mitatu. Katika programu hii, mwaka2010/2011, vijana 11 kutoka Mikoa ya Morogoro, Manyara, Shinyanga, Kigoma, Dar es Salaampamoja na Zanzibar waliungana na wenzao kutoka nchi zifuatazo:- Australia, Bahrain, Jamhuri yaBrazil, Chile, Jamhuri ya kisiwa cha Fiji, Japan, Mexico, “Oman”, Kisiwa cha Solomon, na Jamhuriya Vanuata. Shughuli hiyo ilianza mwezi Januari hadi Machi 2011, ambapo jumla ya vijana 274walishiriki.Mheshimiwa Naibu Spika, Wizara kwa kushirikiana na Shirika la Kazi Duniani (ILO) iliendeleakuratibu utekelezaji wa shughuli zilizo chini ya Kamisheni ya Afrika zinazolenga kukuza ujasiriamalikwa vijana. Halmashauri za Wilaya 12 za majaribio ya kukuza utamaduni wa ujasiriamali kwavijana ziliteuliwa. Aidha, vijana 50 wenye Shahada ya Kwanza waliteuliwa na kupewa mafunzochini ya mpango huu na kupewa jukumu la kusimamia na kuratibu programu hiyo ya ujasiriamalikatika Wilaya hizo 12. Wilaya hizo ni Lindi Mjini, Mtwara Vijijini, Bagamoyo, Handeni, Mpanda,Musoma Mjini, Rufiji, Singida Mjini, Manispaa ya Tabora, Unguja Kaskazini A, Micheweni naUrambo. Chini ya mpango huu Mfuko wa Kuwawezesha Vijana Wajasiriamali (Youth to YouthFund) umeanza kazi ambapo vijana wajasiriamali walitangaziwa juu ya kutayarisha Andiko laMiradi (Business Proposal) na walioshinda kwa vigezo vilivyowekwa na mpango huu walipatiwafedha za kuendesha shughuli zao za kiuchumi. Mpango huu ulitenga shilingi 160,557,821.35 kwalengo hilo.Mheshimiwa Naibu Spika, Wizara kwa kushirikiana na Shirika la Watoto Duniani (UNICEF)imefuatilia utendaji wa shughuli za maendeleo ya Vijana katika mitandao sita ya vijana walio njeya shule (Out of School Youth Network) inayofadhiliwa na UNICEF katika Wilaya sita za mfanoambazo ni Makete, Temeke, Bagamoyo, Hai, Siha na Magu. Lengo ni kuhakikisha kuwa mitandaoya vijana inafanya shughuli zinazolenga maendeleo ya vijana kama ilivyoelekezwa katika Sera yaMaendeleo ya Vijana.Mheshimiwa Naibu Spika, katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 2010/2011, Wizaraimeendelea na mchakato wa kufanya Maboresho ya Sera ya Utamaduni ya mwaka 1997 pamojana Sheria Na.4 ya mwaka 1976 ya Bodi ya Ukaguzi wa Filamu na Michezo ya Jukwaani. Kadhalikaimeboresha Sheria Na. 23 ya BASATA ya mwaka 1984 pamoja na kukamilisha Hati ya kuanzishaMfuko wa Utamaduni Tanzania (Trust Deed) ya mwaka 1998. Aidha, Wizara imesimamia nakuendesha Tamasha la 29 la Sanaa na Utamaduni wa Mtanzania la Bagamoyo tarehe 27Septemba hadi 2 Oktoba, 2010. Tamasha hili liliongozwa na kaulimbiu “Sanaa na Utamaduni24
katika kukuza na kuimarisha Demokrasia”. Vikundi mbalimbali vya fani za utamaduni vya ndani nanje ya nchi vilishiriki.Mheshimiwa Naibu Spika, Wizara imeandaa na kurusha jumla ya vipindi 50 vya “Lugha yaTaifa”, vipindi 49 vya “Kumepambazuka” katika redio na vipindi 52 vya “Ulimwengu wa Kiswahili”katika televisheni ambavyo vimesaidia wananchi kuelewa maana, matumizi na maendeleo yaKiswahili. Wizara pia, iliandaa Mkutano Mkuu wa Sekta ya Utamaduni uliofanyika Jijini Mwanzatarehe 12 hadi 17 Desemba, 2010 ulioshirikisha wadau 300. Mkutano huu uliongozwa na kaulimbiu“Sanaa ni Ajira, Tuithamini”. Kadhalika Wizara iliratibu na kusimamia vikundi tisa (9) vya ngoma zaasili vilivyoshiriki Maadhimisho ya sherehe za kitaifa pamoja na maadhimisho ya Siku ya UtamaduniDuniani, yaliyofanyika Mkoani Mara tarehe 19 hadi 21 Mei, 2011 ambapo vikundi 13 vilishiriki.Kimoja kilitoka katika kijiji cha Butiama kwa lengo la kumuenzi muasisi wa Taifa letu, hayati Babawa Taifa.Mheshimiwa Naibu Spika, Wizara imesimamia kazi ya ujenzi wa Jumba la Utamaduni eneola Kiromo Mkoani Pwani na hadi sasa kibali cha kumiliki eneo hilo la ekari 100 kimepatikana,barabara inayounganisha barabara kuu ya Bagamoyo – Dar es Salaam na eneo la mradiimetengenezwa. Kadhalika, eneo la ekari 25 katika eneo la Mabwepande huko Bunju Mkoani Dares Salaam, ambapo kitajengwa Kituo cha Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrikalimepatikana. Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika imetambulishwa kwa kufanyaMikutano na wadau watakaowezesha na kusaidia utekelezaji wake. Wadau hao ni viongozi wangazi za juu wakiwemo Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara zote za Serikali yaMuungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Watendaji Wakuu wa Wizara, Idara na Taasisimbalimbali za Serikali na zisizo za Serikali.Mheshimiwa Naibu Spika, ni wajibu wa Wizara kuimarisha, kukuza na kuendesha lughayetu ya Kiswahili kwa ajili ya kurahisisha mawasiliano. Wajibu huo ni pamoja na kuratibu nakuhakikisha ustawi na maendeleo ya utumiaji wa Kiswahili kwa kushirikiana na asasi zinazohusika nauendelezaji wa lugha hii hapa nchini. Ili kusimamia na kufuatilia matumizi fasaha na sanifu yalugha hii hapa nchini, Wizara inao wajibu wa kutoa ithibati ya vitabu vya kiada vinavyotungwa aukufasiriwa kwa Kiswahili kwa mahitaji ya shule na kwa watu binafsi ili kusimamia na kufuatiliamatumizi fasaha na sanifu.Mheshimiwa Naibu Spika, katika mwaka wa fedha wa 2010/2011, Baraza la Kiswahili laTaifa (BAKITA) limeratibu na kutoa huduma ya ukalimani wa Kiswahili kwenye Mikutano ya Umojawa Afrika (AU) iliyofanyika Kampala, na Addis Ababa, Mikutano ya Bunge la Afrika iliyofanyikaMidrand, Afrika Kusini mwezi Oktoba 2010 na Mei 2011. Vilevile lilitoa huduma ya kutafasiri hatimbalimbali zikiwemo hati za bidhaa zinazopitishwa bandarini, vyeti vya shule, ndoa, kuzaliwa nahati za talaka. Hali kadhalika Kitabu cha “Mwongozo kwa Waandishi wa Kiswahili Sanifu”kimefanyiwa marekebisho na kupelekwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kupatiwa cheticha ithibati ili kiweze kutumika katika shule za msingi, sekondari na vyuoni kama kitabu cha kiada.Aidha, makala ndefu zikiwemo Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ushirikiano wa AfrikaMashariki na Kanuni za Uvuvi za Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, baadhi zimefasiriwakutoka lugha ya Kiswahili kwenda Kiingereza na nyingine kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili.Mheshimiwa Naibu Spika, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) liliundwa kwa Sheria yaBunge Na. 23 ya mwaka 1984. Baraza lilipewa dhamana ya kuhimiza Maendeleo ya Sanaa zaMuziki, Sanaa za Maonyesho, Picha Jongefu (filamu) na Sanaa za Ufundi. Pamoja na majukumuhayo Baraza limezindua Programu Maalum ya Jukwaa la Sanaa kwa