12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mheshimiwa Mwenyekiti, Mzee Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu amezungumziasana umangimeza, ubinafsi kwenye Wizara zetu. Huu ni mzigo mzito kwa sababu bahati nzuriWaziri Mkuu yuko hapa labda wengine wanaogopa kusema lakini ukweli ndio huo. Mawaziri naNaibu Mawaziri sio wenye mzigo mle ndani ya Wizara, matatizo yako kwenye utendaji. Washaurihawapo, utakuta Wizara ina Msemaji wa Wizara, utakuta ina Wanasheria, lakini wanashindwakuwashauri, kwa sababu mtu kama Waziri anabeba Taifa, habebi jimbo anaangalia mikoa 24,Wilaya 100 na kitu yeye ana mzigo mzito kuliko mimi mwenye Jjimbo lenye kata 19, vijiji 136.(Makofi)Kwa hiyo, anapofanya kazi yake anaangalia Taifa kama Taifa, haangalii Jimbo lakehaangalii Mkoa wake. Sasa kama hawasaidiwi maendeleo yatakuwa magumu sana. Kwakiingereza tunasema charity begins at home. Hapa nyumbani tunashindwa hata Mheshimiwa Raismnashindwa kumshauri. Nimshukuru Mheshimiwa Mwambalaswa, Mheshimiwa Mangunguwamezungumza vizuri. Tunatumia five billion kumweka Maximo hapa nchini for ten years. Hiyo fivebillion sasa hivi tungekuwa na walimu wa michezo na tungejigawa. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kama ni mia moja wangekwenda kwa sababu na sisitulisomeshwa na Serikali zilikuwa zinakuja scholarship mia moja tunasoma nje tunarudi kutumikiaTaifa. Kule wenzetu kila mmoja ana utalaam wake. Mimi kama mimi ukinipa watu mia moja, watu25 nitawapeleka Latin America, kama Brazil au Argentina, wengine 25 nitawapeleka Seria A, 25nikawapeleka pale Uingereza waliobaki nitawapaleka hata kama ni Ujerumani au wapi ili kusudiMikoa yetu 24 inaweza kuwa na makocha wa Kimataifa kila baada ya miaka mitano tukitoamakocha hata 20 au 30 nchi hii itakwenda. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, tunaposema kuihamasisha michezo ni kama kwenye kilimo tupopale pale. Wewe unaniambia Kilimo Kwanza leo nakulimia hekari 1,000 sijui nyanya nikilimanaipeleka wapi kutengeneza Tomato Sauce na kwenye michezo ni hivyo hivyo. Tumehamasishandugu zetu vijijini kila mahali. Mpango wa MMEM tumekamilisha na Mpango wa MMES. Leotunazungumzia michezo, sijasikia Serikali inasema kwamba tujiandae vipi na michezo. Tumelipigiakelele na mpaka leo linaendelea. Unapojiandaa kwa michezo watu wenye taaluma wapo wenginchi hii. Tupo milioni arobaini na kitu na wakati nachangia kwenye Wizara ya Uchukuzi nilisemawataalam wengi wamo humu ndani ya Bunge. Lakini nashangaa Wizara hazitaki kuwatumia walaSerikali haiwahitaji kutoa michango yao. Siamini kama Serikali itashindwa kutoa exemption kuletahata kontena 20 za mipira na jezi tukaanzia mashuleni, hilo siliamini. Kwa sababu kama tumesemavifaa vya michezo watoto wetu hawana pesa, Serikali itoe exemption, makontena yaingie hapa,Halmashauri zipo, Madiwani wapo, Wenyeviti watendaji wapo, wenyeviti wa Serikali wapo. Shulezote zitakuwa accommodated. Huyo huyo Diwani anayebeba Kata sita mnampa kazi kwambaongea na walimu wako, pekua shule zako, kila shule itutolee wachezaji wawili tuanze kuchuja,sasa hizo programu hatuoni. Tunaandika kwenye makabrasha makubwa kama haya mambomengi sana lakini kwenye utendaji huwa hakuna. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, nije kwenye uwajibikaji. Kama nilivyosema watendaji wetu lazimawasaidie Mawaziri. Tunalipa pesa, tunapitisha haya mahela, mtu anakaa ofisini hali ambayotunayoikabili sisi vijana, mtendaji hajakanyaga hata siku moja, Afisa Michezo yuko pale Wilayanihana pikipiki, kupewa gari na Halmashauri ni kazi, hiyo michezo itaendeleaje?Kwa hiyo, unakuta kwamba zile takwimu za kujua shule ziko ngapi zinazocheza mipira,shule za sekondari ni ngapi, form five na form six wangapi, vyuo wako wangapi? Lakini Waingerezawalisema charity begins at home. Humu ndani tupo Wabunge 367 tukiwaacha dada zetu namama zetu hapa, humu ndani peke yake kuna timu ishirini za watu kumi na moja, kumi na moja.Lakini inashangaza kwamba Bunge linaunda timu moja. Kwa nini sisi tunakuwa wazembe, bilakuonyesha mfano hatuendi.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa hiyo, mimi naomba hata wale ambao wanaona hawawezikukimbia. Tuanze humu, iwepo A, B, C, tuwe na hata timu tatu. Leo katika watu 367 katimu kamojakashindane na British Council, ni aibu. Kwa sababu na sisi lazima tuonyeshe mfano, wacheza mpiratumo humu humu. (Makofi)78

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!