12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza nataka niwapongeze waandishi wa habari, mtuanayesema kwamba sijui waandishi wa habari wawe wanaandika mambo kwa kuzingatia miminataka waandike. (Makofi)MWENYEKITI: Naomba u-declare interest.MHE. STEPHEN H. NGONYANI: Mheshimiwa Mwenyekiti, kazi yangu ni mganga wa kienyeji,mganga wa tiba asilia. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, tumewazungumzia sana waandishi wa habari, kwa kweli miminasikitika sana kuona kwamba waandishi wa habari wanapendwa wakati wa uchaguzi tu kwa ajiliya kuwaweka watu katika mazingira mazuri ya ushindi, lakini wakishamaliza uchanguzi na watuwakishashinda wakianza kuandika mapungufu yao watu wanasema waandishi wa habarihawafai. Mimi nataka waandike tu kwa nini wazuiwe? (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa sababu lengo la waandishi wa habari watu wanataka kujuakwamba wananchi au Wabunge wamefanya nini au wapiga kura wamewachagua watu ambaowanafanya nini, sasa kama watakuwa wanaandika mazuri tu bila kuandika mapungufu yetu, sionikama tunawatendea haki na ukizingatia kwamba hiyo ni kazi kama kazi ya watu wengine. Waopia wanahitaji waonekane kwamba wanafanya kazi. Kama kuna mapungufu Mwenyezi Mungu tuanawaumba watu wanakuwa na mapungufu wamepinda miguu, ije kuwa waandishi wa habariwasiandike kasoro? (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi nafikiria sana kwa upande wa waandishi wa habaritusiwanyanyase, ninachoomba tu Wizara ya Utamaduni na Michezo waangaliwe, ili kama kunakiwango maalum cha waandishi wa habari wapewe ili wafanye kazi vizuri zaidi kuliko kila saaakimwandika mtu vibaya matokeo yake anatishiwa kwamba atauawa au atamtishia manenomachafu au hata atamtishia kwamba wewe tuone kama uandishi wako wa habari au matokeoyake kuwamwagia tindikali, sasa hii siyo kitendo halali. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, jambo la pili nataka niongelee kuhusu wasanii, kama kuna watuwanapata matatizo sana ni wasanii, hakuna kitu kizuri ambacho msanii ataitwa, kila mtuanapofanya makosa anaambiwa wewe kazi yako ni msanii, sasa usanii ni kazi, wasilinganishemabaya ya maji marefu ukaweka kwenye usanii. Sasa hivi kuna mtindo wa watu, mtu anafanyamakosa yake na yanajulikana kwamba amefanya utapeli fulani, wanakuambia aah, hao siwasanii tu! Sasa usanii maana yake ni nini? (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, usanii ni kazi kama kazi nyingine, wasiwe wanafananisha wasaniina mtu akosee basi msanii aonekane kwamba ndiye yeye ambaye anaharibu, Wabunge wengihapa wamepitia kwenye usanii, yupo ndugu yangu Mbilinyi, yupo ndugu yangu hapa mwandishiwa habari hapa Nkamia, yupo Mheshimiwa Martha, yupo Mheshimiwa Kamata. Sasa ina maanaMheshimiwa Kamata ni msanii? Ni msanii katika fani yake lakini siyo usanii ule mnaochukua wakuwafanya watu waonekane watu wasanii ni watu wa duni sana, ni watu wa dhiki sana, kilamfano mbaya upelekwe kwa wasanii, hii siyo halali, wasanii wapewe heshima kama vile watuwengine hata kama tunayopewa sisi Wabunge na wao wapewe heshima hiyo kwa sababu ni kaziambayo ni sawasawa na kazi nyingine. Nataka waheshimiwe kama wanavyoheshimiwa watuwengine. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, suala lingine ni suala la michezo, nasikitika sana kuona kwambamichezo inafanyika mikoani tu lakini Wilayani hakuna michezo. Kitu cha kushangaza zaidi nikwamba maafisa utamaduni hawapati nyenzo na hawaonekani kama ni watu wa busara mbeleya watu. Wanafanya kazi nzuri lakini kule hawaonekani. Maafisa Utamaduni wanaonekana wakatiwa kukimbiza Mwenge peke yake, Mwenge ukikimbizwa Tanzania ndiyo Afisa Utamadunianaonekana na yeye ana nafasi kwa nini, wakati yeye ndiye anayelea vijana wote Wilayani, yeyendiye anajua ngoma zote Wilayani, yeye ndiyo anajua waganga wote Wilayani, yeye ndiyeanajua kila kitu kinachofanyika katika Wilaya, kwa nini hawa watu hawapewi motisha nawenyewe waonekane kwamba wanafanya kazi vizuri?87

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!