12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

na TAMISEMI hawana fungu la utamaduni. Sasa sielewi atafanyaje nao kazi kama alivyosemakwenye hotuba yake.Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya swali hilo mimi ninaomba nizungumze kuhusu suala lawasanii. Labda leo nizungumze maana siku zote na miaka mitano iliyopita nimekuwa nikilia ndaniBunge hili na ninashukuru sana sasa nimepata wasemaji wengi wa kutetea jambo hili. Leonaomba nizungumze lakini nikizidiwa basi nitalia, la hasha nitashindwa kuunga mkono hoja kwamambo yafuatayo:-Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa kweli wasanii wengi wa Tanzania mpaka sasa hivi hatimayao haijulikani iko mikononi mwa nani. Niliwahi kuzungumza hapa, nikasema kwamba hili dawati lautamaduni kwanza linaonekana halina mwenyewe, hata fungu lake halionekani na ndiyo maanahata kazi zake haziendi. Matokeo yake imebaki kuwa ugomvi kati ya wasanii kwa wasanii, kwasababu hawana mwenyewe. Sasa mimi niliwahi kusema kwa nini isiundwe Wizara ya Utamadunipeke yake, mbona inaweza ikazalisha sana na kuleta pato kubwa sana nchini. Kwa nini badomnaipachi pachika. Ninaomba itengwe na ikae peke yake kama Wizara nyingine ili kuwezakuainisha mambo mengi ambayo yanaweza yakaleta tija. Sanaa ni biashara, sasa nisemekwamba ninamshukuru sana Mheshimiwa Waziri pamoja na hayo ameweza kusimamia na kuundamashirikisho ambayo yako manne, kuna la filamu, muziki, sanaa za maonyesho pamoja na sanaaza ufundi. Lakini hivi unawezaje kumpa mtu mpini wa jembe na unamwambia aende akalime?Hawa watu hawana fungu lolote, hakuna Bajeti yoyote hivi wataanzia wapi hata kufanya kazizao. Matokeo yake inabaki kwamba kuna majina, kuna mashirikisho sijui lakini vitendea kazihakuna. Nilikuwa nazungumza nao hapo nje, hata nauli za kuwaleta hapa wamejileta wenyewe.Sasa hizo kazi watafanyaje na tunasema wazunguke nchi nzima kuangalia vipaji vya vijana iliwaweze kupata ajira. Mheshimiwa Waziri ninaomba sana litengwe fungu au Bajeti kwa ajili hayamashirikisho manne wapatiwe fedha kwa ajili ya kuanzia. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, labda niseme kwamba kuna jambo ambalo mimi linanisikitishasana. Sina hakika kama COSOTA kule ilipo ipo mahala pale. Sidhani kama ni mahala pake, kwasababu imeshindwa kufanya kazi yake. Wasanii wamekuwa wakiibiwa kazi zao lakini bado sasahivi tunasema sijui mastering studio, sijui Mheshimiwa Rais ameipeleka wapi na sijui imekuwaje. Hilowala si kosa la Rais, wala si kosa la wasanii. Bali Wizara imeshindwa kutimiza wajibu wake kwenyeupande wa sanaa na ndiyo maana mlishindwa kumwelekeza. (Makofi)MWENYEKITI: Mheshimiwa Mbunge kidogo samahani. Naomba u-declare interest yakokatika fani hii, itakugharimu sana. (Makofi)MHE. MARTHA M. MLATA: Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante. Ni kweli mimi pia ni mtunzi nani mwimbaji wa nyimbo za injili. Kwa hiyo, ni msanii na pia ni mwigizaji. Nimekuwa niki-declareinterest mara nyingi labda ndiyo maana leo nimejisahau. Lakini ni kweli na ninafanya hiyo biasharalakini sasa hivi inanishinda kwa sababu ya mfumo mbovu uliopo. Unapeleka kazi zako lakini hupatipesa yoyote, anafaidika mtu mwingine, tumewatajirisha watu wengine ambao hawajatokwa najasho lolote. Kwa hiyo niseme, Wizara mlishindwa kumwelekeza Rais ni wapi apeleke kile chombondiyo maana kikaangukia mahala ambapo wao walikuwa tayari na ndiyo wao walionekanambele ya Mheshimiwa Rais. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa ninachosema ni hivi, wasanii Watanzania hawahitajimastering studio bali wanahitaji usalama wa kazi zao zisiibiwe, wanahitaji faida ya kazi zaowanapofanya kazi zao. Kwa hiyo, wasanii hawahitaji studio maana zipo nyingi wanawezawakarekodi popote hata majumbani zipo. Lakini usalama wa kazi zao. COSOTA inafanya nini?Sasa hivi amejitokeza Msama Promotion ndiye anayekamata kazi za wasanii, anasaidiwaje sasa?Kazi zingine zipo polisi, tunasema Sheria iletwe hapa, kazi zikipelekwa Mahakamani faini shilingi200,000/=. Yaani hivi kweli Wizara ipo serious?Kwa hiyo, mimi ninaomba sana hasa mikataba hii ya wasanii na hawa wanaojiitamapromota, mameneja sijui washauri na wasambazaji, ni feki yote. Wizara wekeni utaratibu ilimuweke wanasheria wa kusimamia mikataba ya wasanii na wasanii waweze kufaidika. Ninaombasana. (Makofi)80

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!