12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

watano unawaweka bench. Unapowaweka bench wazalendo unaua viwango vyao vya mpira.Kwa namna yoyote mchezaji profession uliyemchukua unapokosana naye kwa mkatabavinginevyo na mchezaji mzalendo tayari umemdumaza kiuwezo wake maana yake una kazi yakujiuliza tena kwamba nitawezaje kuziba pengo la position hii ambayo alikuwa anacheza mgeniambaye amekimbia. Utaratibu huu unadumaza viwango vya michezo kwa wachezaji wetu.(Makofi)Lakini kama hilo halitoshi tungekuwa na utaratibu wa kuibua vipaji vya wachezaji tanguwatoto wadogo tukaweza kuwaendeleza na wakafikia mahali tukawa tunajua kwamba tukihitajiwachezaji eneo fulani tunaweza tukapata wachezaji wazuri wa kulitetea Taifa hili katika fani hii yamichezo. Naomba nizungumzie suala la Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kama jina lake nichombo cha Taifa.MWENYEKITI: Nakushukuru sana Mheshimiwa Mbunge. (Makofi)MHE. HAMAD ALI HAMAD: Nakushukuru.MHE. JUMA S. NKAMIA: Mheshimiwa Mwenyekiti, nashukuru sana kupata nafasi hii ili namimi nitoe mchango wangu kutokana na hoja iliyo mbele yetu. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi nianze moja kwa moja na vyombo vya habari sijui nideclareinterest kuwa nilikuwa mwandishi wa habari lakini bado ni mwandishi wa habari, taalumahuwa haifi. Nianze kidogo kuzungumzia vyombo vya habari kama wenzangu waliotanguliawamesema. Vyombo vya habari vimefanya kazi kubwa sana kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letutangu na baada ya Uhuru. Naamini vitaendelea kufanyakazi yake ipasavyo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi kwa maoni yangu tu yapo mambo machache sanaambayo kama Taifa tukirekebisha vyombo vyetu vya habari vitafanya kazi yake vizuri sana. LeoTanzania tuna Media Council of Tanzania, tuna Tanzania Media Fund, tuna Wizara/Serikali.Nilikuwa najaribu kuangalia naona hawa wa Tanzania Media Funds wanatoa ruzuku/misaadakuwasomesha waandishi wa habari kwa kiwango kikubwa. Lakini vilevile wamekuwa wakitoaruzuku kwa baadhi ya vyombo vya habari vya watu binafsi. Lengo ni kuboresha taaluma yenyeweya waandishi wa habari. Imani yangu na niombe Wizara pamoja na Serikali kama watashirikianavizuri kati ya Tanzania Media Funds na Media Council of Tanzania naamini tutafanikiwa na tutafikamahali pazuri zaidi kuboresha taaluma hii ya waandishi wa habari. (Makofi)Kwa mtazamo wangu na hali ninavyoiona niliwahi kushauri siku moja, nashauri tena leo nivizuri tukawa na Sera ya Habari ndani ya Tanzania. Kwa nini nasema hivi, sasa hivi vyombo vyetuvya habari vinakwenda tu, vingi vinaandika maoni badala ya habari. Nina wasiwasi kwambakama kuna baadhi ya watu watafariki dunia katika nchi hii baadhi ya vyombo vya habari navyovitakufa. Vyombo vya habari vinaandika maoni badala ya habari kitu ambacho nadhani tukiwana Sera ya Habari tutafanikiwa sana. (Makofi)Kwa mfano Rwanda mwaka 1994 leo wapo waandishi wa habari na wahariri watatuwalikwenda kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Rwanda ya Makosa ya Jinai kwa sababuvyombo hivi vilichangia sana yale matatizo ya mwaka 1994 pale Rwanda. Tukiachia hali hii hapakwetu kama inavyokwenda uwezekano wa kufika huko ni mkubwa na sisi ni binadamu pia.Nadhani jambo hili lazima tuchukue hatua haraka sana kama Serikali. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, watu wanazungumzia kuhusu rushwa kwenye mediainawezekana ikawepo. Lakini sisi ndio tunaoendekeza waandishi wa habari, tunawapa sisi fedha iliwatuandike vizuri kutujenga lakini ni hawa hawa watakaotubomoa pia kesho. (Makofi)Katika nchi zilizoendelea, mimi bahati nzuri nimefanyakazi kwenye media, giants zoteduniani, wakati wa vita vya Iraq nilikuwa nafanya kazi BBC pale ilipokuja vita ya Iraq vyombovyote vya habari vya Uingereza vilikuwa vinai-support nchi yao kwamba tunakwenda kupiganakwa ajili ya Taifa la Uingereza tofauti na kwetu sasa hali ilivyo. Waziri Mkuu siku anahitimisha Bajetiyake hapa lilikuwa ni jambo zito sana, lakini vyombo vya habari hasa magazeti, kichwa cha habari94

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!