12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

ushuru kwenye vifaa vya michezo. Vifaa vya michezo vinakuwa ni ghali sana kutokana na beikuwa juu na ushuru kuwa mkubwa. (Makofi)Kwa kuwa kengele ya kwanza imelia mengine itabidi niyaruke, lakini nataka nizungumziesuala la wasanii pia. Wasaidiwe kwa namna ya kipekee, wameonyesha wanaweza. Wasaniihawa siku zote wamekuwa wanalalamika ni jambo la kustaajabisha kwamba kazi zao zinaibiwa,kazi zao zinaibiwa na hakuna hatua zinazochukuliwa. Imekuwa ni hoja hapa hata masteringstudio kwa nini tusianzishe kwa umoja walionao? Tuwagawie japo mastering studio moja wakawawanahifadhi kazi zao na wanajizalishia wenyewe kuliko kuhangaika na hawa watu ambaowanawanyonya kila siku. Lakini pamoja na hayo kupitia Bunge hili naomba niwashauri wasanii naovilevile wajiheshimu. Tumechoka kusoma kashfa katika magazeti na vyombo vya habarizinazowahusu wao. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, hapa asubuhi kulikuwa na hoja kwamba vyombo vya habarivinapotosha ukweli, inawezekana ikawa ni kweli, lakini Serikali nayo ivunje ukimya iwe inatoataarifa za kweli wasisubiri mpaka vyombo vya habari vipotoshe, tusiwakemee tu. Mimi ni Mjumbekatika Bunge hili kwenye Kamati ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma, namshukuru MzeeMwambalaswa hapa amezungumza, lakini ninachosema kwamba vyombo vya Serikali vyaTBC/TSN visaidiwe kulipa madeni yake. Tumepitia hesabu zao wanadai karibu shilingi bilioni 4.5.Mnataka wajiendeshe wapanue huduma, watajiendeshaje na Serikali yenyewe na Mawizarahayalipi fedha katika vyombo hivi? Sasa tusifanye hadithi za kuwahimiza kuwafanya wafanye kazibora wakati sisi wenyewe hatupo tayari kuwasaidia kwa kuwalipa kazi ambazo wanazifanyakupitia vyombo hivi.Mheshimiwa Mwenyekiti, la mwisho kabisa nitaomba hili nipatiwe maelezo na Waziri waMichezo hali iliyokuwepo kwa wanamichezo wanaokwenda kwenye All Africa GamesMozambique ni mbaya. Malalamiko hayaishi kila siku vyombo vya habari, wanariadha wanalia,wana ngumi wanalalamika kila aina ya michezo. Hivi kweli kama Serikali kutoka hapa kwendaMozambique tumeshindwa kupeleka wanamichezo wengi tunapeleka wanamichezo 60 kati yaokaribu 20 ni viongozi.Mimi nimeongea na Mheshimiwa Shabiby hapa alikuwa yupo tayari kutoa mabasi yakekupeleka mpaka Mozambique. Serikali kweli haina uwezo wa kukodi mabasi mawili kuwapelekawanamichezo zaidi ya 100. Kuna maboti, Mozambique tunaweza kwenda kila namna hatamajahazi yapo. Kwa sababu kama tungesema kwamba tuchukue waogeleaji wasingeogopakusafiri kwenda Mozambique kwa kutumia majahazi. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, hili ni jambo ambalo namwomba Mheshimiwa Waziri sio kwakusubiri mpaka tupate adha kwa kusubiri mpaka jambo lingine lolote. Nataka litolewe tamkokwamba wanamichezo wanaongezeka kwa sababu hatutokuwa na nafasi nyingine zaidi yakuwapeleka wanamichezo wengi katika mashindano ya All Africa Game. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru. (Makofi)MWENYEKITI: Nakushukuru sana. Namwita sasa Mheshimiwa Donald Max, MheshimiwaMartha Mlata ajiandae na Mheshimiwa Sabreena Sungura ajiandae. (Makofi)MHE. DONALD K. MAX: Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru kwa kunipa nafasi hii. Awaliya yote naomba nimpongeze Waziri wa Wizara hii Mheshimiwa Dkt. Emmanuel Nchimbi, kwasababu mimi ni Mjumbe kwenye Wizara hii. Nimpongeze Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara,nimpongeze sana Mheshimiwa Jenista Mhagama ambaye ndiye Mwenyekiti wetu. Lakini pongezizaidi ziende kwa Msemaji Mkuu aliyezungumza leo, mdogo wangu ambaye ametoa hotuba nzurisana na kutukumbusha alikotoka ndugu yetu Juma Nkamia, nimpongeze sana. Hotuba imesikikavizuri, simu tumepokea nyingi kwa hiyo, tunaomba awe na moyo wa kuendelea kutuelimishakwenye hilo. Naomba tufike mahali sasa haya masuala ya makabrasha yaanze kupungua.Tunaweka mikakati, tunatoa fedha utekelezaji unashindikana. Marehemu Baba wa Taifaalipofanya makosa aliandika vitabu na tunavisoma kwamba ingekuwa nianze upya miaka 25mingine makosa haya nisingefanya. Hapa tulipo tunaendelea na makosa. (Makofi)77

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!