lengo la kutoa habari zasanaa na utamaduni kwa wananchi. Jumla ya midahalo 41 ilifanyika iliyowashirikisha wasanii,wanahabari na wadau wa Sanaa na Utamaduni wapatao 4353. Kupitia Jukwaa la Sanaa, BASATAimeendesha makongamano yenye lengo la kutoa elimu ya maadili, umuhimu wa usajili, hakimilikina vyama vya wasanii.Mheshimiwa Naibu Spika, BASATA imefanya utafiti wa mchango wa sanaa katika kuongezapato, ajira na kuondoa umaskini, katika Wilaya ya Dodoma, Kibaha, Kinondoni na Morogoro.Taarifa imeshatayarishwa na kukabidhiwa kwa menejimenti ya BASATA. Utafiti umebaini kwambawasanii hujipatia kipato na ajira kupitia shughuli za sanaa. Baraza pia limetoa mafunzo ya stadi za25
- Page 7 and 8: Mheshimiwa Naibu Spika, lakini umeg
- Page 11 and 12: NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI: Mheshimiw
- Page 13 and 14: NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA
- Page 15 and 16: Pili, Wakurugenzi na Wakurugenzi wa
- Page 17 and 18: MHE. JOHN J. MNYIKA: Naomba unisiki
- Page 19 and 20: inaongozwa na Mbunge wa Jimbo la Pe
- Page 21 and 22: Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuha
- Page 23: Mheshimiwa Naibu Spika, Baraza la H
- Page 27 and 28: wakiwa ni Baraza Kuu la Michezo Bar
- Page 29 and 30: · Kusimamia usambazaji wa machapis
- Page 31 and 32: · Kutoa taarifa katika magazeti ku
- Page 33 and 34: · Kufanya tathmini na ufuatiliaji
- Page 35 and 36: 2011 wakati wa vikao vya Kamati vil
- Page 37 and 38: na Mfuko wa Vyombo vya Habari na Ba
- Page 39 and 40: · Serikali itenge fedha za mafunzo
- Page 41 and 42: Mheshimiwa Naibu Spika, aidha, nape
- Page 43 and 44: kuzifanya za kuielimisha jamii juu
- Page 45 and 46: Mheshimiwa Mwenyekiti, pamoja na um
- Page 47 and 48: wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UD
- Page 49 and 50: (iii)(iv)(v)(vi)(vii)Chuo Kikuu cha
- Page 51 and 52: kuendelea kufanya vibaya na kuambul
- Page 53 and 54: Serikali, sasa sisi tayari Umoja wa
- Page 55 and 56: iangaliwe. Tena nashukuru hii Wizar
- Page 57 and 58: kunichagua kuwa Mbunge wao kwa mara
- Page 59 and 60: Mheshimiwa Mwenyekiti, mpira wa mig
- Page 61 and 62: na Academy yake, huyu ndiye mtu wa
- Page 63 and 64: matangazo ya kudhalilisha nchi yetu
- Page 65 and 66: Mheshimiwa Mwenyekiti, suala lingin
- Page 67 and 68: Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa hivi ni
- Page 69 and 70: namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa
- Page 71 and 72: Bunge. Mheshimiwa Waziri Mkuu alipo
- Page 73 and 74: pombe tu, wanaishia kunywa pombe, b
- Page 75 and 76:
Nishukuru wafadhili na hasa TBC bas
- Page 77 and 78:
ushuru kwenye vifaa vya michezo. Vi
- Page 79 and 80:
Mheshimiwa Mwenyekiti, niende TBC,
- Page 81 and 82:
Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini kuna
- Page 83 and 84:
Je, hawa watu wapo na wanafanya kaz
- Page 85 and 86:
hapa Bungeni, yupo kule kwenye ofis
- Page 87 and 88:
Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza natak
- Page 89 and 90:
tunakwenda Wizara ya Utamaduni kwa
- Page 91 and 92:
MHE. MARYAM SALUM MSABAHA: Wale wen
- Page 93 and 94:
jambo hili la kuhakikisha kwamba ku
- Page 95:
na yakizungumza habari ya interest