12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

· Kufanya tathmini na ufuatiliaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo inayotekelezwaWizarani, na kusimamia utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitatu (2010/2011 –2012/2013).· Kuratibu masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayohusu sekta za Wizara, pamoja nakubaini fursa za ushirikiano wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.Mheshimiwa Naibu Spika, hitimisho, Serikali itaendeleza mafanikio yaliyopatikana katika Sektazinazosimamiwa na Wizara ili ziweze kuchangia zaidi katika maendeleo ya nchi yetu. Matarajio yaSerikali ni kuona kuwa Sekta za Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo zina nafasi muhimu katikakuchangia ukuaji wa uchumi wa nchi yetu. Uchangiaji ambao ni pamoja na kuongeza ajira,kipato, kulinda mazingira, kuleta amani na furaha katika jamii. Katika kutumia fursa hizo bado kunachangamoto ambazo zinahitaji zipatiwe ufumbuzi ili kuzitumia ipasavyo katika kuleta maendeleoya nchi. Matarajio yangu ni kwamba changamoto zilizopo zitaendelea kupatiwa ufumbuzi hatuakwa hatua hasa kwa kushirikiana na sekta binafsi kupitia mfumo wa “Public-Private-Partnership”(PPP) na wadau wengine wa maendeleo. Tukidhamiria inawezekana.Mheshimiwa Naibu Spika, shukrani, kwa niaba ya Serikali na kwa niaba yangu, naombakuwashukuru kwa dhati wale wote walioshirikiana nasi katika kipindi cha mwaka wa fedha wa2010/2011, katika kutimiza malengo yetu. Mafanikio ya utekelezaji wa majukumu na malengo yaWizara umewezekana kutokana na ushirikiano uliopo miongoni mwa viongozi na wafanyakazi waWizara na wadau wengine walio nje ya Wizara. Shukrani zangu za pekee ziende kwa MheshimiwaDkt. Fenella E. Mukangara, (Mb), Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambayeamekuwa msaada mkubwa kwangu, Bwana Sethi Kamuhanda, Katibu Mkuu, Bibi Sihaba Nkinga,Naibu Katibu Mkuu, Wakurugenzi, Wataalamu na Watumishi wote wa Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo pamoja na Asasi zilizo chini ya Wizara kwa juhudi walizofanya kuhakikishakwamba wanatimiza ipasavyo majukumu tuliyokabidhiwa na Taifa.Mheshimiwa Naibu Spika, napenda pia kuwashukuru wale wote walioshiriki katikakutekeleza majukumu ya Wizara. Aidha, nawashukuru wahisani wote ambao wametusaidia nanaamini kuwa wataendelea kutusaidia. Siyo rahisi kuwataja wote lakini nitaje wachache ambaowanaendelea kutusaidia wakiwemo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, Finland, Uingereza,Denmark, Japan, Sweden, Norway na Ujerumani; Pia Mashirika ya kimataifa ya UNESCO naUNICEF. (Makofi)Mheshimiwa Naibu Spika, napenda kuvishukuru vyombo vyote vya habari nchini. Vyombo hivivimefanya kazi nzuri na fasaha ya kuitangaza nchi yetu. Naamini kuwa vyombo hivyo vitaendeleana kazi ya kuhabarisha, kuburudisha na kuelimisha kwa kuzingatia maadili. Aidha, namshukurusana Mpiga Chapa wa Serikali kwa kuchapisha hotuba hii kwa wakati, bila kuvisahau vituo vyaTelevisheni ambavyo kwa namna ya pekee vimerusha hotuba hii hewani.Mheshimiwa Naibu Spika, mapato, katika mwaka wa fedha 2011/2012, Wizara imepanga kukusanyajumla ya shilingi 670,009,000 kutoka katika vyanzo vyake mbalimbali vya mapato.Mheshimiwa Naibu Spika, katika kipindi cha mwaka wa fedha 2011/2012, Wizaraimetengewa bajeti ya shilingi 14,671,877,000 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida (MatumiziMengineyo na Mishahara), fedha hizo zinajumuisha:-· Mishahara ya Idara Shilingi 2,076,869,000.· Mishahara ya Asasi Shilingi 5,991,270,000.· Matumizi Mengineyo ya Idara Shilingi 3,806,163,200.· Matumizi Mengineyo ya Asasi Shilingi 2,797,574,800.Mheshimiwa Naibu Spika, katika kipindi cha mwaka wa fedha 2011/2012, Wizaraimetengewa jumla ya shilingi 3,880,851,000 kwa ajili ya kutekeleza Miradi ya Maendeleo. Kati yahizo, shilingi 770,611,000 ni fedha za kigeni na shilingi 3,110,240,000 ni fedha za ndani.33

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!