12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Mwenyekiti, naiomba Serikali iwaangalie hawa vijana kwa macho mawili.Vijana ndiyo nguzo ya Taifa, hasa ukizingatia kwamba wao ndiyo wengi, kwani ni asilimia 60. Kwahiyo, Serikali ingewaangalia sana vijana, jamani tunakokwenda ni kugumu sana kwa sababuhawa ndio tegemeo letu katika Taifa.Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya vijana, kundi linalofuatia ni akina mama.Ukimwelimisha au ukimpa (support) nguvu mama mmoja, basi umeokoa familia na Taifa lote kwaujumla. Hata hivyo, akina mama wamekuwa wakijaribu na kujihangaikia wenyewe katika kutafutanamna ya kuzalisha mali, mikopo wanaisikia tu lakini hawajui watafanyaje waipate.Mheshimiwa Mwenyekiti, kulikuwa kuna huu mfuko wa hizi fedha za Mheshimiwa JakayaMrisho Kikwete. Hizo kwa kweli akina mama au vijana wamezitegemea kwamba zingewasaidia.Lakini kwa vijana na akina mama wa Mpanda tuliishia kufukuza inzi tu, hatujui tufanye nini. Mikopotunaisikia tu hiyoo, inaruka, inapita, inatuacha Katavi tumetulia. Naomba kwa kweli Serikaliiangalie, iwawezeshe akina mama na vijana kupata mikopo ili tuweze kwa kweli kuwaokoa vijanahawa, warudi katika maadili mema. Maana yake tutaishia kuwalaumu tu, lakini tunawaona.Vijana, wafanye nini sasa? (Makofi/Kicheko)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa hapo nimemaliza, sasa naomba niende kwenye suala lautamaduni. Katika suala la utamaduni, kwa kweli maadili yameporomoka sana. Utamaduni waMtanzania sasa unatukimbia, japokuwa bado utamaduni upo, lakini maadili yameanza kupotea.Labda naweza kuwasifu wenzetu wa kabila la Wamasai kwamba, kidogo ndiyo bado wananatakwenye utamaduni wao. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, sisi wa makabila mengine, naona kwa kweli tumepotezamwelekeo na hii yote nailaumu Serikali kwa sababu ndiyo imekuwa ikikumbatia mambo mengikatika vyombo vya habari. Vyombo vya habari vimekuwa vikitangaza mambo mengine ambayokwa kweli ni kinyume cha maadili. Lakini Serikali inaangalia tu na macho. Mimi naiona Serikali kuwani sawa na mama ambaye analea familia, watoto wote wanamwangalia mama atasema nini,kiasi kwamba kama mtoto akipotea kimaadili labda amepita akiwa amevaa mavazi yasiyofaa.Mama anatakiwa kung’aka ili mtoto aelewe yuko katika upande gani au afuate msimamo gani.Lakini Serikali yetu imekuwa ikiangalia na macho na haitangazi kipi kibaya na kipi ni kizuri.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa mfano, katika suala la ushindani huu wa ma-miss, kwa kwelihawa ma-miss wanapokuwa katika ushindani, watoto wetu naona kama wanadhalilishwa sana.Sijui ni biashara za kimataifa au ni nini? Nashindwa kuelewa. Kwani nikijiuliza, sipati jibu. Yaani hatakama baba amekaa anaangalia mtoto wake, amekwenda kugombea u-miss kule, kama babaana wageni wamemfikia pale, sidhani kama atamtambulisha yule mgeni kwamba haloo, mwonemwanangu yule anagombea u- miss. Sidhani! Ni aibu! (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, watoto wetu wanadhalilishwa, wanavishwa vichupi, wanavaavinguo ambavyo havina heshima. Sasa sijui tunashindania nini? Hivi Serikali imeshindwa kutafutakigezo kingine cha kumtambua mshindi kwa kumpima mtoto labda uwezo! Eeh! mpaka tupitiehatua ya kuvaa nguo za kuonyesha nusu uchi! Jamani, naomba turudi katika maadili. Serikaliijitahidi kurudi katika maadili ili kusudi tupate Taifa la kesho lililo bora na vizazi vijavyo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, tukiangalia upande wa utamaduni huo, watu tunaiga mamboya nje, hatujui tunakokwenda, ni wapi na vizazi vinavyokuja tunavipeleka wapi? Wenginetumefikia hata hatua ya kukataa vyakula ambavyo ni asili yetu. Mtu hawezi kula kiazikilichochemshwa kwa maganda, anataka mikate, anataka jam, vitu kutoka nje, wakati sisiwenyewe Watanzania tuna uwezo wa kuzalisha vitu vizuri na vyakula vizuri kama hivyo tena vyaasili, ambavyo vina faida sana katika miili yetu. Lakini tunaiga iga, tunapata vitu ambavyo wakatimwingine havina faida na sisi na kwa vizazi vijavyo.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza naiomba Serikali iwajali sana hawa wacheza ngoma zaasili kwani wamesahaulika sana. Serikali haiwajali, inawahitahi tu labda unapopita Mwenge, ndiyoinawaona kama wana thamani. Mwenge ukipita ndiyo tunaagiza sasa ngoma za asiliwakahangaike juani na hakuna Serikali inachowalipa zaidi ya wao kuhangaika na kupewa labda72

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!